Daily Archives: November 6, 2017

Nusu ya wanafunzi vyuo vikuu wakosa mikopo

Mkurugenzi wa Idara ya Haki na Wajibu wa Wanafunzi Tanzania, Abdul Nondo

WANAFUNZI wa elimu ya juu wamezidi kuikaba koo  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu  (HESLB), na kuitaka iwapatie mikopo, anaandika Faki Sosi. Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo  Vikuu ...

Read More »

Wazazi, walezi wapewa neno

Neema Rusibamaiya, Mkurugenzi wa Huduma ya Chanjo wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia Wazee na Watoto

WAZAZI na walezi kuwatunza na kiwalea watoto wa chini ya miaka mitano ikiwamo kuwapatia lishe bora, elimu na kuwalinda dhidi ya unyanyasaji, anaandika Angela Willium. Kauli hiyo imetolewa leo na ...

Read More »

Zitto azidi kusota na safari za Polisi Dar

Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo akizungumza na waandishi wa Habari muda mchache baada ya kutoka kuripoti Kituo cha Polisi Chang'ombe, Dar es Salaam

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea kusota na safari za kwenda kuripoti katika kituo cha polisi cha Chang’ombe jijini Dar es Salaam, anaandika Hamis Mguta. Kwa mara nyingine ...

Read More »

Dk. Kigwangwala akinukisha, atimua bosi wanyama pori

Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla

HALI ya mambo ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii siyo shwari na sasa Waziri wa wizara hiyo, Dk. Hamisi Kigwangalla amelazimika kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Wanyama Pori kutokana na ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu DR Congo sasa 2018

Rais wa DR Congo, Joseph Kabila (kushoto). Picha ndogo ni mpinzani wake, Moise Katumbi

TUME ya Uchaguzi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018. Hata hivyo, upinzani haujafurahishwa na hatua hiyo ambao umetaka Rais ...

Read More »

Waumini 26 wapigwa risasi kanisani Marekani

Kikosi cha FBI kikifanya uchunguzi eneo la tukio

WATU 26 wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa kanisani na mtu mwenye silaha katika jimbo la Texas nchini Marekani walipokuwa katika ibada. Shambulio hilo lilitekelezwa katika kanisa la First Baptist Church ...

Read More »

ACT-Wazalendo yatoa neno wanaokihama chama

maxresdefault-1

KATIBU wa Itikadi na mawasiliano ya umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amesema wimbi la wanachama wa chama hicho kuhamia CCM linakikomaza, anaandika Hamis Mguta. Shaibu amesema hayo leo asubuhi ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube