January 3, 2018 – MwanaHALISI Online

Daily Archives: January 3, 2018

CCM washikana uchawi, uchaguzi wa naibu meya

Mussa Kafana, Naibu Meya wa Dar es Salaam. Picha ndogo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob akigombana na madiwani wa CCM kulinda kura za Naibu Meya

DIWANI mmoja kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina tunalihifadhi kwa sasa, ameibua taharuki baada ya kuamua kumpigia kura mgombea wa nafasi ya naibu meya katika halmashauri ya jiji la Dar ...

Read More »

Dk. Bisimba wa LHRC ajivisha ‘mabomu’

Mkuregenzi Mtendaji wa LHRC, Dk Hellen Kijo -Bisimba

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimejivisha mabomu na kukataa wazi wazi mpango wa serikali kilichodai kwamba ni muendelezo wa kuminya uhuru wa vyombo vya habari hapa nchini. ...

Read More »

Bodi ya Mikopo ‘uvungu kwa uvungu’ na waajiri

Mkurugenzi wa Bodi MIkopo ya Elimu ya Juu, Abdul-Razaq Badru

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB), imetangaza vita dhidi ya waajiri hapa nchini ikiwamo wale wa serikali ili kubaini mishahara wanavyolipwa wafanyakazi na kiasi wanachowakata ...

Read More »

Tuseme imetosha ufisadi huu mpya

Valentino Mlowola, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru

MWAKA 2018 moja ya mambo tunayotakiwa kuyapinga kama Watanzania ni hili la ufisadi unaofanywa na wanasiasa wanaohama vyama na kuachia nafasi zao za udiwani na ubunge. Anaandika Mwandishi Wetu …. ...

Read More »

Ndugai uso kwa uso na Lissu, kupelekwa Ulaya J’mosi

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki akiwa katika hospitali ya Nairobi kwa matibabu. Picha ndogo Spika wa Bunge Job Ndugai

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, anatarajiwa kufika mjini Nairobi leo au kesho Alhamisi kumtembelea mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Nairobi….(endelea). Taarifa kutoka Bunge ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube