KATIBU wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Stephen Kagaigai amesema kuwa katika maamuzi ya mahakama hakuna sehemu imesema wabunge 8 wa...
By Hamisi MgutaNovember 30, 2017NASYEKZI Lilash, mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Arash, Tarafa ya Loliondo, Wilaya ya Ngorongoro, Mkoani Arusha, amelazimika kumwachisha ziwa mtoto wake wa...
By Masalu ErastoNovember 30, 2017UCHAGUZI mdogo wa kata 43 nchini uliofanyika Novemba 23 mwaka huu umeingia dosari kutokana kuripotiwa kwa matukio ya kupigwa, kutekwa pamoja matumizi mabaya...
By Faki SosiNovember 30, 2017MBUNGE wa Mlimba (Chadema), Suzan Kiwanga (Mama Kiwanga), pamoja na wanachama wengine 67 wa chama hicho, wameswekwa mahabusu ya kituo kikuu cha polisi...
By Saed KubeneaNovember 28, 2017MATOKEO ya uchaguzi wa udiwani katika kata 43 nchi nzima uliofanyika Jumapili yameleta taswira kwamba itafika wakati Watanzania wapige kura kwa kutamka mgombea...
By Jabir IdrissaNovember 28, 2017KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), kimeibuka na kusema kwamba hatma ya katiba mpya ipo mikononi mwa Rais John Magufuli kama atakuwa...
By Masalu ErastoNovember 28, 2017HOSPITALI ya Taifa Muhimbili inatarajia kuwapeleka nchini India watalaam mbalimbali katika sekta ya afya kwa ajili ya mafunzo ya ugonjwa wa Ini, anaandika Angel...
By Bupe MwakitelekoNovember 28, 2017BAADA ya kuathirika kiuchumi kutokana na operesheni ondoa mifugo, katika vijiji vinavyopatakana na hifadhi ya Serengeti, Loliondo, wilayani Ngorongoro, sasa watoto walazimika kufanya...
By Masalu ErastoNovember 28, 2017RAIS wa Jamhuri ya Muungano, John Pombe Magufuli, amekacha kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyetta, zinazofanyika mjini Nairobi, leo...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2017WAZIRI wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Tehama katika wizara hiyo, ifikapo 2018, mradi wa mfumo unganishi...
By Bupe MwakitelekoNovember 27, 2017BAADA ya kukamilika uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata 43 nchini, Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema chama chake kimekubali kushindwa, anaandika...
By Hamisi MgutaNovember 27, 2017WADAU mbalimbali wa masuala ya siasa za Tanzania wamezidi kutoa maoni yao kuhusu uchaguzi mdogo wa marudio ya udiwani ambao ulifanyika jana katika...
By Masalu ErastoNovember 27, 2017WANACHAMA wanane wa CUF waliovuliwa ubunge wamemwandika barua Katibu wa Bunge ili amjulishe Spika Job Ndugai kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu ili achukue...
By Hamisi MgutaNovember 27, 2017RAIA 53 wameuawa katika shambulio la kombora la Urusi katika kijiji kilichopo mashariki mwa Syria Al-Shafah, kundi la uangalizi linasema. Shirika la uangalizi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2017KATIKA hali ya kawaida mtu anaweza kujiuliza nini kimetokea katika uchaguzi wa marudio katika kata 43 hapa nchini. Siku za hivi karibuni kumekuwa...
By Masalu ErastoNovember 27, 2017TINGATINGA limeanza kubomoa majengo ya Wizara ya Maji yaliyopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam kufuatia amri ya Rais John Magufuli aliyoitoa...
By Hamisi MgutaNovember 27, 2017BAADHI ya ng’ombe katika kijiji cha Arash Loliondo, Ngorongoro, mkoani Arusha, wameshindwa kupata soko kutokana na kuwa na majeraha ya risasi huku wengine wakiendelea...
By Masalu ErastoNovember 26, 2017UCHAGUZI mdogo wa udiwani katika kata 43 zilizoko kwenye halmashauri 36 za mikoa 19 ya Tanzania Bara unafanyika leo, huku kukiwa na malalmiko...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2017FAMILIA ya watu 19 imeeleza namna inavyolala chini ya mti baada ya nyumba yao kubomolewa katika operesheni ya kuwaondoa wafugaji iliyofanyika Loliondo, Ngorongoro,...
By Masalu ErastoNovember 25, 2017KWA mara nyingine mnada wa kuuza nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi umeshindwa kufanikiwa baada ya wateja wengi kutofikia bei inayotakiwa, anaandika Mwandishi Wetu....
By Mwandishi WetuNovember 24, 2017MBUNGE wa Songea mjini, Leonidas Gama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Peramiho, anaandika Mwandishi Wetu. Gama amewahi kuwa Mkuu...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2017MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umepinga kauli ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa...
By Faki SosiNovember 22, 2017EDWARD Lowassa amesema hana mpango wa kurejea CCM kama ambavyo taarifa zimekuwa zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii, anaandika Faki Sosi. Lowassa amesema amepata...
By Faki SosiNovember 21, 2017VYAMA vya upinzani leo vimepata pigo baada ya kuondokewa na wanachama wake na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), lakini mbali na pigo...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2017DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza kujiunga na CCM...
By Bupe MwakitelekoNovember 21, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinaweza kukimbiwa na viongozi wake wengine watatu, wakiwamo wabunge wawili wa majimbo, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2017ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini amesema kuwa ana mashaka ni kwa nini Jeshi la Polisi linaendelea kushikilia simu yake mpaka sasa na...
By Hamisi MgutaNovember 20, 2017MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi mbili zilizowasilishwa kupinga uchaguzi wa marudio, imeidhinishwa ushindi wa Kenyatta. Jaji Mkuu David Maraga amesema...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2017IMEELEZWA pamoja na Shirika la Posta kumilikiwa na serikali kwa asilimia 100, ni asilimia 20 tu ya taasisi za serikali ndio zinatumia huduma...
By Masalu ErastoNovember 18, 2017WAZIRI wa Fedha na Mipango Dr Phillip Mpango amewataka viongozi ngazi ya Taifa hadi kijiji kutoa ushirikiano kwa watafiti watakapokuwa wanafanya kazi zao...
By Hamisi MgutaNovember 18, 2017MPANGO wa Kuboresha Elimu Tanzania kwa shule za msingi (EQUIPT TANZANIA) kwa kuanzia vituo vya utayari umechangia kwa kiasi kikubwa wanafunzi kuongezeka mashuleni,...
By Danson KaijageNovember 18, 2017WAZAZI na walezi wilayani Bahi mkoani Dodoma wametakiwa kuwekeza elimu kwa watoto wao wanaohitimu shule ya msingi na sekondari, kwa kuwaendeleza kimasomo zaidi...
By Danson KaijageNovember 18, 2017BILIONEA wa nyumba za Lugumi aliyeteka vichwa vya habari siku za hivi karibuni, Dk. Louis Shika, amekamilisha malipo ya bima kwa ajili ya...
By Masalu ErastoNovember 18, 2017CHAMA tawala Zimbabwe ZANU PF kimemtaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu, kauli hiyo imetolewa na viongozi wa matawi ya chama hicho katika majimbo yote...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2017MENEJA Mkuu wa Kampuni ya Chef Asili Co.LTD mkoani Dodoma Lupyana Chengula, amesema kuwa ili wajasiriamali waweze kufanikiwa kwenye fursa zao za biashara...
By Danson KaijageNovember 17, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imehailisha usikilizwaji wa kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili msanii wa Filamu nchini Wema Sepetu mpaka...
By Faki SosiNovember 17, 2017MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda kwa mara nyingine, anaandika...
By Faki SosiNovember 17, 2017WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, imewaomba wataalamu wa masomo ya kompyuta kuzingatia mafunzo wanayofundishwa ya mafunzo ya makosa ya mtandao, itasaidia kuondoa...
By Bupe MwakitelekoNovember 15, 2017KUMEKUWA na sintofahamu ya kile kinachoendelea nchini Zimbabwe huku kukiwa na taarifa tofauti ya mapinduzi yaliyofanyika nchini humo dhidi ya Rais Robert Mugabe...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhuku kwenda jela mwaka mmoja na nusu au kulipa faini ya Sh. 5 milioni, mtoto wa Marehemu Chacha...
By Faki SosiNovember 15, 2017NIMEINGIA Wizara ya Maliasili na Utalii kwa uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mnamo Februari 10, 2014, na nimefanya kazi ya Uwaziri kwa takribani...
By Mwandishi MaalumNovember 14, 2017TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema kuwa suala la aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu imelisikia na imeanza kulifanyia...
By Bupe MwakitelekoNovember 14, 2017WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia, imeipiga marufuku Taasisi ya Haki za Binadamu kufanya utafiti wa unyanyasaji watumishi wa ndani wa kitanzania wanaofanya...
By Bupe MwakitelekoNovember 14, 2017MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Arash Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro, Arusha, Nondomoli Saile, ambaye ameathirika na vitendo vya ubakaji wakati wa...
By Masalu ErastoNovember 14, 2017MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali kuwakamata na kuwafikisha mahakamani, watumishi wa umma na wanasiasa waliochangia kufilisika kwa shirika la simu la...
By Danson KaijageNovember 14, 2017TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaomba wagombea watumie kanuni walizofundishwa katika kampeni za udiwani zinazoendelea katika kata mbalimbali nchini, anaandika Angel Willium....
By Bupe MwakitelekoNovember 13, 2017SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kujivua uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na nafasi yake ya...
By Danson KaijageNovember 13, 2017KAIMU Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Benedict Kitalika amesema jeshi la polisi linaendelea kummshikilia Dk. Louis Shika kwa kuwa...
By Bupe MwakitelekoNovember 13, 2017LEO, tarehe 13 Novemba 2017, mahakama kuu jijini Dar es Salaam, imemuhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani, msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth...
By Faki SosiNovember 13, 2017MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam imetia hatiani Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika kesi ya kuua bila kukusidia dhidi ya msanii mwenzake,...
By Faki SosiNovember 13, 2017