SASA inavyoonesha ni kama vile Jeshi la Polisi Tanzania (TPF) linafikiri watu kuzungumzia chochote kuhusu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ni haramu...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ( IGP), Simon Sirro kuacha kutoa vitisho kwa wananchi na...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017ALIYEKUWA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki leo ameaga ofisi yake ya zamani huku akikumbuka alivyohangaika na watumishi...
By Bupe MwakitelekoOctober 11, 2017EDWIN Kawito(25), mkazi wa Manispaa ya Dodoma amekabidhiwa Sh. milioni 60 alizojishindia katika droo ya 10 ya mchezo wa bahati nasibu ya tatu...
By Danson KaijageOctober 11, 2017WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amewataka watumishi wa Wizara hiyo kujipima na...
By Danson KaijageOctober 11, 2017EDWARD Simbeye, Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), amepata ajali ya gari, anaandika Hamisi Mguta. Ajali...
By Hamisi MgutaOctober 11, 2017Na Mwandishi Wetu SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, aweza kuwa hajasema ukweli kuhusu madai kuwa hamfahamu na wala hajawahi kumuona zaidi...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017Na Mwandishi Maalum RAIS John Pombe Magufuli, ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri kwa kuondoa baadhi, wengine kuwahamisha na wapya kuingizwa. Miongoni...
By Mwandishi MaalumOctober 11, 2017Na Rashid Abdallah NINAJIULIZA ni kwanini siasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinaendelea kuwa za vilio, vitisho, mateso na hata vifo....
By Mwandishi WetuOctober 11, 2017