Monthly Archives: October 2017

Wakandarasi wazawa waililia serikali

Ujenzi reli ya kisasa

VYAMA vya wakandarasi vya Contractors Association of Tanzania, Tanzania Civic Engineering Contractors na Association of Citizen Contractors, wameiomba serikali iendelee kutoa fursa za kazi kwenye ujenzi wa miundombinu nchini, anaandika ...

Read More »

Zitto aachiwa kwa dhamana, akamatwa tena, sasa takwimu

Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo

KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo ameachiwa kwa dhamana alipokuwa anahojiwa katika kituo cha Polisi cha Chang’ombe kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi, kabla ya kukamatwa tena sasa kwa makosa ...

Read More »

Sababu za kukamatwa Zitto hizi hapa

Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo

JESHI la Polisi linaendelea kumshikiria Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa mahojiano kwa kosa ya kutoa kauli za uchochezi katika mkutano wa hadhara ...

Read More »

JPM atangaza vita na wakuu wa mikoa

Rais John Magufuli

RAIS John Magufuli ametangaza vita na wakuu wa mikoa watakaoshindwa kuweka mikakati na mipango ya kujenga viwanda katika maeneo yao ili kuendana na sera ya Serikali ya Awamu ya Tano ...

Read More »

Lazaro Nyalandu hakamatiki

20171030_232529

KILICHOITWA na watawala, “Operesheni Tokomeza” iliyoishia kujiuzulu kwa waziri mmoja na kufutwa kazi mawaziri watatu wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, yaweza kuwa funguo ya ukomeshaji wa vitendo vya mauwaji, ...

Read More »

Taasisi ya Tulia Ackson yatembeza bakuri kwa wadau

Tulia Ackson

TAASISI ya Utamaduni wa Ngoma za Asili ( Tulia Traditonal Dances) imewaomba wadau mbalimbali waliosaidia kufanikisha tamasha lao kufanya hivyo tena kwa mwaka 2018, anaandika Angela Willium. Mmiliki wa taasisi ...

Read More »

Rais Magufuli amwaga Sh. bilioni 9  Mwanza

Rais John Magufuli akizungumza

RAIS  John Magufuli ameagiza zitolewa Shilingi bilioni tisa kwa ajili ya upanuzi wa  uwanja wa ndege wa Jiji la Mwanza, anaandika Moses Mseti. Ametoa agizo hilo leo  alipofungua daraja la ...

Read More »

Ujenzi soko la Sabasaba Morogoro wageuka kitendawili

IMG_20161002_144919

HALMASHAURI  ya Manispaa ya Morogoro imeombwa kuweka wazi na kuanza mapema ujenzi wa soko kuu jipya la kisasa, anaandika Christina Haule. Soko hilo lilivunjwa miaka minne iliyopita kwa ahadi ya ...

Read More »

Nyalandu aitosa CCM, haridhishwi na serikali ya Magufuli

10

MBUNGE wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amejiuzulu nafasi hiyo na kujiondoa CCM kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa siasa nchini, anaandika Mwandishi Wetu. Pia Nyalandu amejiuzuru nafasi ya ujumbe ...

Read More »

Mkandarasi wa barabara ‘awachefua’ Madiwani Morogoro

Mji wa Morogoro

MWENYEKITI  wa  Kamati ya Mipango Miji katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro,  Amir Nondo ameiomba iundwe kamati maalum kwa ajili ya kusimamia  barabara ya Mei Mosi ...

Read More »

Meya Mwanza akamatwa asimwage mboga mbele ya Rais Magufuli

Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire. Picha ndogo, Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza

MEYA wa Jiji la Mwanza, James Bwire amekamatwa na jeshi la Polisi muda mchache kabla ya kutoa salamu zake kwa Rais John Magufuli katika uzinduzi wa kiwanda cha Sayona kwa ...

Read More »

Zitto Kabwe aivuruga tena serikali

Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo. Picha ndogo Rais John Magufuli

KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, ameituhumu serikali kupika takwimu juu ya kupanda kwa pato la taifa, anaandika Faki Sosi. Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya ...

Read More »

Polisi ‘vibaka’ wapewa neno

Bahame Nyanduga, Mwenyekiti wa Haki za Binadamu na Utawala Bora

TUME y a Haki za Binadamu na Utawala Bora Nchini, imelionya Jeshi la Polisi na kulitaka kuagiza askari wa jeshi hilo kurudisha mali walizochukua katika kiwanda cha juisi cha Sophy ...

Read More »

Makamu wa rais mpenda anasa atupwa jela

Teodorin Obiang

MAHAKAMA nchini Ufaransa imemhukumu makamu wa rais wa Equatorial Guinea, Teodorin Obiang kifungo cha miaka mitatu jela ambacho kimeahirishwa. Obiang 48, hufahamika sana kutokana na maisha yake ya anasa ambaye ...

Read More »

Rais Nkurunzinza aichomoa Burundi ICC

Pierre Nkurunziza, Rais wa Burundi

NCHI ya Burundi imekuwa ya kwanza kwa Afrika Mashariki kujiondoa uanachama katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC). Serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki ilitoa taarifa ya ...

Read More »

Mawasiliano ya barabara Dar mikoani yarejea

410618366

MAWASILIANO ya barabara kati ya jiji la Dar es Salaam na mikoani imerejea leo baada ya magari kuanza kupita katika daraja la Kiluvya ambalo jana lilikuwa limejaa maji na hivyo ...

Read More »

Waziri wa Kikwete asema Tanzania hapafai kufanyia siasa

Goodluck Ole Medeye

GOODLUCK ole Medeye, aliyepata kuwa naibu waziri katika serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameibuka na kusema mazingira ya sasa nchini hayafai kufanya shughuli za kisiasa, anaandika Richard Makore. Akizungumza na ...

Read More »

Hukumu ya Sheikh Ponda yakwama

Sheikh Ponda Issa Ponda

MAHAKAMA ya Rufaa imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda baada ya jaji kutokamilisha kuiandika, anaandika Faki Sosi. Katika rufaa hiyo Serikali inapinga hukumu ya ...

Read More »

Waziri wa Nishati ‘amtoa kafara’ mtumishi Tanesco

Waziri wa Nishati na Madini, Merdad Karemani

WAZIRI wa Nishati na Madini, Merdad Karemani amemtoa  ‘kafara’ meneja uendeshaji wa mtambo wa kufua umeme wa Kidatu mkoani Morogoro kufuatia nchi kuingia gizani mara kwa mara kwa kukosa umeme ...

Read More »

Mvua zaleta balaa Dar, Pwani

Daraja la Kiluvya

MVUA zinazoendelea kunyesha kuanzia jana mchana zimeanza kuleta madhara baada ya daraja la Kiluvya linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kukatika. Kutokana na daraja hilo kukatika hudumza za ...

Read More »

Lulu afikwa maji ya shingo kesi ya Kanumba

Lulu Michael (kulia)

WAZEE wa Baraza la Mahakama Kuu ya Tanzania wametoa maoni yao yanayotarajiwa kutoa tawsira ya hukumu ya kesi ya  msanii wa maigizo  Elizabeth Maichael (Lulu), anaandika Faki Sosi. Usiku wa ...

Read More »

Kesi ya Luu yafika patamu Dar

Elizabeth Michael (Lulu) akitokea katika Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepokea ushahidi wa mganga  wa tiba mbadala Josephine Mushumbusi aliyekuwa akimtibu Steven Kanumba matatizo ya moyo, anaandika Faki Sosi. Maelezo ya ushahidi huo ...

Read More »

Serikali yatangaza bomoa bomoa Dar-Arusha

Mkurugenzi wa  TRL,  Majanja  Kadogosa

KAMPUNI ya Reli (TRL), imetangaza kubomoa nyumba zote zilizojengwa kando kando mwa reli inayotoka Dar es salaam, Moshi  hadi jijini Arusha, anaandika Angela Willium. Kadhalika, TRL imetangaza kuanza kuifanyia ukarabati ...

Read More »

Jinamizi lamkalia Diallo uenyekiti CCM  Mwanza

Anthony Diallo, Mmiliki wa Sahara Media ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza,

JINAMIZI la kisiasa limezidi kumkalia kooni mwenyekiti wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Antony Diallo baada ya kuibuka tuhuma dhidi yake kwamba  ameanza kampeni za kumchafua ...

Read More »

Majaji Kenya wakimbia mahakama ya juu

Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga

HAKAMA ya Juu Nchini  Kenya imeshindwa kusikiliza na kutoa maamuzi katika kesi ya kupinga kufanyika uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika kesho kutokana na baadhi ya Majaji kushindwa kufika mahakamani. Jaji  ...

Read More »

Sura halisi ya Mwakyembe sasa inaonekana

DK. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Na Saed Kubenea DK. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ametoa amri ya kuzuia uchapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, kwa muda wa siku 90 kuanzia leo, Jumanne, ...

Read More »

Serikali yafunga magazeti 3 kwa mwezi mmoja

Toleo gazeti la Tanzania Daima lililokuwa na habari iliyosababishwa kufungiwa

UHURU wa vyombo vya habari hapa nchini umezidi kuingia matatani baada ya leo serikali kulifungia gazeti la kila siku la Tanzania Daima kwa siku tisini (90), anaandika Faki Sosi. Katika ...

Read More »

‘Watu wasiojulikana’ wapiga hodi polisi

Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda ya Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kufanya msako kuwasaka watu waliofanya mauaji ya askari polisi aliyeokotwa juzi akiwa amefariki, anaandika Angel Willium. Askari Charles Yanga ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu Kenya washikiliwa na Mahakama

bachelor of law-supreme-kenya

UCHAGUZI  Mkuu Nchini Kenya upo mashakani kufanyika Oktoba 26 kama ilivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo, (IEBC),  baada ya wapigakura kufungua kesi katika mahakama ya juu ...

Read More »

DC  atangaza vita na askari waliopiga raia

Askari Polisi wakiwa mtaani kukabiliana na wananchi. Picha ndogo Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema

MKUU wa wilaya ya Ilala,  Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua askari wanaodaiwa kuwapiga wananchi katika eneo la Gongo la mboto Jijini Dar es Salaam kwa madai ya kulipiza kisasi, anaandika ...

Read More »

Josephine Mushumbusi atajwa kesi ya Lulu

Elizabeth Michael 'Lulu' (mwenye hauni jekundu) akiwa mahakamani. Picha ndogo Josephine Mushumbusi mmoja wa mashahidi wake

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka askari aliyerekodi ushahidi wa Josephine Mushumbusi kufika mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Elizabeth Michael (Lulu), anaandika Faki Sosi. Mushumbusi ni mmoja ...

Read More »

Ikulu yatuhumiwa

Jengo la Ikulu ya Tanzania

IKULU ya Tanzania, kupitia ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, imewaandikia wafanyakazi wa iliyokuwa kampuni ya uchapishaji ya Printpak (T) Limited kuwaeleza kwamba suala la madai yao ya kutolipwa stahili zao ...

Read More »

Polisi wamng’ang’ania Kigaila, anyimwa dhamana

Benson Kigaila, Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema

BENSON Kigaila, Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema ametupwa rumande baada ya kukosa dhamana alipojisalimisha kuhojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Lulu: Kanumba alijiangusha chumbani

Elizabeth Michael (Lulu) akitokea katika Mahakama Kuu mara baada ya kutoa utetezi wake

MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael au Lulu, atawasilisha utetezi mahakamani dhidi yashitaka la kuua bila ya kukusudia kwa kutumia mashahidi watatu, anaandika Faki Sosi. Ni kauli ya wakili wake ...

Read More »

Wizara ya Afya yapokea mashine 100 za saratani

Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (kushoto) akiwa Naibu wake, Faustine Ndungulile

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, amepokea mashine 100 za tiba mgando (cryotherapy), mashine tisa za upasuaji mdogo (LEEP) kwa matibabu ya awali ...

Read More »

Mbunge wa CCM aikosoa serikali ya JPM

Omar Mjaka Ali, Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pemba Vitongoji alipokuwa anazungumza na wanaCCM. Picha ndogo Rais John Magufuli

MBUNGE mstaafu wa Chama cha Mapinduzi, Omar Mjaka Ali, amesema serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inahitaji kuokolewa kwa sasa imepotea na kupoteza mwelekeo kutokana na rais kukosa washauri, anaandika ...

