Daily Archives: November 13, 2017

NEC yavikumbusha vyama kanuni za kampeni

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaomba wagombea watumie kanuni walizofundishwa katika kampeni za udiwani zinazoendelea katika kata mbalimbali nchini, anaandika Angel Willium. Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima amesema wameruhusu ...

Read More »

Chadema yaanza kumsulubu Nyalandu

SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kujivua uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na nafasi yake ya ubunge na kujiunga na Chadema, ameanza kuonja ...

Read More »

Dk. Shika aendelea kusota, Polisi kumpima akili

KAIMU Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Benedict Kitalika amesema jeshi la polisi linaendelea kummshikilia Dk. Louis Shika kwa kuwa bado linaendelea na uchunguzi huku wakijipanga kumfanyia ...

Read More »

Lulu ahukumiwa jela miaka miwili, ajipanga kukata rufaa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu Msanii wa Filamu, Elizabeth Micheal (Lulu) kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa ...

Read More »

Mahakamani yamtia hatiani Lulu

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam imetia hatiani Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika kesi ya kuua bila kukusidia dhidi ya msanii mwenzake, Steven Kanumba, anaandika Faki Sosi. Hukumu iliyosomwa ...

Read More »

Bodi ya Lipumba kimbembe leo

SIKU ya leo Jumatatu yaweza kuwa chungu mfano wa shubiri kwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi – Civic United Front (CUF) – iliyoidhinishwa na serikali baada ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube