Daily Archives: August 5, 2017

Walimu wanawake walilia ndoa zao

Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

WALIMU wanawake wamelalamikia hatua ya serikali kuwapangia kazi katika vituo vya mbali kwa kuwa kunahataraisha ndoa na waume zao, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa mwalimu Joyce Kaishozi ambaye ni ...

Read More »

Wakulima waiomba serikali mashamba ya kulima

Dk. Steven Kebwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro

SERIKALI kupitia wizara ya kilimo na mifugo imeombwa kuangalia uwezekano wa kuwapatia mashamba wakulima wanaotoa elimu kwenye maonesho ya wakulima ya imo nane nane Kanda ya Mashariki, anaandika Christina Haule. ...

Read More »

Mbunge wa zamani amtupia neno Rais Magufuli

Ezekia Wenje, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Afrika Mashariki kwa tiketi ya Chadema

EZEKIEL Wenje, aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana, Mwanza, amemchana Rais John Magufuli kwamba baadhi ya mairadi anayozindua ni hewa haipo, anaandika Moses Mseti. Wenje amesema miradi inayozinduliwa na rais ...

Read More »

Rais Kagame aibuka kidedea Rwanda

Paul Kagame, Rais Mteule wa Rwanda

ASILIMIA 1.3 ya wananchi wa Rwanda wamemkataa, Rais Paul Kagame kuwaongoza kupitia sanduku la kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana, huku asilimia 98.66 ya wapigakura milioni 6.9 wakimpa kura za ...

Read More »

Lissu asema Job Ndugai ”amelikoroga”

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki

TUNDU Lissu Mbunge wa Sindiga Mashariki amesema kuwa kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai, kuridhia barua ya Chama cha Wananchi (CUF),kuwafukuza uanachama wabunge wake nane kitamuumbua, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube