Daily Archives: November 14, 2017

Baada ya kutenda mema, wakasema ASULUBIWE!

Lazaro Nyalandu, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii alipokuwa katika moja ya majukumu yake

NIMEINGIA Wizara ya Maliasili na Utalii kwa uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mnamo Februari 10, 2014, na nimefanya kazi ya Uwaziri kwa takribani miezi 18, anaandika Lazaro Nyalandu. Itakubukwa kwamba ...

Read More »

Takukuru waingia kazini ‘issue’ ya Nyalandu

Naibu Mkurugenzi wa Takukuru, Brigedia Jenerali

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema kuwa suala la aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu imelisikia na imeanza kulifanyia kazi, anaandika Angel Willium. Takukuru wameingia kazini ...

Read More »

Utafiti wa wafanyakazi wa ndani wapigwa ‘stop’

Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia, imeipiga marufuku Taasisi ya Haki za Binadamu kufanya utafiti wa unyanyasaji watumishi wa ndani wa kitanzania wanaofanya kazi nchini Omani na Umoja wa Falme ...

Read More »

Mama aeleza askari wa wanyamapori walivyombaka

Nondomoli Saile, mmoja wa waathirika wa ubakaji huo

MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Arash Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro, Arusha, Nondomoli Saile, ambaye ameathirika na vitendo vya ubakaji wakati wa operesheni ondoa wafugaji wilayani humo amesema ipo ...

Read More »

Kubenea ataka wanasiasa waliofilisi TTCL wakamatwe

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema)

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali kuwakamata na kuwafikisha mahakamani, watumishi wa umma na wanasiasa waliochangia kufilisika kwa shirika la simu la taifa (TTCL) anaandika Dany Tibason. Akizungumza bungeni ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube