Thursday , 28 March 2024

Day: September 2, 2017

Makala & Uchambuzi

Rais Uhuru Kenyatta ageuka ‘mbogo’ Kenya

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa taifa hilo lina ‘matatizo’ na idara ya mahakama ambayo inahitaji marekebisho, anaandika Mwandishi Wetu. Alikuwa akizungumza...

Habari za Siasa

Wapinzani kukamatwa Tanzania imekuwa kawaida:  Jenerali Ulimwengu

SI ajabu hivi sasa nchini Tanzania kukamatwa viongozi wa upinzani kwa tuhuma za makosa yasiyokuwemo katika vitabu vya sheria na imeanza kuzoeleka kwao...

Habari Mchanganyiko

Sikukuu ya Eid yasherekewa kivingine Pugu

VIJANA mbalimbali wa dini ya Kiislamu wamefanya michezo katika viwanja vya Pugu Kajiungeni jijini Dar es Salaam ili kuwasaidia kutojiingiza katika maovu inapofika...

Makala & UchambuziTangulizi

Freeman Mbowe afunguka uchaguzi Kenya

MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefunguka na kumsifu Rais Uhuru Kenyatta kuwa mvumilivu na kuheshimu Wakenya baada ya...

Habari Mchanganyiko

Moto waua wanafunzi 7 Kenya

WANAFUNZI saba katika shule ya sekondari ya wasichana (Moi Girls High School) iliyopo Kibera, katika mji wa Nairobi nchini Kenya wamepoteza maisha baada...

error: Content is protected !!