Thursday , 28 March 2024

Month: September 2017

Habari za Siasa

Polisi watanda makao makuu Chadema, wakamata wafuasi

JESHI  la polisi limewakamata watu kadhaa ambao walikuwa wakipita katika ofisi za makao makuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) zilizopo eneo...

Habari za Siasa

CUF Tanga ‘yamla’ Mbaruku

MBUNGE wa jimbo la Tanga mjini na kiongozi mwandamizi katika Chama cha Wananchi (CUF), Mussa Bakari Mbaruku huenda akaingia matatizoni baada ya msimamo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Nyumba ya Zitto Kabwe yateketea kwa moto

TAARIFA zilizotufikia muda huu ni kuwa nyumba ya Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe iliyopo  Mwandiga, Kigoma imeungua moto, anaandika Mwandishi wetu....

Habari za Siasa

Bunge lafanya vioja, ripoti ya Lissu yayeyuka

TAARIFA iliyotarajiwa kuwasilishwa bungeni leo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi, Usalama na Mambo ya Nje, Adadi Rajabu kuhusu...

Habari za Siasa

BAVICHA kumuombea Tundu Lissu

IKIWA ni wiki moja tangu kupigwa risasi za moto mbunge wa  Singida Mashariki Tundu Lissu Chadema), Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia...

Habari Mchanganyiko

Muswada wa kutambua madaktari wapitishwa

BUNGE limeridhia na kupitisha  muswada wa sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalam wa afya shirikishi wa mwaka 2016, ambao utasimamia taaluma...

Habari za SiasaTangulizi

Spika  Ndugai asema usalama Tanzania ni sifuri

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge kuwa makini pindi wawapo majimboni kwao au nje ya jimbo kutokana na hali ya usalama kutokuwa...

Habari Mchanganyiko

Biashara ya ngono yatua bungeni

WANAUME wameshauriwa kuacha kununua wanawake Makahaba ili kuua biashara hiyo haramu katika maeneo mbalimbali hapa nchini, anandika Dany Tibason. Imeelezwa bungeni kuwa kama...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji madini wanawake wamlilia Magufuli 

WACHIMBAJI madini wanawake nchini wameitaka serikali kuwawezesha ili kukuza sekta hiyo inayochangia pato la taifa na kukuza ajira kwa vijana, anaandika Pendo Omary....

Habari Mchanganyiko

Kubenea augua ghafla bungeni

HALI ya afya ya Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed (Chadema) imebadilika ghafla na kulazimika kupewa mapumziko katika Zahanati ya Bunge kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

Mtandao wa Jamii forum imesajiliwa: Shahidi

MKUREGENZI mtendaji wa Usajili wa Vikoa vya Mitando Nchini (TZNIC), Abibu Mtahigie amekiri kuwa mtandao wa Jamii Forum umesajiliwa kwa kikoa cha Tanzania...

Habari za Siasa

Mbunge ahoji hospitali za serikali kukaukiwa dawa

MBUNGE wa Siha Dk. Godwin Mollel (Chadema) ameihoji serikali na kutaka ieleze ni kwa nini hospitali zake nyingi   zinakosa dawa muhimu za binadamu...

Habari Mchanganyiko

JWTZ yaunda kikosi maalum kusaka silaha

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk.Husein Mwinyi ameliambia Bunge kuwa kwa sasa kimeundwa kikosi kazi kwa ajili ya kusaka silaha...

Habari za Siasa

Filamu ya Ndugai na wabunge yaendelea Dodoma

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema  mbunge wa Ubungo Saed  Kubenea hajaitwa kwenye Kamati Ulinzi na Usalama ya Bunge kama mtuhumiwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Yusuf Manji aachiwa huru, DPP afuta kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia Huru Mfanyabiashara Yussuf Manji na wenzake kwenye uhujumu Uchumi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kuwasilisha hati...

Habari Mchanganyiko

Nape arusha neno vyama vya ushirika

MBUNGE  wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye (CCM), ametaka ubadilishwe utaratibu wa kupata viongozi wa vyama vya ushirika katika maeneo mbalimbali hapa nchini,...

Habari za Siasa

Profesa Mbarawa abanwa mbavu bungeni

WAKAZI   Mlimba wanatembea zaidi ya kilometa 321 kuelekea Ifaakara wilaya ya Kilombelo kwa aajili ya kufuata huduma za matibabu, mahakama na huduma za...

Habari Mchanganyiko

TRA kuwashukia waendesha Bahati Nasibu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza kutekeleza jukumu la kukusanya kodi kwenye michezo ya kubahatisha jukumu ambalo ilikabidhiwa kuanzia mwezi Julai mwaka huu...

Habari Mchanganyiko

Mchengerwa alia tatizo la umeme Rufiji

MBUNGE wa Rufiji Mohammed Mchengerwa(CCM) amehoji ni lini serikali itawaunganisha wananchi wa Rufiji,Kibiti na Kilwa kwenye grid ya taifa, anaandika Dany Tibason. Akiuliza...

Habari Mchanganyiko

Jimbo la Same waahidiwa maji

SERIKALI imesema kutokana na changamoto ya upungufu wa maji katika Hifadhi ya Mkomazi inaendelea kuchimba mabwawa sita ili kukidhi mahitaji, anaandika Dany Tibason....

Habari za Siasa

Mbunge Kubenea asema Bunge limemtelekeza Lissu

MBUNGE wa Ubungo,  Saed Kubenea  (Chadema) amesema Bunge  chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai limekataa kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki,...

Habari MchanganyikoTangulizi

‘Watu wasiojulikana’ wamuibua  Mkuu wa Majeshi

SAKATA la uvamizi na kupigwa risasi na watu wasiojulikana limemuibua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Venance Mabeyo ambaye amesema vyombo vya...

Habari Mchanganyiko

Mkurugenzi Misungwi aporomosha mitusi

MRADI wa maji wa zaidi ya Sh. 300 milioni uliojengwa katika Kata ya Fera Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, umeshindwa kuanza kufanya kazi...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro wa ardhi waibuka upya Karagwe

MAMIA ya wananchi wa kijiji cha Chabuhora, wilayani Karagwe, mkoani Kagera, wanahitaji msaada wa haraka wa chakula, baada ya mashamba na nyumba zao...

Habari za Siasa

Mbunge Waitara ambana Naibu Spika atoe ushuhuda

MBUNGE wa Ukonga  Mwita Waitara (Chadema) amembana Naibu Spika, Dk.Tulia Akson na kumtaka atangaze kuwa anautambua uongozi wa gani wa wabunge wa CUF...

Makala & Uchambuzi

Jeshi la Kenya lakamata Warundi wanaotamani ugaidi  

JESHI la polisi nchini Kenya limewakamata watu wanne  raia wa Burundi  waliokuwa wakielekea Somalia kujiunga na kundi la kighaidi la Al-Shabab, anaandika Catherine Kayombo. Kwa...

Kimataifa

Machafuko yakosesha watoto elimu DRC 

ASASI isiyo ya kiserikali nchini kongo imesema  watoto wengi zaidi wanakosa elimu kutokana na mgogoro na mfumo duni wa elimu wa nchi hiyo....

Habari za Siasa

Watumishi ofisi ya Magufuli wapigwa mkwara

OFISI ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR_MUU) imeshutumu wafanyakazi katika yake kwa kukwamisha malengo ya serikali kuhusu  maadili ya watumishi kwa kuwa...

Habari Mchanganyiko

IGP  Sirro aambiwa aanze na Makonda

Benson Kigaila, Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtuhumu  kamanda Simon Sirro, mkuu wa jeshi la polisi nchini kuwa...

Habari Mchanganyiko

Wanaharakati wainuka na kupaza sauti

KITUO cha  Sheria Haki za Binaadamu Nchini (LHRC), kimesema kwa sasa hali ya usalama hapa nchini ni siyo nzuri baada ya kuwapo matukio...

Habari za Siasa

Ndugai kama Magufuli, hataki kuguswa

SPIKA wa Bunge Job Ndugai ameagiza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, kuhakikisha inamsaka mbunge wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yazidi kumtekenya Magufuli, wasema anahusika kumdhuru Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeituhumu serikali ya rais John Magufuli kuwa inahusika na tukio la shambulio la kifo dhidi ya Tundu...

Habari Mchanganyiko

Serikali yashauriwa kutenga maeneo ya wafugaji

SERIKALI imeombwa kuangalia uwezekano wa kutenga maeneo kwa ajili ya ufugaji mkubwa kwa kutumia mashamba pori yaliyotaifishwa kutoka kwa wakulima walioshindwa kuyaendeleza ili...

Habari za Siasa

Kesi ya Mdee kumtusi Magufuli yapigwa kalenda

KESI inayomkabili mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), imepigwa kalenda hadi Oktoba 11,mwaka huu itakapoanza kusikilizwa, anaandika Hellen Sisya. Mdee ambaye pia ni...

Habari za SiasaTangulizi

Mkwara wa Lipumba wapagawisha wabunge wa CCM

HOFU ya wabunge kuvuliwa uanachama na kusababisha wapoteze nyadhifa zao za ubunge sasa imeanza kutanda ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Dany...

Habari za SiasaTangulizi

CUF ya Lipumba yaunda kambi yao ya upinzani bungeni

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinachomuunga mkono Prof. Ibrahim Lipumba wametangaza kuunda kambi yao Bungeni tofauti na Kambi Rasmi Bungeni inayoundwa na UKAWA, anaandika...

Kimataifa

‘Saudi Arabia imekiri kushindwa’

NAIBU Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassim amesema kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia inaonesha...

Kimataifa

Zaidi ya nyumba milioni 3.4 kukosa umeme Marekani

KIMBUNGA cha Irma kimesababisha vifo vitatu baada ya kutua katika jimbo la Florida kikitokea kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani ya Florida nchini...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu Rasmi Kuanza Kazi

Rais wa Tanzania  Dkt John Mgufuli, amemwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Hamis Juma, ambapo awali alikuwa akikaimu nafasi alikuwa Kaimu Jaji Mkuu...

Kimataifa

Rais wa Mali kufungua kambi ya kijeshi

RAIS wa nchini Mali, Boubacar Keita amefungua kambi ya majeshi  inayohusisha nchi tano za Afrika yenye lengo la kupambana na wanamgambo katika eneo...

Habari Mchanganyiko

‘Watanzania jiungeni na bima’

WATANZANIA wameshauri kuwa na utamaduni wa kukatia bima nyumba, viwanda na gari zao hatua itakayosaidia kurejeshewa baadhi ya mali pindi zitakapokumbwa na majanga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maalim Seif aililia amani

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesihi Rais John Magufuli aitishe kikao cha dharura kitakachoshirikisha watendaji mahsusi wa...

Habari za Siasa

Kauli ya Lissu siku 20 zilizopita kabla ya kupigwa risasi

TUNDU Lissu Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), kabla ya kupigwa risasi leo alitoa tahadhari kwamba anafuatiliwa na watu aliodai kwamba wanatoka usalama wa...

Kimataifa

Wakimbizi wa Burundi waanza kurejea kwao

AWAMU ya kwanza ya wakimbizi wa kutoka Burundi wanaorejea kwa hiari yao kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao hii leo, anaandika Jovina Patrick....

Kimataifa

Korea washangilia bomu la Nyuklia

KOREA Kaskazini imefanya sherehe kubwa kwa ajili ya kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa ya bomu la Nyuklia nchini humo, anaandika Irene Emmanuel. Sherehe...

Habari za Siasa

Mgombea urais Tanzania atupia lawama Polisi

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hashim Rungwe ametupia lawama Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwamba...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu apigwa risasi Dodoma, viongozi wanena

NI taharuki, vilio na simanzi katika hospitali ya mkoa wa Dodoma, baada ya Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na MBunge wa Singida...

Habari za SiasaTangulizi

Mawaziri Simbachawene, Ngonyani wang’oka, Prof. Mruma abebwa

MAWAZIRI wawili wa serikali ya awamu ya tano, wameachia ngazi muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kuwataka kufanya hivyo leo asubuhi, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Polisi wampiga risasi mtuhumiwa utekaji watoto Arusha

MTUHUMIWA aliyekuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kuhusika na utekaji na mauaji ya watoto wawili Maureen na Ikram amefariki dunia...

Habari Mchanganyiko

RC Mongella amshauri waziri aivunje bodi ya Pamba

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amemshauri Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Charles Tizeba kuivunja Bodi ya Pamba kanda ya ziwa...

error: Content is protected !!