Daily Archives: October 10, 2017

NASA wajiondoa kwenye uchaguzi Kenya

Raila Odinga, aliyekuwa mgombea wa Muungano wa NASA

MUUNGANO wa vyama vya Nasa umetangaza kujitoa rasmi katika uchaguzi mkuu wa Kenya uliopangwa kufanyika tarehe 26 Oktoba mwaka huu, anaandika Mwandishi Wetu. Uamuzi wa kujiondoa katika uchaguzi huo umetangazwa ...

Read More »

Mashabiki wavamia nyumba ya mchezaji Zambia

Timu ya Taifa ya Zambia

POLISI nchini Zambia wamewakamata mashabiki watano kwa madai ya kuvamia nyumba ya mwanasoka wa timu ya taifa ya kandanda, Alex N’gonga. Mashabiki hao walishikwa na hasira kuwa Ng’onga alikosa nafasi ...

Read More »

Nani kuibuka mshindi Liberia leo?

George Weah, Mshindi wa Urais

WANANCHI nchini Liberia leo wanapiga kura kumchagua mrithi wa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa rais barani Afrika na mshindi wa tuzo la amani la Nobel, Ellen Johnson Sirleaf. Aliyekuwa mcheza ...

Read More »

Mapato TRA 2015/17 yashuka kwa bilioni 100

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo

KWA takribani miezi 23  tangu Rais John Magufuli aingie Ikulu, Mapato ya serikali kwa mwezi yameshuka kutoka trilioni 1.4  Desemba 2015  hadi kufikia Sh. 1.2 trilion mwezi uliopita, anaandika Angel Willium. ...

Read More »

Sheikh Ponda: Nimemwona Lissu, nimeumia

Sheikh Ponda akiwa ndani ya kituo cha televisheni cha Horizon cha nchini Kenya

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameueleza mtandao huu kwamba, amefanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania, Tundu Lissu anayendelea na matibabu jijini ...

Read More »

NMB yawapa matumaini wananchi wa Mwanza

Taswila ya jiji la Mwanza

WATANZANIA wameshauriwa kujiunga na huduma za benki ili kuwawezesha kupata mikopo ambayo itawasaidia kufanya shughuli za ujasiliamali kwa lengo la kujikwamua kiuchumi, anaandika Moses Mseti. Ushauri huo umetolewa leo mbele ...

Read More »

Prof. Kitila Mkumbo aonyesha rangi yake halisi

Prof. Kitila Mkumbo, Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji. Picha ndogo ni siku ya kuapishwa nafasi hiyo

HATIMAYE Prof. Kitila Mkumbo, aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Chama Cha ACT Wazalendo, ameonyesha rangi yake halisi baada ya kutangaza rasmi kujiondoa katika chama hicho cha upinzani, anaandika Shabani Matutu. ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube