Tuesday , 23 April 2024

Day: October 13, 2017

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda bado ang’ang’aniwa

MWANAWAZUONI, mwanaharakati na kiongozi mashuhuri wa madhehebu ya dini ya Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, bado anaendelea kushikiriwa na jeshi la polisi...

Habari Mchanganyiko

Mtuhumiwa Escrow akimbizwa Muhimbili

HATIMAYE  mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amepata ruhusa ya kwenda kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili  (MNH).  Anaandika Faki Sosi....

Habari Mchanganyiko

Mzungu kortini kwa kukutwa na fuvu la Nyumbu.

RAIA wa  Denmark Ricki Thomson (49), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam  kwa kosa ka kukutwa fuvu...

Elimu

Wazazi Azania sekondari watupiwa neno

WAZAZI wa shule ya sekondari Azania wanaombwa kuchangia fedha kwa ajili ya kununua viti vya kukalia wanafunzi wanapokuwa darasani, anaandika Angel Willium. Akizungumza...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda atii sheria bila shuruti, ajisalimisha Polisi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania amethibitisha kuwa anaheshimu mamlaka na sheria kutokana kutii wito wa Jeshi...

error: Content is protected !!