TUNDU Lissu Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), kabla ya kupigwa risasi leo alitoa tahadhari kwamba anafuatiliwa na watu aliodai kwamba wanatoka usalama wa...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2017AWAMU ya kwanza ya wakimbizi wa kutoka Burundi wanaorejea kwa hiari yao kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao hii leo, anaandika Jovina Patrick....
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017KOREA Kaskazini imefanya sherehe kubwa kwa ajili ya kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa ya bomu la Nyuklia nchini humo, anaandika Irene Emmanuel. Sherehe...
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hashim Rungwe ametupia lawama Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwamba...
By Faki SosiSeptember 7, 2017NI taharuki, vilio na simanzi katika hospitali ya mkoa wa Dodoma, baada ya Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na MBunge wa Singida...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2017MAWAZIRI wawili wa serikali ya awamu ya tano, wameachia ngazi muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kuwataka kufanya hivyo leo asubuhi, anaandika...
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017MTUHUMIWA aliyekuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kuhusika na utekaji na mauaji ya watoto wawili Maureen na Ikram amefariki dunia...
By Masalu ErastoSeptember 7, 2017JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amemshauri Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Charles Tizeba kuivunja Bodi ya Pamba kanda ya ziwa...
By Moses MsetiSeptember 7, 2017MPANGO wa “Shule Direct” yenye kauli mbiu “jifunze mahali popote, wakati wote” inayomwezesha mwanafunzi kutumia simu ya mkononi au kompyuta kujifunza imetajwa kuchochea...
By Pendo OmarySeptember 7, 2017WANAHARAKATI wa maendeleo haki za binadamu na usawa wa kijinsia wameitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutoa Sh. 50 milioni kwa kila kijiji...
By Pendo OmarySeptember 7, 2017