MBUNGE wa Kaliua, Magdalena Sakaya, ametoa mwaliko kwa wabunge wote wa Chama Cha Mapinduzi, kuhudhuria tafrija na sherehe kubwa ya kuapishwa wabunge saba...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017HOFU imetanda kuhusu mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza kesho kwamba unaweza kutekwa na sakata la kukamatwa ndege ya serikali aina ya Bombadier, anaandika ...
By Danson KaijageSeptember 4, 2017HATMA ya kesi ya mbunge wa Ubunge, Saed Kubenea (Chadema) inatarajiwa kujulikana kesho, anaandika Dany Tibason. Kesho Mahakama ya Wilaya ya Dodoma itaamua...
By Danson KaijageSeptember 4, 2017SHIRIKA la Jhpiego kupitia mradi wa Maternal and Child Survival Program (MCSP), linatarajia kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini kutokana na idadi...
By Moses MsetiSeptember 4, 2017JANUARY Makamba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, amedai kuwa vyombo vya habari vya kampuni ya IPP...
By Charles WilliamSeptember 4, 2017BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imetakiwa kufuata muongozo wa fedha unaokubalika ili kudhibiti fedha haramu zisiingie katika mzunguko halali, anaandika Mwandishi Wetu. Aidha,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017WANASAYANSI nchini Uingereza wamegundua kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu, anaandika Mwandishi Wetu. Kifaa hicho kimeundwa...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017MAREKANI imeapa kujibu shambulio lolote la kijeshi kutoka Korea Kaskazini dhidi ya nchi hiyo ama washirika wake, anaandika Irene David. Hayo yamesemwa na...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2017KOREA Kusini inasema kuwa kuna dalili kuwa Korea Kaskazini inapanga majaribio zaidi ya makombora yanayokwenda masafa marefu, anaandika Mwandishi Wetu. Maofisa wa ulinzi...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2017UAMUZI mdogo kuhusiana na kesi ya “dikteta uchwara” inayomkabili Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu unatarajiwa kutolewa Oktoba...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2017