Read More »

Mwigamba amsikitisha Zitto Kabwe

Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo (kushoto) akiwa na Samson Mwigamba kabla hajajivua uanachama

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza masikitiko juu uongo uliotumiwa na walikuwa wafuasi wa chama hicho, Samson Mwigamba na wenzake kuwa chama hicho kimekiuka misingi iliyojiwekea, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Matokeo ya darasa la 7 haya hapa, shule za serikali hoi

Darasa la Saba

BARAZA la Mitihani Taifa NECTA limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2017, na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa 2.4% ukilinganisha na ule wa mwaka jana 2016, anaandika Faki ...

Read More »

Daktari wa Kanumba afunguka mazito kesi ya Lulu

Lulu Michael (kulia)

MAHAKAMA ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa jamhuri kwenye kesi inayomkabili msanii wa filamu, Elizabeth Michael (Lulu), anayedaiwa kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, ...

Read More »

Wauzaji kuku Singida wapaza sauti

Kuku wa kienyeji

WAFANYABIASHARA wa soko la kuku mkoani Singida wameiomba Serikali kuangalia na kuboresha upatikanaji wa masoko ya uhakika hapa nchini, anaandika Christina Haule. Ombi hilo lilitolewa na Mwenyekiti wa soko hilo, ...

Read More »

Waziri Kindamba ‘apigia chapuo’ TTCL kwa SUA

Waziri Kindamba, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)

OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba amewaomba Watanzania kutumia kampuni hiyo kwa mawasiliano kwa kuwa hivi sasa huduma zake zimeboreshwa, anaandika Angel Willium. Kindamba aliyasema ...

Read More »

Rais Trump awachefua watangulizi wake

Donald Trump, Rais wa Marekani

MARAIS wawili wa zamani nchini Marekani wameonyesha wasiwasi wao kuhusu hali ya kisiasa nchini humo bila kumtaja kiongozi wa sasa wa taifa hilo kubwa kiuchumi duniani, Donald Trump. Barrack Obama ...

Read More »

Tume ya Uchaguzi Kenya yazidi kusambaratika.

Ezra Chiloba, Mtendaji Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC)

OFISA Mkuu Mtendaji wa Tume ya Uchaguzi Nchini Kenya, Ezra Chiloba anatarajiwa kuchukuwa likizo ya wiki tatu na hatoshiriki katika uchaguzi wa marudio utakaofanyika wiki ijayo Oktoba 26 mwaka huu. ...

Read More »

Serikali kuvuna 50 kwa 50 kwenye dhahabu

DMfyRPZXcAAhxob

HATIMAYE mazungumzo kati ya Tanzania na Kampuni ya Barrick Gold kuhusu sekta ya madini yaliyodumu kwa takribani miezi mitano yamehimitishwa jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Rais John Magufuli ...

Read More »

Wananchi hawali takwimu, wanakula uchumi

DSC01501-FILEminimizer

Na Saed Kubenea MSEMAJI wa serikali, Dk. Hassan Abass, amekana madai kuwa uchumi wa taifa unayumba, mfumuko wa bei umeongezeka na mifuko ya wananchi imetoboka. Dk. Abass anasema, uchumi wa ...

Read More »

Kesi ya Lulu yaunguruma, mdogo wa Kanumba atoa ushahidi

IMG_4151

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya mauaji ya bila kukusudia, inayomkabili msaanii wa filamu nchini, Elizabeth Maichael (Lulu), dhidi ya msanii mwenzake, Steven ...

Read More »

Wamarekani wamwaga vyandarua kwa wajawazito Mwanza

DSC_2092

WAJAWAZITO nchini wametakiwa kuwa na utamaduni wa kupima afya zao na kuhakikisha wanapata chanjo ya ugonjwa wa malaria ili kujikinga wao pamoja na watoto walipo tumboni, anaandika Moses Mseti. Kauli ...

Read More »

Tundu Lissu kuanika wabaya wake

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anatarajiwa kuhutubia kupitia mkanda wa video utakaorushwa na vituo mbalimbali vya kimataifa vya televisheni, ndani ya wiki moja kutoka sasa, anaandika Mwandishi Wetu. ...

Read More »

Picha za kwanza ya Tundu Lissu hizi hapa

Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kusambaza picha ya Tundu Lissu kama alivyoahidi Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mbele ya waandishi wa habari jana Makao Makuu ya chama ...

Read More »

Takukuru yakunjua makucha kwa makada wa Chadema

Amani Golugwa

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha, Amani Golugwa, amehojiwa na Taasisi ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kufanywa na ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube