December 2017 – MwanaHALISI Online

Monthly Archives: December 2017

TRA kuchunguza kipato cha Askofu Kakobe

Askofu Zacharia Kakobe, picha ndogo Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere

BAADA  ya kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Askofu Zacharia Kakobe kudai ana fedha nyingi kuliko Serikali, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imejipanga kuanza kufuatilia ulipaji wake wa ...

Read More »

Mdogo wa Lissu: Bunge limembagua Tundu

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki akiwa hospitali ya Nairobi

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linadaiwa kumbagua Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kilichodaiwa ni kutokana na Spika wa bunge hilo, Job Ndugai kutofika Hospitali aliyolazwa Mbunge ...

Read More »

Mkwara wa Magufuli wapandisha joto la Wabunge

Rais John Magufuli

VIONGOZI mbalimbali wa umma wakiwamo Wabunge leo wamemiminika katika ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuwasilisha tamko kuhusu rasilimali na madeni huku Rais John Magufuli akitaka Desemba ...

Read More »

Kwa hili serikali kuweni wapole

092-559x520

TAASISI za dini ni miongoni mwa wadau wakubwa wanaochangia kuwapo na kuendelea kustawisha amani ya nchi yetu ya Tanzania. Anaripoti Richard Makore … (endelea). Lakini ni jambo la ajabu na ...

Read More »

Askofu mwingine amvaa Rais Magufuli

20171228_200133

MTU na atuhesabu hivi, kwamba sisi ni watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu. Kumekuwa na tabia ya kushambulia watumishi wa Mungu pale walipozungumzia mambo ya kijamii. Wakati ...

Read More »

NEC yainusuru Chadema na mpasuko

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchuguzi (NEC), Ramadhani Kailima

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), hatimaye imeridhia takwa la mgombea ubunge wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), katika jimbo la Singida Kaskazini, Djumbe David Djumbe. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Magufuli amtolea nje Mkapa

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa (kushoto) akiteta jambo na Rais wa Tanzania, John Magufuli

JOHN Pombe Magufuli, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), “amegoma” kutekeleza ushauri wa rais mstaafu, Benjamin Mkapa, MwanaHALISI Online limeelezwa…(endelea). Taarifa kutoka ndani ya chama hicho tawala zinasema, ...

Read More »

CCM ‘yachotewa’ na serikali Sh. 1.7 bilioni

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

MFUKO Mkuu wa Serikali (HAZINA), umetikishwa baada ya kuchotwa mabilioni ya shilingi na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea). Mabilioni hayo ya shilingi za umma yamechotwa ...

Read More »

Prof. Lipumba apata pigo jingine

Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF)

MAHAKAMA ya Rufaa nchini imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa, Prof. Ibrahimu Lipumba. Anaripoti Faki Sosi.… ...

Read More »

Meya Londa ajisalimisha Urafiki

Meya wa zamani wa Manispaa ya Kinondoni Alhaji Salum Londa

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Alhaji Salum Salehe Londa, amelipa deni la pango ya nyumba, analodaiwa na kiwanda cha Nguo cha Urafiki, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa kutoka ndani ya ...

Read More »

Hivi ndivyo kampuni ya Airtel ilivyopigwa

vlcsnap-2017-11-14-09h15m24s761

RAIS John Magufuli amepinga wizi ulifanyika dhidi ya TTCL kwa kuinyanganya kampuni yake tanzu ya Airtel na kumtaka Waziri wa Fedha, Philip Mpango kuchunguza utaratibu uliotumika kuuzwa kwa kampuni hiyo. ...

Read More »

Serikali yaelemewa na mzigo wa wafanyakazi hewa, yanusurika kupigwa Sh. 11.1 bil

Dk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha

SAKATA la watumishi hewa, sasa limeingiza serikali kwenye mzigo mkubwa wa malimbikizo ya mishahara, MwanaHALISI Online linaripoti. Taarifa kutoka wizara ya fedha na mipango (WFM), ofisi ya rais, menejimenti ya ...

Read More »

Shirika la Posta labadili nembo yake

20171221_001905

SHIRIKA la Posta Tanzania, limezindua nembo mpya ya shirika hilo baada ya ile ya zamani kukaa zaidi ya miaka 24 hadi kufika leo, anaandika Nasra Abdallah. Hafla hiyo pia iliendana ...

Read More »

Polisi wainua mikono kupigwa risasi Lissu

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema

JESHI  la Polisi limefunga mwaka huku likishindwa kutoa majibu kuhusu watu waliohusika kumpiga risasi zaidi ya 38, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaandika Angel Willium. Mkurugezi wa Upelezi ...

Read More »

Kubenea kutoa mil 14 kujenga daraja Mabibo

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo, akizungumza na wapiga kura wake

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea ameahidi kutoa Sh. 14 milioni kwa ajili ya kujenga kivuko kilichoosombwa na mafuriko kilichopo Mabibo Sahara. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea).  Kubenea ametoa ahadi hiyo ...

Read More »

Dk. Kimei akataa kung’ang’ania madaraka

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei amesema hatoongeza muda wa kuiongoza taasisi hiyo baada ya mkataba wake kukamilika Mei, 2019, anaandika Mwandishi Wetu. Kimei atakayekuwa ameiongoza CRDB ...

Read More »

Mbunge akataliwa kusajili shule

Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

MBUNGE wa jimbo la Itilima, Njalu Silanga (CCM) amekataliwa kupewa usajili wa shule  ya msingi Njalu iliyopo wilayani Itilima Mkoani Simiyu kwa sababu ya kutokidhi vigezo, anaandika Mwandishi wetu. Usajili ...

Read More »

Profesa Lipumba apata pigo la kufunga mwaka

Prof. Ibrahim Lipumba

CHAMA cha Wananchi (CUF), upande unaongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba kimepata pigo kubwa baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kupiga marufuku bodi yake kujihusisha na shughuli zozote za chama hicho ...

Read More »

Sumatra yatangaza vita kwa wamiliki mabasi

Kituo cha mabasi Ubungo, Dar es Salaam.

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), limetoa wito kwa abiria waendao mikoani kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, kutokata tiketi kiholela ...

Read More »

Aliyekuwa bosi wa UVCCM apata dhamana

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamis

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis (Mbunge) anayekabiliwa na mashtaka ya kutoa rushwa wakati wa uchaguzi ...

Read More »

Chadema Singida, wamgeuka Mbowe, wasimamisha mgombea

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Singida, kimemgeuka mwenyekiti wao wa taifa, Freeman Mbowe na kuamua kushiriki uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa ...

Read More »

Uhaba wa vitanda watesa wachangia damu

Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wakichangia damu

MPANGO wa Damu Salama, unakabiliwa na uhaba wa vitanda kwa vinavyotumiwa na watu wanaofika hapo kwa ajili ya kuchangia damu kwa hiari, anaandika Nasra Abdallah. Mratibu wa Huduma za Maabara ...

Read More »

Rais Magufuli awashangaa wabunge wa upinzani wanaohamia CCM

Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli

HUKU vikao cha Chama cha Mapinduzi (CCM) vikiendelea, Mwenyekiti wa chama hicho, John Magufuli, ameoneshwa kushtuka kwa wimbi la wapinzani wanaotoka katika vyama vya upinzania na kuhamia CCM, anaandika Dany ...

Read More »

Sheikh Ponda aibwaga tena Serikali, aachiwa huru

Sheikh Ponda Issa Ponda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda, anaandika Faki Sosi. Katika rufaa hiyo Serikali ilipinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ...

Read More »

Magufuli amwangukia Kinana

Rais John Magufuli, Mwenyekiti wa CCM (wakwanza) akitete jambo na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa chama hicho

JOHN Pombe Magufuli, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemuomba katibu mkuu wa chama hicho, Abdulrahaman Kinana, kuendelea na wadhifa huo. Anaripoti Saed Kubenea….(endelea). Vyanzo vya taarifa kutoka ...

Read More »

Jussa amsuta Kikwete hadharani

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete picha kubwa. Kulia ni Ismail Juma na kulia ni kikosi cha Zanzibar Heroes kilichotinga fainali michuano ya Chalenji

ALIYEKUWA Rais wa Jamhuri, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, “amesutwa” hadharani kuwa ndiye chanzo kikuu cha kuwapo mkwamo wa kisiasa, Visiwani Zanzibar. Anaandika Saed Kubenea… (endelea). Tuhuma dhidi ya Kikwete zimetolewa ...

Read More »

Vyeti Feki vyafagia wafanyakazi TUGHE

Katibu wa TUGHE, Ally Kiwenge

CHAMA cha wafanyanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) kimepoteza zaidi ya wanachama 9,000 kufuatia hatua ya kuwaondoa watumishi wenye vyeti feki na walioajiliwa na vyeti vya darasa la saba jambo ...

Read More »

Katiba murua Zbar yaikwamisha CCM

Picha Kubwa, John Magufuli, Rais wa Tanzania akiteta jambo na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Picha ndogo Seif Sharrif Hamad, aliyekuwa mgombea wa Urais Zanzibar kupitia CUF

BARAZA la Wawakilishi la Zanzibar limwepitisha muswada wa sheria wa kurekebisha vifungu vya Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar pasina mabadiliko ya msingi yanayohusu Katiba ya Zanzibar, anaandika Jabir Idrissa. Jana ...

Read More »

Utabiri wa MwanaHALISI, watimia, Mbunge wa Chadema ang’oka

images

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, Dk. Godwin Mollel, amekihama chama hicho. Anaripoti Pendo Omary…(endelea). Dk. Mollel alitangaza kujivua uanachama wa chama hicho leo mchana kupitia taarifa ...

Read More »

Hukumu kesi ya ‘Scorpion’ kusomwa mwakani

Salum Njwete (Scorpion)

HUKUMU ya kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu za kibongo, Salum Njwete (Scorpion) inatarajiwa kusomwa ...

Read More »

Rais Msumbiji amuiga Magufuli

Filipe Nyusi, Rais wa Msumbiji akisalimiana na mwenyeji wake, Rais John Magufuli

FILIPE Nyusi, Rais wa Msumbiji amewafukuza kazi mawaziri wanne, akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Nishati, anaandika Mwandishi wetu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Ofisi ...

Read More »

Nyufa Hostel za Magufuli zaanza kurekebishwa

maxresdefault

SIKU chache baada ya kusambaa kwa picha zilizoonesha nyufa katika kuta za majengo ya mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), nyufa hizo zimeanza kukarabatiwa, anaandika Mwandishi Wetu. ...

Read More »

UVCCM wamkera Msigwa

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Kheri James

MBUNGE wa Iringa Mjini Peter Msigwa ameshangazwa na kibwagizo kilichokuwa kikitumiwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha kusema upinzani unakufa, kwenye mkutano wa tisa wa UVCCM Taifa uliofanyika ...

Read More »

NEC wawapotezea Chadema uchaguzi wa marudio

Kailima Ramadhan, Mkurugenza wa NEC

MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani amesema chama cha siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume iuahirishe kwa kuwa haiko kumshawishi mtu au chama ...

Read More »

Wataafu TRL walilia mafao yao

mot_03

WAFANYAKAZI wastaafu zaidi ya 100 wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kuanzia mwaka 2012 hadi  2017 wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati kitendo cha kunyimwa stahiki zao kwa wakati ikiwemo ...

Read More »

JPM uso kwa uso na walimu

Rais John Magufuli akizungumza

RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa ngeni rasimi katika mkutano Mkuu wa kwanza wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Desemba 14 mwaka huu., anaandika Dany Tibason. Mkutano huo itakuwa ni mara ...

Read More »

Ukawa watangaza vita na NEC uchaguzi wabunge

DQxGdLDVQAAT-fL

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuahirisha uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Januari 13, 2018 vinginevyo havitashiriki, anaandika Faki Sosi. Vyama hivyo ...

Read More »

Mwenyekiti UVCCM arudishwa rumande

IMG-20171211-WA0037

BAADA ya kukamatwa, Sadifa Khamis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa leo amefikishwa mahakamani Dodoma kwa tuhuma za kugawa rushwa, anaandika Hamis Mguta. Mwenyekiti huyo amerudishwa rumande mpaka Desemba 19 ...

Read More »

UVCCM wamkera Rais Magufuli kwa rushwa

Rais John Magufuli alipokuwa anaomba kura

LICHA ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kujipambanua kuwa kinapambana na vitendo vya rushwa na ufisadi, bado baadhi ya  jumuiya ndani ya chama hicho ziimeonekana kukumbwa na kashifa ya rushwa na ufisadi wa ...

Read More »

Ripoti ya Tume ya Waziri Mkuu mgogoro wa Loliondo hii hapa, Prof. Magembe akaangwa

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro, Thomas Silomi, akiwa anazungumza na wakazi wa Loliondo, kuhusu mikakati ya kudhibiti mifugo yao isiweze kuingia kwenye pori tengefu la Loliondo

TUME iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa kuchunguza mgogoro wa ardhi uliodumu zaidi ya miaka 26 katika vijiji vinavyopakana na hifadhi ya taifa ya Serengeti, imetoa ripoti yake, anaandika Nasra ...

Read More »

Kupotea kwa Mwandishi wahabari, THRDC yatua Kibiti

Pili Mtambalike, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (wakwanza) na Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC)

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na wadau wengine wameunda kamati ndogo ya uchunguzi na kuituma Kibiti kuthibitsha taarifa zaidi za kupelekwa kusikojulikana mwandishi wa ...

Read More »

Sakata la Babu Seya: Tujikumbushe matusi ya CCM

IMG-20171209-WA0034

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana tarehe 29 Agosti 2015, kimezindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo viongozi kadhaa wa chama hicho ...

Read More »

Kiki ya Babu Seya haimwachi salama Rais Magufuli

BABU_seya

Mheshimiwa Edward Lowassa aliposema kuwa angemtoa Babu Seya, CCM walimdhihaki wakisema, “atamtoaje mbakaji?” Anaandika Ansbert Ngurumo … (endelea). Leo Rais Magufuli amemtoa Babu Seya na mwanaye. Nasubiri kusikia vigelegele vya ...

Read More »

Kubenea: Nitawasaka wanaonichafua

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amekana madai kuwa anataka kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Faki Sosi… (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari, ofisi ...

Read More »

Kiama cha madalali na wenye nyumba chaja

William Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi

KIAMA cha madalali wa kupangisha nyumba na wamiliki wa nyumba za kupangisha kinakuja baada ya serikali kukusudia kupeleka mswada wa sheria bungeni wa kuwataka nao kulipa kodi, anaandika Nasra Abdallah. ...

Read More »

Upinzani wazidi kubomoka, Mbunge wa CUF arudi CCM

FB_IMG_1512282245348

MAULID Mtulia, Mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF amejiuzulu uanachama na ubunge kupitia chama hicho kwa madai kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli, anaandika Faki ...

Read More »

‘Vita nyingine’ ya uchaguzi mdogo yaja

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage

KIPYENGA cha uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo matatu ya Tanzania Bara na kata sita, kimepulizwa rasmi, imefahamika, anaandika Faki Sosi. Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ...

Read More »

Nassari ‘ashambuliwa’ kwa risasi

Joshua Nassari, Mbunge wa Arumeru Mashariki. Picha ndogo maganda ya risasi zilizotumika kufanya katika shambulio hilo

MAKUMI ya watu wenye silaha, jana usiku wakiwa na bunduki na risasi za moto, walivamia nyumbani kwa mbunge wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, kwa lengo la ...

Read More »

Jeshi ladaiwa kutembeza kipigo uraiani

20171201_165452

WATU waliovalia mavazi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamevamia kijiji cha Kisemvule, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani na kuwashambulia wananchi waishio katika eneo hilo, kwa mijeredi, mikanda, ...

Read More »

TAKUKURU wamnasa Diallo

Anthony Diallo, Mmiliki wa Sahara Media ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza,

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imemtia mbaroni, Anthony Mwandu Diallo, ikimtuhumu kugawa mrungula katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mwanza, anaandika Moses ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube