Daily Archives: October 6, 2017

Masha: Serikali iruhusu wapelelezi wa nje

Lawrence Masha, Kada wa Chadema na Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Awamu ya Nne Tanzania

UCHUNGUZI utakaofanywa na wachunguzi wa nje ya Tanzania kuhusu matukio ya kihalifu yanayoendelea nchini, utatoa nafasi nzuri kwa serikali ya Dk. John Magufuli kufuta hisia nzito walizonazo umma za kuhofu ...

Read More »

‘Watu wasiojulikana’ wanyemelea roho ya Lema

Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini

MBUNGE wa Arusha mjini, Godbless Lema (Chadema), amefunguka na kueleza anavyowindwa na watu wasiojulikana kama ilivyotokea kwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu (Chadema), anaandika Faki Sosi. Akizungumza na waandishi ...

Read More »

Ushahidi wa Dk. wa Muhimbili wamweka huru Manji

IMG_2160

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji aliyekuwa anatuhumiwa kwa kosa la utumiaji wa dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Hukumu hiyo imetolewa mchana huu na Hakimu ...

Read More »

CUF kushirikiana na Ukawa uchaguzi madiwani

Edward Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema (wakwanza)akiteta jambo na Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kushiriki uchaguzi mdogo wa Madiwani katika kata 43 hapa nchini unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, anaandika Faki Sosi. CUF kimesema katika uchaguzi huo kitashirikiana ...

Read More »

Ahadi ya Rais Magufuli, nyumba za Magomeni yaota mbawa

Ujenzi wa nyumba za Magomeni Kota ulipoanza. Picha ndogo Rais John Magufuli alipokuwa anatoa ahadi ya ujenzi huo

AGIZO  la Rais John Magufuli alilotoa mwaka jana la kujenga nyumba eneo la Magomeni Kota limegeuka kuwa ahadi hewa baada ya kazi hiyo kushindwa kufanyika badala yake kiwanja hicho kimegeuzwa ...

Read More »

Mahakama yaipiga ‘stop’ Bodi ya Prof. Lipumba

Prof. Ibrahim Lipumba (picha kubwa). Picha ndogo Jaji Francis Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi lilowekwa na mawakili wa Professa Ibrahim Lipumba la kuhusu kuzuwazuia wajumbe wake wa Bodi ya Wadhamini isifanye kazi mpaka shauri ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube