Daily Archives: August 11, 2017

Uhuru Kenyatta sasa rasmi Ikulu ya Kenya

Uhuru Kenyatta, Rais mteule wa Kenya

WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC), amemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa nafasi ya Urais nchini Kenya, akimbwaga mpinzani wake ...

Read More »

Bodi ya wadhamini CUF ya Seif yakwaa ‘kisiki’ kortini

Maalim Seif Sharrif Hamad. Picha ndogo Prof. Ibrahim Lipumba

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini inayomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Waziri Mwakyembe akemea ‘mshiko’ kwa watangazaji

Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo,  Harrison Mwakyembe amekemea tabia ya baadhi ya waandishi wa habari kuchukua pesa (mshiko), ili wapige redioni nyimbo za wasanii, anaandika Hamis Mguta. Amesema hatakubali ...

Read More »

Waziri kivuli asema  Bodi ya Mikopo imevunja Katiba

Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Imetajwa kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 katika ibara yake ya 13-(2) inayokataza ubaguzi, anaandika ...

Read More »

Wanafunzi elimu ya juu wapata mtetezi

Waziri Kivuli Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mbunge wa Viti Maalum Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Suzan Lyimo

Waziri Kivuli Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mbunge wa Viti Maalum Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Suzan Lyimo, amesema muongozo au masharti  ya kuomba mkopo uliotolewa na ...

Read More »

Naibu Waziri Mavunde awafunda vijana 

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri ,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu,Anthony Mavunde,akizungumza na vijana mbalimbali (hawapo pichani) katika ukumbi wa mikutano wa LAPF mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Konganano la Vijana duniani.

VIJANA nchini wametakiwa kuwa mabalozi waaminifu katika kulinda amani ya nchi, anaandika Dany Tibason Ushauri huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri ,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu,Anthony Mavunde, ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube