KAMATI ya Miss Tanzania kwa mara ya kwanza imeshindwa kufanya mashindano ya kumtafuta mrembo wake kwa mwaka 2017, badala yake imeteua msichana bila...
By Bupe MwakitelekoOctober 18, 2017CHAMA cha Act-Wazalendo kimefunguka na kusema kwamba Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), haioni aibu kukandamiza demokrasia pamoja na uhuru wa vyombo vya...
By Faki SosiOctober 18, 2017SERIKALI ya Jamhuri ya Ireland kupitia Shirika la Maendeleo nchini humo (IrishAid), limetoa msaada msaada wa Euro 350,000 sawa na Sh. milioni 750...
By Moses MsetiOctober 18, 2017AFYA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anayetibiwa majeraha ya risasi kwenye hospitali kuu ya Nairobi, inaendelea kuimarika na kwamba muda...
By Faki SosiOctober 17, 2017WATU wenye ulemavu nchini wameiomba serikali na taasisi mbalimbali binafsi kuwasaidia eneo la kujenga ofisi ya kudumu. Anaandika Angela Willium Wamesema wanahitaji ofisi kwa...
By Bupe MwakitelekoOctober 17, 2017KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemugeuzia kibao Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari (Chadema) ambaye...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2017MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ametinga kwa mara ya pili kwenye ofisi za taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
By Faki SosiOctober 16, 2017HALI ngumu ya kiuchumi imesababisha ukubwa wa mtaji wa kampuni kubwa zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kushuka kutoka...
By Bupe MwakitelekoOctober 16, 2017RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania amemteua aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara katika Serikali ya Awamu ya Nne ya Jakaya...
By Faki SosiOctober 16, 2017DUKA kubwa (Supermarket) la Nakumatt lililopo jijini Dar es salaam, limelifungia, baada ya kukosa bidhaa za kutosha kwa muda mrefu pamoja na kudaiwa...
By Bupe MwakitelekoOctober 16, 2017MKUU wa chama cha kihafidhina nchini Austria cha People’s Party, Sebastian Kurz, anaelekea kupata ushindi wa kuliongoza taifa hilo akiwa na umri mdogo, anaandika...
By Hamisi MgutaOctober 16, 2017MWANAWAZUONI, mwanaharakati na kiongozi mashuhuri wa madhehebu ya dini ya Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, bado anaendelea kushikiriwa na jeshi la polisi...
By Faki SosiOctober 13, 2017HATIMAYE mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amepata ruhusa ya kwenda kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Anaandika Faki Sosi....
By Faki SosiOctober 13, 2017RAIA wa Denmark Ricki Thomson (49), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa kosa ka kukutwa fuvu...
By Faki SosiOctober 13, 2017WAZAZI wa shule ya sekondari Azania wanaombwa kuchangia fedha kwa ajili ya kununua viti vya kukalia wanafunzi wanapokuwa darasani, anaandika Angel Willium. Akizungumza...
By Bupe MwakitelekoOctober 13, 2017SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania amethibitisha kuwa anaheshimu mamlaka na sheria kutokana kutii wito wa Jeshi...
By Faki SosiOctober 13, 2017MIMBA na ndoa katika umri mdogo bado vinaitesa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, ingawa serikali haina takwimu sahihi za wasichana wanaokumbwa na matatizo...
By Danson KaijageOctober 12, 2017TAASISI za kifedha zikiwamo benki zimetakiwa kupunguza riba katika mikopo yao ili kuwasaidia wananchi wanyonge, anaandika Dany Tibason Ombi hilo limetolewa leo na...
By Danson KaijageOctober 12, 2017JESHI la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtaka Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda kujisalimisha mikononi...
By Hamisi MgutaOctober 12, 2017MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji Tanzania, Jimmy Mafufu amewataka wasanii kujiunga katika mfumo wa bima kupitia mfuko wa PPF ili kuondokana na...
By Hamisi MgutaOctober 12, 2017SIKU tano tangu Rais John Magufuli afanye mabadiloko kwenye Baraza la Mawaziri, wananchi wa wilaya ya Loliondo mkoani Arusha wameshangilia kutemwa aliyekuwa Waziri...
By Faki SosiOctober 12, 2017ALIYEWAHI kuwa mchezaji bora wa dunia, Georgr Weah ameibuka mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia katika uchaguzi uliofanyika juzi. Weah amewahi kuichezea...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2017KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mtangazaji wa mpira nchini Urusi ameondoka uwanjani kabla mchezo haujaisha na kuwaacha watazamaji wakiangalia mechi hiyo bila maelezo....
By Mwandishi WetuOctober 12, 2017RAIS Donald Trump ametangaza vita na vyombo vya habari nchini mwake kwa madai kwamba vimekuwa vikikiuka taratibu na kuonyessha ama kuandika habari kwa...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2017SASA inavyoonesha ni kama vile Jeshi la Polisi Tanzania (TPF) linafikiri watu kuzungumzia chochote kuhusu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ni haramu...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ( IGP), Simon Sirro kuacha kutoa vitisho kwa wananchi na...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017ALIYEKUWA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki leo ameaga ofisi yake ya zamani huku akikumbuka alivyohangaika na watumishi...
By Bupe MwakitelekoOctober 11, 2017EDWIN Kawito(25), mkazi wa Manispaa ya Dodoma amekabidhiwa Sh. milioni 60 alizojishindia katika droo ya 10 ya mchezo wa bahati nasibu ya tatu...
By Danson KaijageOctober 11, 2017WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amewataka watumishi wa Wizara hiyo kujipima na...
By Danson KaijageOctober 11, 2017EDWARD Simbeye, Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), amepata ajali ya gari, anaandika Hamisi Mguta. Ajali...
By Hamisi MgutaOctober 11, 2017Na Mwandishi Wetu SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, aweza kuwa hajasema ukweli kuhusu madai kuwa hamfahamu na wala hajawahi kumuona zaidi...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017Na Mwandishi Maalum RAIS John Pombe Magufuli, ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri kwa kuondoa baadhi, wengine kuwahamisha na wapya kuingizwa. Miongoni...
By Mwandishi MaalumOctober 11, 2017Na Rashid Abdallah NINAJIULIZA ni kwanini siasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinaendelea kuwa za vilio, vitisho, mateso na hata vifo....
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017MUUNGANO wa vyama vya Nasa umetangaza kujitoa rasmi katika uchaguzi mkuu wa Kenya uliopangwa kufanyika tarehe 26 Oktoba mwaka huu, anaandika Mwandishi Wetu....
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017POLISI nchini Zambia wamewakamata mashabiki watano kwa madai ya kuvamia nyumba ya mwanasoka wa timu ya taifa ya kandanda, Alex N’gonga. Mashabiki hao...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017WANANCHI nchini Liberia leo wanapiga kura kumchagua mrithi wa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa rais barani Afrika na mshindi wa tuzo la amani...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017KWA takribani miezi 23 tangu Rais John Magufuli aingie Ikulu, Mapato ya serikali kwa mwezi yameshuka kutoka trilioni 1.4 Desemba 2015 hadi kufikia...
By Bupe MwakitelekoOctober 10, 2017KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameueleza mtandao huu kwamba, amefanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria...
By Faki SosiOctober 10, 2017WATANZANIA wameshauriwa kujiunga na huduma za benki ili kuwawezesha kupata mikopo ambayo itawasaidia kufanya shughuli za ujasiliamali kwa lengo la kujikwamua kiuchumi, anaandika...
By Moses MsetiOctober 10, 2017HATIMAYE Prof. Kitila Mkumbo, aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Chama Cha ACT Wazalendo, ameonyesha rangi yake halisi baada ya kutangaza rasmi kujiondoa katika...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2017WAZIRI wa Afya Nchini Tunisia amefariki kutokana na mshutuko wa moyo baada ya kushiriki katika mbio za kuchangisha fedha za kusaidia kupambana na...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2017RAIS wa Marekani, Donald Trump ameomba ufadhili kwa ajili ya ujenzi wa ukuta ili kusaidia kuwafukuza wahamiaji kutoka nchini Mexico. Mwezi uliopita alifuta...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2017BAADA ya tukio la kijinga, la kitoto, lisilo na mantiki wala lisilojenga heshima yoyote kwa washambuliaji; la kushambuliwa kwa risasi Rais wa Chama...
By Mwandishi MaalumOctober 9, 2017RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, John Magufuli ametangaza baraza jipya la mawaziri lililoongezeka kutoka mawaziri 19 hadi 21 na manaibu 16...
By Faki SosiOctober 7, 2017UCHUNGUZI utakaofanywa na wachunguzi wa nje ya Tanzania kuhusu matukio ya kihalifu yanayoendelea nchini, utatoa nafasi nzuri kwa serikali ya Dk. John Magufuli...
By Jabir IdrissaOctober 6, 2017MBUNGE wa Arusha mjini, Godbless Lema (Chadema), amefunguka na kueleza anavyowindwa na watu wasiojulikana kama ilivyotokea kwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu...
By Faki SosiOctober 6, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji aliyekuwa anatuhumiwa kwa kosa la utumiaji wa dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi....
By Faki SosiOctober 6, 2017CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kushiriki uchaguzi mdogo wa Madiwani katika kata 43 hapa nchini unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, anaandika Faki...
By Faki SosiOctober 6, 2017AGIZO la Rais John Magufuli alilotoa mwaka jana la kujenga nyumba eneo la Magomeni Kota limegeuka kuwa ahadi hewa baada ya kazi hiyo...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2017MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi lilowekwa na mawakili wa Professa Ibrahim Lipumba la kuhusu kuzuwazuia wajumbe wake wa...
By Faki SosiOctober 6, 2017