MPANGO wa “Shule Direct” yenye kauli mbiu “jifunze mahali popote, wakati wote” inayomwezesha mwanafunzi kutumia simu ya mkononi au kompyuta kujifunza imetajwa kuchochea...
By Pendo OmarySeptember 7, 2017WANAHARAKATI wa maendeleo haki za binadamu na usawa wa kijinsia wameitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutoa Sh. 50 milioni kwa kila kijiji...
By Pendo OmarySeptember 7, 2017KAMATI teule za Bunge za kuchunguza madini ya Almasi na Tanzanati leo zimewasilisha ripoti hiyo kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai huku baadhi...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017MBUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) Riziki Ngwali amesema hujuma zilizofanywa ndani ya Chama...
By Faki SosiSeptember 6, 2017VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelituhumu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuvunja Katiba ya...
By Masalu ErastoSeptember 6, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetonesha kidonda kilichopona baada ya kusisitiza kwamba bado kina dhamira ya kufanya maandamano kwa nchi nzima waliyoyapa...
By Masalu ErastoSeptember 6, 2017CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kinatarajia kuanzisha mradi maalum utakaosaidia viziwi na watendaji wa serikali za mitaa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya mafungu...
By Masalu ErastoSeptember 6, 2017IMEELEZWA kuwa tatizo la kushuka kwa kina cha maji ya Ziwa Tanganyika limesababishwa na kubomoka kwa banio la maji kwenye mto Lukuga (DRC),...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017SERIKALI imesema imeifanya tathmini ya miradi ya maji yote nchini na kwa sasa inawekewa mipango sahihi ya kutekelezwa ili wananchi waweze kupata huduma...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imesema haitatoa nafasi ya wanafunzi waliokosea kuomba mikopo kurekebisha makosa yao, kama ilivyoombwa na wanafunzi...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017BUNGE limeelezwa kuwa watu wenye ulemavu wanabaguliwa katika kupata ajira hapa nchini kwa madai kwamba hawawezi kufanya baadhi ya kazi, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageSeptember 6, 2017IMEELEZWA kuwa mimea ya mchai chai pamoja na Mdalasini inasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017SERIKALI imesema kuwa haina takwimu za watoto waliokeketwa nchini kwa kuwa vitendo vya ukeketaji kufanyika kwa siri, anaandika Dany Tibason. Mbali na kutokuwa...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017MBUNGE wa Konde,Khatibu Haji (CUF) amedai kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua Watanzania wengi na kuihoji serikali kama kuna...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017YUSUF Manji, diwani wa CCM katika Kata ya Mbagara, amevuliwa udiwani kutokana na kushindwa kuhudhuria vikao vitatu mfululizo bila sababu za msingi, anaandika...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2017TGNP Mtandao imetoa tuzo kwa wanawake waliojitoa kwa ajili ya kutetea wenzao hapa nchini na nje ya Tanzania anaandika Pendo Omary. Akizungumza wakati...
By Pendo OmarySeptember 6, 2017BALOZI wa Ireland nchini Tanzania, Fionnuala Gilsenan amesema hakutakuwa na mafanikio bila utambuzi wa haki za makundi yaliyokandamizwa, anaadika Pendo Omary. Gilsenan ametoa...
By Pendo OmarySeptember 6, 2017SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tazania, Job Ndugai leo atapokea ripoti mbili za tume maalum alizounda kwa ajili ya ushauri...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF,...
By Faki SosiSeptember 6, 2017MBUNGE wa Viti Maalum Jesca Kishoa (Chadema) ameibana serikali na kuitaka itangaze kama wabunge wa Viti Maalum bila kujali vyama vyao waondoe bendera...
By Danson KaijageSeptember 5, 2017SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewapiga vijemba wapinzani muda mfupi baada ya kumalizika kazi ya kuwaapisha wabunge 8 wa viti maalum walioteuliwa na...
By Danson KaijageSeptember 5, 2017WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC), ametangaza tarehe mpya ya kurudia uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 17 Oktoba 2017, anaandika...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2017KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo.abla ya kufanyika uchaguzi,...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2017WATAHINIWA 917,072 kutoka shule 16, 583 wanatarajia kuanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2017 kuanzia kesho,...
By Faki SosiSeptember 5, 2017WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezitaka hosptali za wilaya kuanzisha dirisha maalum la wazee ili kuwapunguzia...
By Hamisi MgutaSeptember 5, 2017MBUNGE wa Kaliua, Magdalena Sakaya, ametoa mwaliko kwa wabunge wote wa Chama Cha Mapinduzi, kuhudhuria tafrija na sherehe kubwa ya kuapishwa wabunge saba...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017HOFU imetanda kuhusu mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza kesho kwamba unaweza kutekwa na sakata la kukamatwa ndege ya serikali aina ya Bombadier, anaandika ...
By Danson KaijageSeptember 4, 2017HATMA ya kesi ya mbunge wa Ubunge, Saed Kubenea (Chadema) inatarajiwa kujulikana kesho, anaandika Dany Tibason. Kesho Mahakama ya Wilaya ya Dodoma itaamua...
By Danson KaijageSeptember 4, 2017SHIRIKA la Jhpiego kupitia mradi wa Maternal and Child Survival Program (MCSP), linatarajia kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini kutokana na idadi...
By Moses MsetiSeptember 4, 2017JANUARY Makamba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, amedai kuwa vyombo vya habari vya kampuni ya IPP...
By Charles WilliamSeptember 4, 2017BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imetakiwa kufuata muongozo wa fedha unaokubalika ili kudhibiti fedha haramu zisiingie katika mzunguko halali, anaandika Mwandishi Wetu. Aidha,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017WANASAYANSI nchini Uingereza wamegundua kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu, anaandika Mwandishi Wetu. Kifaa hicho kimeundwa...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017MAREKANI imeapa kujibu shambulio lolote la kijeshi kutoka Korea Kaskazini dhidi ya nchi hiyo ama washirika wake, anaandika Irene David. Hayo yamesemwa na...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2017KOREA Kusini inasema kuwa kuna dalili kuwa Korea Kaskazini inapanga majaribio zaidi ya makombora yanayokwenda masafa marefu, anaandika Mwandishi Wetu. Maofisa wa ulinzi...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017UAMUZI mdogo kuhusiana na kesi ya “dikteta uchwara” inayomkabili Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu unatarajiwa kutolewa Oktoba...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2017RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa taifa hilo lina ‘matatizo’ na idara ya mahakama ambayo inahitaji marekebisho, anaandika Mwandishi Wetu. Alikuwa akizungumza...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2017SI ajabu hivi sasa nchini Tanzania kukamatwa viongozi wa upinzani kwa tuhuma za makosa yasiyokuwemo katika vitabu vya sheria na imeanza kuzoeleka kwao...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2017VIJANA mbalimbali wa dini ya Kiislamu wamefanya michezo katika viwanja vya Pugu Kajiungeni jijini Dar es Salaam ili kuwasaidia kutojiingiza katika maovu inapofika...
By Faki SosiSeptember 2, 2017MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefunguka na kumsifu Rais Uhuru Kenyatta kuwa mvumilivu na kuheshimu Wakenya baada ya...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2017WANAFUNZI saba katika shule ya sekondari ya wasichana (Moi Girls High School) iliyopo Kibera, katika mji wa Nairobi nchini Kenya wamepoteza maisha baada...
By Hamisi MgutaSeptember 2, 2017