Wednesday , 24 April 2024

Day: August 19, 2017

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aivuruga serikali ya JPM

SERIKALI imekiiri kuzuiliwa ndege aina Bombardier ( Q400-Dash 8) iliyonunuliwa hivi karibuni kutokana na deni inalodaiwa na kampuni ya ujenzi, anaandika Faki Sosi....

Habari za Siasa

Ester Bulaya atiwa nguvuni Tarime

ESTER Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini anashikiliwa na polisi wilayani Tarime kwa mahojiano, anaandika Hamisi Mguta. Imeelezwa kuwa Bulaya amekamatwa kwa kosa la...

Habari za Siasa

Mbunge Kubenea asikitishwa na mlundikano wanafunzi

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo jijini Dar es Salaama, amesikitishwa na kuwapo msongamano wa wanafunzi katika shule ya Msingi Kawawa, anaandika Faki Sosi....

Habari Mchanganyiko

Uhamiaji yajiandaa kutoa elimu kwa jamii

IDARA ya uhamiaji mkoa wa Dodoma imeandaa mpango maalum wa kuwafikia wananchi kuanzia ngazi ya kitongoji hadi wilaya kwa lengo la kutoa elimu...

error: Content is protected !!