Friday , 19 April 2024

Day: September 6, 2017

Habari za SiasaTangulizi

Kamati ya Bunge yamparura Simbachawene, Muhongo

KAMATI teule za Bunge za kuchunguza madini ya Almasi na Tanzanati leo zimewasilisha ripoti hiyo kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai huku baadhi...

Habari za Siasa

Wabunge waliotemwa na Lipumba wafunguka 

MBUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali amesema hujuma zilizofanywa ndani ya Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema watetea wabunge wasiwe ombaomba

VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelituhumu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuvunja Katiba ya...

Tangulizi

Chadema watishia ‘Nyau’ kuhusu Ukuta

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetonesha kidonda kilichopona baada ya kusisitiza kwamba bado kina dhamira ya kufanya maandamano kwa nchi nzima waliyoyapa...

Habari Mchanganyiko

Walemavu wapaza sauti zao

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kinatarajia kuanzisha mradi maalum utakaosaidia viziwi na watendaji wa serikali za mitaa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya mafungu...

Habari Mchanganyiko

Mbunge Kessy alia na maji Ziwa Tanganyika

IMEELEZWA kuwa tatizo la kushuka kwa kina cha maji ya Ziwa Tanganyika limesababishwa na kubomoka kwa banio la maji kwenye mto Lukuga (DRC),...

Habari Mchanganyiko

Uhaba wa  maji pasua kichwa kwa serikali

SERIKALI imesema imeifanya  tathmini ya miradi ya maji yote nchini na kwa sasa inawekewa mipango sahihi ya kutekelezwa ili wananchi waweze kupata huduma...

Elimu

HESLB: Hatutasaidia wanafunzi watakaokosea kuomba mikopo

BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imesema haitatoa nafasi ya wanafunzi waliokosea kuomba mikopo kurekebisha makosa yao, kama ilivyoombwa na wanafunzi...

Habari Mchanganyiko

Walemavu wanaobaguliwa ajira wapata mtetezi bungeni 

BUNGE limeelezwa kuwa watu wenye ulemavu wanabaguliwa katika kupata ajira hapa nchini kwa madai kwamba hawawezi kufanya baadhi ya kazi, anaandika Dany Tibason....

Afya

Mdalasini tiba magonjwa mbalimbali ya binadamu

IMEELEZWA kuwa mimea ya mchai chai pamoja na Mdalasini inasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na...

Habari Mchanganyiko

Serikali imesema haina takwimu utekaji watoto

SERIKALI imesema kuwa haina takwimu za watoto waliokeketwa nchini kwa kuwa vitendo vya ukeketaji kufanyika kwa siri, anaandika Dany Tibason. Mbali na kutokuwa...

Habari Mchanganyiko

Dawa za nguvu za kiume zateka Bunge

MBUNGE wa Konde,Khatibu Haji (CUF) amedai kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua Watanzania wengi na kuihoji serikali kama kuna...

Habari za SiasaTangulizi

Pigo lingine kwa Manji, avuliwa Udiwani

YUSUF Manji, diwani wa CCM katika Kata ya Mbagara, amevuliwa udiwani kutokana na kushindwa kuhudhuria vikao vitatu mfululizo bila sababu za msingi, anaandika...

Habari Mchanganyiko

TGNP yatoa tuzo kwa wanawake

TGNP Mtandao imetoa tuzo kwa wanawake waliojitoa kwa ajili ya kutetea wenzao hapa nchini na nje ya Tanzania anaandika Pendo Omary. Akizungumza wakati...

Habari Mchanganyiko

Mabalozi, mashirika ya kimataifa yapongeza tamasha la jinsia

BALOZI wa Ireland nchini Tanzania, Fionnuala Gilsenan amesema hakutakuwa na mafanikio bila utambuzi wa haki za makundi yaliyokandamizwa, anaadika Pendo Omary. Gilsenan ametoa...

Habari za Siasa

Ripoti ya madini kutua kwa Ndugai leo

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tazania, Job Ndugai leo atapokea ripoti mbili za tume maalum alizounda kwa ajili ya ushauri...

Habari za SiasaTangulizi

Kambi ya Lipumba yapata ajali, wanne wafariki

WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF,...

error: Content is protected !!