Friday , 29 March 2024

Day: August 8, 2017

Habari za Siasa

Kubenea ateta na Bawacha

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amewataka viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chdema (Bawacha), jimbo la Ubungo, kukitetea na kulinda chama...

Makala & Uchambuzi

Wakenya waishio nje wapigakura kuchagua Rais

DEMOKRASIA imejidhihirisha nchini Kenya baada ya Wakenya wanaoishi nje ya nchi hiyo kupiga kura huko huko wanapoishi katika uchaguzi unaofanyika leo, anaandika Mwandishi...

Makala & Uchambuzi

Wafungwa wapiga kura nchini Kenya

KENYA imeweka rekodi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, baada ya Tume ya Uchaguzi, kuruhusu watu waliofungwa gerezani pamoja na wale waliopo rumande kupewa...

Habari Mchanganyiko

Watanzania wapewa somo hati ya kusafiria

IDARA ya Uhamiaji imesema hati ya kusafiria ni haki ya kila Mtanzania ambaye anakidhi vigezo vya kuimiliki na inatolewa na serikali siyo matapeli...

Kimataifa

Majeshi ya nchi 7 kuonyesha umahiri Tanga

MAJESHI ya nchi saba za Jumuiya ya Maendeleo  ya  Afrika (SADC), yameanza mazoezi ya kijeshi yenye lengo la kujiandaa na tishio la mashambulizi ya...

Makala & UchambuziTangulizi

Odinga na Kenyatta waahidi amani

WAGOMBEA wa urais wawili wenye nguvu nchini Kenya, Raila Odinga (NASA) na Uhuru Kenyatta (Jubilee), leo wamepiga kura katika uchaguzi mkuu nchini humo...

error: Content is protected !!