Saturday , 20 April 2024

Month: October 2017

Michezo

Mobetto amburuza mahakamani Diamond Platnum

NASEEB Abdul ‘Diamond Platnumz’ atakiwa kufika mahakamani Oktoba 30, 2017 kujibu malalamiko ya kushindwa kumuomba radhi mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto na kushindwa kutoa...

Habari za SiasaTangulizi

Familia ya Lissu yaibuka na kuing’ang’ania serikali

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu imeibuka na kuing’ang’ania serikali ikitaka uchunguzi wa kina ufanyike ukihusisha wachunguzi wa nje ili...

Habari za Siasa

Kubenea amtaka Kamanda Sirro kujipima

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, “kujipima” kutokana na kile alichoita, “kushidwa kutimiza...

Habari Mchanganyiko

Mkemia Mkuu kuchunguza gongo iliyoua Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa kuhusiana na vifo vya watu 10 vinavyodaiwa kutokana na unywaji wa gongo,...

Afya

WHO kutokomeza kipindupindu mwaka 2030

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeeleza matumaini yake ya kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya kipindupindu duniani sambamba na vifo vitokanavyo na ugonjwa...

Habari Mchanganyiko

Albino wakimbilia kwa Rais Magufuli

CHAMA cha wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania (TAS) kimemuomba Rais Dk. John Magufuli kutoa tamko la kukemea vikali vitendo vya ukatili kwa watu...

Habari Mchanganyiko

Ukerewe wachekelea kufikiwa na PSPF

WATUMISHI wa umma pamoja na wananchi katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wameiomba serikali na mashirika yanayotoa huduma za jamii kusogeza huduma zake...

Habari Mchanganyiko

Wafugaji chanzo cha migogoro ya ardhi

WAFUGAJI katika wilaya ya Mvomero Mkoani hapa wametakiwa kufuata maelekezo wanayopewa na maofisa kilimo na mifugo juu ya ufugaji wa kisasa ili kupunguza...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wamchongea Rais Magufuli kwa wafanyakazi

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeshitaki Rais John Magufuli kwa wafanyakazi kutokana na kauli zake alizozitoa jana alipokuwa akihutubia katika Mkutano wa 33 wa...

Habari Mchanganyiko

Wanaswa wakisafirisha dawa za kulevya

WATU watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo la dawa ya kuleya aina ya bangi, anaandika Christina Haule....

Habari Mchanganyiko

Mbaroni kwa kumkata mkono albino

JESHI la polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumkata mkono mlemavu wa ngozi /albino katika kijiji cha Nyarutanga kata...

Habari Mchanganyiko

Tanesco wamdharau Naibu Waziri Kalemani

SIKU moja baada ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Medadi Kalemani kupiga marufuku umeme kukatika katika jiji la Dar es Salaam, leo...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge, Serikali wasaka siri za Tundu Lissu

USIRI uliotanda kuhusu matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu, anayetibiwa nchini Kenya, unaitesa serikali na uongozi wa Bunge la Tanzania,...

Makala & Uchambuzi

Sakata la Madiwani Arusha; Takukuru, Maadili kazi kwenu

MBUNGE wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari, sasa aweza kuwa “amefunga rasmi” mgodi wa ununuzi wa madiwani wa upinzani uliobuniwa na viongozi wa...

Habari za Siasa

Mbwembwe za Bombardier zayeyuka

AHADI ya Rais John Magufuli ya kununua na kuleta ndege moja aina ya Bombardier ifikapo Julai mwaka huu, imeyeyuka. Ndege haijafika Tanzania. Na...

Makala & Uchambuzi

Bwana Ali Juma ‘kafa ngangari’

“Masikini bwana Ali, kafa ilhali yuajua Masikini bwana Ali, kafa yuaona Masikini bwana Ali, kafa yuaasa Masikini bwana Ali, kafa yungangari” NAANDIKIA haya...

Makala & Uchambuzi

Balozi Amina hamaanishi akisemacho au hasemi akimaanishacho

MWANZONI mwa wiki hii, Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko kwenye serikali ya Dk. Ali Mohamed Shein, Balozi Amina Salum Ali, aliliambia Baraza...

Makala & Uchambuzi

Mbunge: Nguvu ya umma imezidi Mazombi

KUFUMBA na kufumbua, Bwana Ali Juma Suleiman ametangulia mbele ya haki. La, bora niseme ametangulizwa mbele ya haki kwa kudhulumiwa na makundi ambayo...

Makala & Uchambuzi

Tunatafuta ‘suluhisho la mwisho?’

WALE wanaozielewa siasa za Marekani kwa sasa, watakubali namna mabadiliko yanavyoibadilisha dola hii yenye nguvu kubwa zaidi za kiuchumi na kijeshi, anaandika Rashid...

Habari za SiasaTangulizi

Kada wa Chadema aliyesota rumande apata dhamana

KADA wa Chadema wiyani Chato, Obadiah Kiko (41), amepanidhishwa kizimbani jijini Dar es Salaam akituhumiwa kuchapisha “taarifa za uongo juu ya serikali,” anaandika...

Habari Mchanganyiko

Serikali yafanya msako uuzaji mbolea

MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea nchini (TFRA) imewataka wafanyabiashara wakubwa na wa kati kuzingatia bei elekezi ya uuzaji wa mbolea na uhifadhi wake...

Kimataifa

Vurugu zafunga chuo cha Nairobi

CHUO  Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana na Wanafunzi chuoni hapo wameamriwa kuondoka chuoni hapo  leo, anaandika Hamis Mguta. Uamuzi huo umefikiwa...

Habari Mchanganyiko

Migogoro ya ardhi yavuruga vijiji

SERIKALI imeombwa kutoa elimu kwa viongozi wa ngazi za vijiji  ili waweze kusimamia na kuzitumia sheria ndogo za ardhi zilizopo kwa ajili ya ...

Habari Mchanganyiko

Chadema Morogoro  waangusha maombi kwa Lissu

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya kati pamoja na uongozi wa Chadema mkoa wa Morogoro wameungana kufanya maombi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lema: Rais Magufuli amedanganywa na wasaidizi wake

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema kuwa Rais John Magufuli amedanganywa na wasaidizi wake kuhusu suala la kujiuzulu kwa madiwani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watu wasiojulikana wafungua matairi gari la Lema

MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesema watu wasiojulikana walifungua baadhi ya nati kwenye taili ya gari yake kitu ambacho kingeweza kumsababishia ajali,...

Kimataifa

Eneo la Catalonia latangaza kujitawala

SERIKALI ya eneo la Catalonia nchini Hispania imetangaza kupata ushindi wa kujitawala baada ya wakazi wake kushiriki kwa wingi katika kura ya maoni...

Kimataifa

Waliotekeleza ghasia Cameroon wamtibua rais

RAIS wa Cameroon, Paul Biya amelaani ghasia zilizotekelezwa na wananchi na kusababisha mauaji ya watu nane wakati wa maandamano ya raia wa nchi...

Habari za SiasaTangulizi

Nassari aanika ushahidi wa CCM kununua madiwani

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ameanika ushahidi mwanana kuhusiana na mradi wa ununuzi wa madiwani, anaandika Saed Kubenea....

Habari za SiasaTangulizi

Kanuni alizovunja Magufuli kufanyia mkutano wa CCM Ikulu hizi hapa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemjibu utetezi wa Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole wa kutumia Ikulu kufanya mikutano...

error: Content is protected !!