Daily Archives: October 2, 2017

Lema: Rais Magufuli amedanganywa na wasaidizi wake

Wabunge wa Chadema, Mch. Peter Msigwa (wa kwanzakushoto), Godbless Lema na Joshua Nassari

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema kuwa Rais John Magufuli amedanganywa na wasaidizi wake kuhusu suala la kujiuzulu kwa madiwani wa Chadema kuwa wamemuunga mkono kazi yake ...

Read More »

Watu wasiojulikana wafungua matairi gari la Lema

DLHRMpjXUAAlk9e

MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesema watu wasiojulikana walifungua baadhi ya nati kwenye taili ya gari yake kitu ambacho kingeweza kumsababishia ajali, anaandika Hamis Mguta. Lema na Mbunge wa ...

Read More »

Eneo la Catalonia latangaza kujitawala

20139111544563734_18

SERIKALI ya eneo la Catalonia nchini Hispania imetangaza kupata ushindi wa kujitawala baada ya wakazi wake kushiriki kwa wingi katika kura ya maoni iliyofanyika jana Jumapili Oktoba 1, anaandika Catherine ...

Read More »

Waliotekeleza ghasia Cameroon wamtibua rais

Rais wa Cameroon, Paul Biya

RAIS wa Cameroon, Paul Biya amelaani ghasia zilizotekelezwa na wananchi na kusababisha mauaji ya watu nane wakati wa maandamano ya raia wa nchi hiyo, anaandika Catherine Kayombo. Maandamano hayo yaliyofanywa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube