Daily Archives: August 9, 2017

Manji apata pigo jingine akiwa mahabusu

manji

SERIKALI imekitaifisha kiwanda cha kuchakata ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo Ilemela mkoani Mwanza kwa kushindwa kuendelezwa na kuendeshwa kwa zaidi ya miaka mitano sasa, anaandika Moses Mseti. Kiwanda hicho, kinachomilikiwa ...

Read More »

Jaffo ‘ayananga’ maonesho ya nanenane

Suleiman Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), Selemani Jafo amewashukia, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa mikoa ya Dodoma na Singida kwa kushindwa kufanya maandalizi ya uhakika ya ...

Read More »

Waziri Mhagama ‘awapiga mkwara’ wakurugenzi

Jenister Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenister Mhagama amesema wakurugenzi wote wa Halmashauri nchini watakaoshindwa kutenga asilimia tano ya mapato kwa ajili ya vijana na wanawake watachukuliwa hatua, anaandika ...

Read More »

Sinema ya Makonda na TEF yaendelea Dar 

Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiteta jambo na Theophil Makunga, Mwenyekiti wa  Jukwaa la Wahariri Tanzania katika mkutano huo leo Agosti 9, 2017

MKUTANO ulioitishwa leo na Jukwaa la Wahariri (TEF) na Waandishi wa Habari umegeuka kuwa kituko baada ya upande mmoja uliotarajiwa kuomba radhi kukataa kufanya hivyo, anaandika Hamisi Mguta. Katika mkutano ...

Read More »

Meena awaomba radhi wanahabari

Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (katikati) akizungumza na Theophil Makunga, Mwennyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania na Naville Meena, Katibu wa Jukwaa hilo

NEVILE Meena, Katibu Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amewaomba radhi waandishi wa habari na Wahariri, anaandika Hellen Sisya. Msamaha huo unafuatia Meena kutoa kauli kwamba kuanzia leo, wamemfungulia Mkuu wa ...

Read More »

Mwenyekiti wa Tume Kenya amtuliza Raila Odinga

Wafula Chebukata, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC)

WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IBEC), ameahidi kushughulikia malalamiko yaliyotolewa na mgombea urais kupitia Muungano wa NASA, Raila Odinga, juu ya kuwepo kwa madai ...

Read More »

Marekani kushambuliwa na makombora

Mifano ya makombora ya Scud yanayomilikiwa na Korea Kaskazini

NCHI ya Korea Kaskazini inapanga kurusha makombora karibu na kisiwa kimoja nchini Marekani Korea imesema kwamba inatafakari uwezekano wa kurusha makombora karibu na jimbo la Marekani la Guam katika bahari ...

Read More »

Matenki ya mafuta kujengwa Tanga

Matanki ya GBP yaliyopo mkoani Tanga

KAMPUNI ya mafuta ya GBP imepanga kutumia zaidi ya 60 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa bohari ya kuhifadhia mafuta na kiwanda cha gesi ili kuongeza huduma na kupunguza kero ...

Read More »

Kenyatta “Baba” wa demokrasia Afrika Mashariki

Uhuru Kinyata (kulia) na Raila Odinga

WAPINZANI nchini Kenya, wakiongozwa na Raila Odinga wa chama cha ODM na muungano wa NASA, wamekuwa wakipewa haki zote za kisiasa na za kidemokrasia bila kuminywa, anaandika Mwandishi Wetu. Rais ...

Read More »

Fomu namba 34 A yazua utata uchaguzi Kenya

Raila Odinga

MUUUNGANO wa NASA, umetangaza kukataa matokeo huku ukisema matokeo yanayotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya, hayana ushahidi wa fomu namba 34 A kama sheria inavyosema, anaandika Irene Emmanuel. NASA ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube