Daily Archives: August 4, 2017

Mbunge Kubenea alia na rafu za serikali ya JPM

IMG-20170804-WA0016

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, amesema Watanzania wanakuwa maskini kwa sababu ya ubaguzi unaofanywa na serikali, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza katika mkutano wa hadhara ...

Read More »

Wabunge wa CUF kurudi tena mahakamani

Mashaka Ngole, Wakili upande wa CUF ya Prof. Ibrahim Lipumba

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya kupinga kuapishwa kwa wabunge wa viti maalumu ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) walioteuliwa na Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti ...

Read More »

Meya wa Chadema amvaa Rais Magufuli

Boniface Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo. Picha ndogo Rais John Magufuli.

BONIPHACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo amewalalamikia watendaji wa Rais John Magufuli kwa kuwa wanakwamisha miradi ya maendeleo katika maeneo ambayo yanaongozwa na upinzani, anaandika Hellen Sisya. Meya huyo ...

Read More »

AWA watamba kupunguza majangili wa Tembo

Tembo

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA), imesema kwamba tatizo la ujangili katika mbuga mbalimbali umepungua hatua iliyosababisha Tembo kuongezeka, anaandika Dany Tibason. Hatua hiyo imetokana na kutolewa elimu mbalimbali ...

Read More »

Mfanyabiashara Manji azidi kusota lumande

Wafanyakazi wa Manji wakiingia mahakamani

MFANYABIASHARA Yusuf Manji na wenzake watatu wamezidi kusota rumande baada ya kesi yake kupigwa kalenda hadi Agost 9, mwaka huu, anaandika Faki Sosi. Kesi hiyo ipo mbele ya Hakimu Mkazi ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube