Wednesday , 24 April 2024

Day: August 7, 2017

Habari za Siasa

Kubenea kuchangia 20mil ujenzi wa zahanati

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameahidi kutoa Sh. 20 milioni, kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya mitaa ya Kilungule A na...

Elimu

Chadema kuchambua sekta ya elimu nchini

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kuandaa mkutano na waandishi wa habari ili kuchambua hali ya sasa ya elimu ya juu nchini,...

Habari za Siasa

Lukuvi awacharukia viongozi wa mitaa

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nchini, amekemea vitendo vya uonevu vinavyofanywa na viongozi wa serikali za mitaa kwa kushirikiana na matapeli kuwanyonya wananchi,...

Habari za SiasaTangulizi

Suluhu ya dhamana yaanza kusakwa na Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeandika barua kwa ofisi ya Jaji Mkuu wa Tanzania, kikiomba wafuasi wao wanapokamatwa kwa makosa yanayodhaminika waweze...

Habari Mchanganyiko

Taasisi za fedha Kilimanjaro zalia ”ukata”

WADAU wa taasisi za fedha mkoani Kilimanjaro, wameeleza kuwa changamoto ya mabadiliko ya kiuchumi imewasababishia wakose faida katika kipindi cha kuanzia mwaka jana,...

Habari Mchanganyiko

Mviwata waililia serikali ya JPM

MTANDAO wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), umeazimia kuishauri Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Uvuvi kutowatoza gharama wakulima wanaoshirikia maonesho ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee aichana  bodi ya mikopo 

Halima Mdee, Mbunge wa jimbo la kawe (Chadema) ameituhumu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) kwa kufanya ubaguzi...

Makala & Uchambuzi

Wakenya kesho kuamua nani awe rais 

BAADA ya vuta nikuvute za kampeni kali za uchaguzi mkuu nchini Kenya hatimaye wananchi wa nchi hiyo wanatarajia kupiga kura kumchagua Rais na...

Habari za Siasa

Chadema yaibuka mshindi nafasi makamu mwenyekiti

MWENYEKITI wa Kitongoji cha Namayani wilayani Arumeru, Elias Mollel (Chadema),  ameibuka mshindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa...

Habari za Siasa

Chadema wabuni njia mpya kumkabili Rais Magufuli

JOHN Mnyika, Naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kibamba amesema kuwa rais...

Habari Mchanganyiko

Makinda aipigia debe serikali ya JPM kanisani

MWENYEKITI wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda, amewataka Watanzania kutorubuniwa na baadhi ya wanasiasa kuwa hali...

Habari za Siasa

RPC achaguliwa uenyekiti CCM

ALIYEWAHI kuwa Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Absolom Mwakyoma ‘ameukwaa’ Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Mfumuni, Manispaa...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yatangaza kushiba chakula

SERIKALI  imesema kuwa Taifa kwa sasa linajitosheleza kwa chakula kwa asilimia 120 kulingana na tathmini iliyofanyika mwaka huu, anaandika Mwandishi wetu. Kauli hiyo...

Habari Mchanganyiko

Shule binafsi zalia na serikali  

SERIKALI imeombwa kuwasaidia wamiliki wa shule binafsi mkoani Dodoma kupatiwa mikopo kupitia mifuko ya hifadhi ya jamii ili shule zao ziweze kuchukua wanafunzi...

error: Content is protected !!