Daily Archives: November 1, 2017

Kesi ya uchochezi MAWIO danadana

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (kulia) akiteta jambo na Wahariri gazeti Mawio, Jabir Idrissa (kushoto) na Simon Mkina walipokuwa mahakamani Kisutu

KWA mara ya pili sasa, kesi inayohusu tuhuma za uchochezi ambayo inawakabili waandishi wa habari waandamizi nchini akiwemo Mhariri Mtendaji wa gazeti la MAWIO, Simon Mkina, imeahirishwa kwa sababu Tundu Lissu, ...

Read More »

Wema Sepetu hatua nyuma

Wema Sepetu akiwasili kituo cha Polisi cha Kati

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imepokea hati ya upekuzi wa nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu anayekabiliwa na tuhuma za matumizi ya madawa ya kulevya, anaandika Faki ...

Read More »

Wafanyabiashara wajipanga kuwekeza sekta ya viwanda

0L7C1291

WAFANYABIASHAFA wakubwa nchini, wamejipanga kuendelea kujenga viwanda vikubwa na vidogo katika maeneo mbalimbali nchi ili kuongeza ajira kwa vijana na kukuza uchumi wa Taifa, anaandika Moses Mseti. Wamesema licha ya ...

Read More »

Zitto: Amri ya Rais Magufuli yanikamatisha

Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo akizungumza na waandishi wa habari muda mchache baada ya kuachiwa kwa dhamana na polisi. Picha ndogo Rais John Magufuli

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa Chama cha Act – Wazalendo anasema alijua atakamatwa kutokana na tamko la Rais Dk. John Magufuli kutangulia kuelekeza kuwa akamatwe; na “ningeshangaa nisingetiwa mbaroni,” anaandika Faki ...

Read More »

Neno ‘uchochezi’ linavyotumika kuminya wapinzani

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema (wakwanza) kulia ni Wakili Fatma Karume, Mwanasheria wa kujitegemea

Na Rashid Abdallah KILA nyakati huwa na mbwembwe zake. Nyakati za sasa katika uwanja wa siasa nazo zinazo. Ni mbwembwe nyingi; vituko vingi; mambo ya kuhuzunisha na mengine kufurahisha. Neno ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube