Daily Archives: October 5, 2017

Mobetto amburuza mahakamani Diamond Platnum

Hamisa-mobetto-na-Diamond-Platnumz

NASEEB Abdul ‘Diamond Platnumz’ atakiwa kufika mahakamani Oktoba 30, 2017 kujibu malalamiko ya kushindwa kumuomba radhi mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto na kushindwa kutoa matunzo ya mtoto, anaandika Mwandishi Wetu. Diamond ...

Read More »

Familia ya Lissu yaibuka na kuing’ang’ania serikali

Alute Mughwa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari, kushoto ni Vincent Mughwai

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu imeibuka na kuing’ang’ania serikali ikitaka uchunguzi wa kina ufanyike ukihusisha wachunguzi wa nje ili kubaini watu waliomshambulia ndugu yao kwa risasi ...

Read More »

Kubenea amtaka Kamanda Sirro kujipima

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro. Picha ndogo, Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, “kujipima” kutokana na kile alichoita, “kushidwa kutimiza wajibu wake,” anaandika Mwandishi Wetu. Amesema, “Kamanda ...

Read More »

Mkemia Mkuu kuchunguza gongo iliyoua Dar

Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa kuhusiana na vifo vya watu 10 vinavyodaiwa kutokana na unywaji wa gongo, anaandika Charles William. Vifo hivyo vilivyotokana na ...

Read More »

WHO kutokomeza kipindupindu mwaka 2030

Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeeleza matumaini yake ya kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi ya kipindupindu duniani sambamba na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo kwa asilimia 90 ifikapo 2030, anaandika ...

Read More »

Albino wakimbilia kwa Rais Magufuli

Walemavu wa ngozi (Albino)

CHAMA cha wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania (TAS) kimemuomba Rais Dk. John Magufuli kutoa tamko la kukemea vikali vitendo vya ukatili kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ili waweze ...

Read More »

Ukerewe wachekelea kufikiwa na PSPF

Kisiwa cha Ukerewe, Mwanza

WATUMISHI wa umma pamoja na wananchi katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wameiomba serikali na mashirika yanayotoa huduma za jamii kusogeza huduma zake karibuili kupunguza gharama na muda kwenda mkoani, ...

Read More »

Wafugaji chanzo cha migogoro ya ardhi

Makundi ya Ng'ombe yaliyokutwa katika Poro Tengefu la Loliondo

WAFUGAJI katika wilaya ya Mvomero Mkoani hapa wametakiwa kufuata maelekezo wanayopewa na maofisa kilimo na mifugo juu ya ufugaji wa kisasa ili kupunguza migogoro ya ardhi, anaandika Christina Haule. Ombi ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube