Friday , 29 March 2024

Day: August 14, 2017

Habari Mchanganyiko

Mkapa kushuhudia Jubilei ya Mapadri Dodoma

RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa anatarajia kuungana na Mapadri  pamoja na Maaskofu katika kusherea Jubilei ya miaka 100 ya upadri kwenye kituo cha Hija...

Makala & Uchambuzi

Wakenya wabaini  akili za kuambiwa changanya na zako

WAFUASI wa aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya, Raila Odinga wamepuuza kauli yake iliyowataka leo kutoenda kazini, anaandika Victoria Chance. Odinga aliwataka wafuasi wake...

Habari za SiasaTangulizi

MCT wamtia hatiani Makonda

BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limezidi kumkaanga Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Mkaonda baada ya kubaini kwamba alihusika moja kwa moja kuvamia...

Habari Mchanganyiko

Wapiga debe Dar jino kwa jino na Polisi

JESHI la Polisi Kanda maalum ya jijini Dar es Salaam limeahidi kupambana na wapiga debe katika vituo mbalimbali vya mabasi na kuwakamata, anaandika Irene...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wahariri wamkaanga Makunga na wenzake

WAHARIRI wa vyombo mbalimbali vya habari wametoa onyo kali kwa uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kwa kudhalilisha jukwaa hilo pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Wapiga debe waiangukia serikali

ZAIDI ya vijana 200 ambayo wanaopiga debe eneo la Kamanga Ferry jijini Mwanza, wameiangukia serikali na kuiomba iwaache waendelee na shughulzao na kusitisha...

Habari Mchanganyiko

Watalaam wakuna vichwa usugu wa dawa

CHAMA cha Wafamasia nchini (PST), kimeiomba serikali kusaidiana nacho ili kuhakikisha wanatokomeza tatizo la usugu wa dawa za binadamu, anaandika Mwandishi wetu. PST...

Habari Mchanganyiko

Serikali yawaonya watumishi, madiwani

SERIKALI imewataka madiwani na watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea ikiwemo kukubali na kufunga hoja zinazohusu namna fedha za miradi zilivyotumika kitendo kinachosababisha...

error: Content is protected !!