Daily Archives: August 2, 2017

Kubenea azidi kuchanja mbuga, mtaa kwa mtaa

20170802_210831

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), leo ameendelea na ziara yake ya kukagua uhai wa chama chake na kutembelea wananchi wake katika jimbo lake la uchaguzi la Ubungo, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Serikali yawapigia debe maskini Kahama

Baadhi ya wananchi wakiwa sehemu ya mapokezi ya hospitali, tayari kwa kupata huduma

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amewataka wananchi wa kijiji cha Iyenze kata Iyenze  wilayani  Kahama mkoani Shinyanga kuhakikisha wanawasaidia wanzeo wasiojiweza kwa kuwalipia  Bima ya Afya iliyoboreshwa(CHF), ...

Read More »

Kigwangalla atoa siku 90 kuboreshwa chumba cha upasuaji 

Dk.Hamisi Kigwangalla, waziri wa Maliasili na Utalii

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dk. Hamis Kigwangala ametoa miezi mitatu  kwa halmashauri ya mji wa Kahama kuhakikisha inafanya ukarabati wa chumba cha upasuaji ...

Read More »

Marekani na Korea wazidi kuvimbiana

Mifano ya makombora ya Scud yanayomilikiwa na Korea Kaskazini

Rex Tellerson, Waziri wa Mambo ya Kigeni  Nchini Marekani amejibu juu ya jaribio la pili la kombora la masafa marefu lililofanywa na Korea Kaskazini, anaandika Irene Emmanuel. “Sisi si maadui zenu, ...

Read More »

Mbivu na mbichi wabunge wa CUF kujulikana Agost 4

Wabunge wa CUF waliovuliwa uanachama wakiwa mahakamani wakisikiliza shauri lao la kupinga hatua hiyo

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inatarajia kutoa uamuzi kuhusiana na mapingamizi yaliyotolewa na upande wa serikali katika kesi iliyofunguliwa na wabunge nane wa Chama cha Wananchi (CUF), ambao walivuliwa uanachama wiki ...

Read More »

Meya Jacob kama Lissu,  amparura Magufuli

Boniface Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo

BONIPHACE   Jacob, Mstahiki Meya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaama amemtaka Rais John Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano  kuwakemea watendaji wa serikali wanaokataa kupeleka maendeleo kwenye ...

Read More »

Lugha ya Kichina yasababisha mgomo kampuni ya ujenzi

Cro50ZuXYAU9Wxq

MGOMO wa wafanyakazi zaidi ya 290 wa Kampuni ya Kimataifa ya Geo Engineering ya China inayotekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara ya Sanya Juu hadi  Elerai kwa kiwango cha ...

Read More »

Wachimbaji madini wapewa somo

Wachimbaji wadogo wa Dhahabu

WACHIMBAJI wadogo wa madini wametakiwa kuzingatia taratibu za kitalaam wakati wa uchimbaji ili kuepuka ajali  maeneo hayo, anaandika Mwandishi wetu. Haya yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Mara Charles Mlingwa ...

Read More »

Barcelona wakubali kumwachia Neymar

Neymar

KLABU ya Barcelona imemuachia nyota wake Neymar kuondoka katika timu hiyo na kujiunga na Paris St. German (PSG) kwa kitita cha pauni 198 milioni, anaandika Hamisi Mguta. Neymar ambaye ni ...

Read More »

Bodaboda waanza kuelewa somo

Boda

MADEREVA wa Bodaboda katika jiji la Dar es Salaam wameonekana kuanza kuelewa umuhimu wa matumizi wa kofia ngumu wakati wa kuendesha usafiri huo, anaandika Mwandishi wetu. MwanaHALISI Online limeshuhudia kundi ...

Read More »

Serikali yaombwa kusaidia wafugaji Ngamia

Ally Kuleva mfugaji wa ngamia kutoka kijiji cha Kambi ya Kumi  akiwa anamwelekeza jambo ngamia wake wakati wa maonesho ya 88

SERIKALI imeombwa kuwatambua wafugaji wa Ngamia na kusaidia kuwapunguzia gharama za kuwafuga kwa kuwa wana faida zaidi kuliko wanyama wengine, anaandika Dany Tibason. Maombi hayo yalitolewa na Ally Kuleva ambaye ...

Read More »

Profesa Maghembe atoa neno Morogoro

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewahimiza viongozi kuanzia ngazi ya mkoa, wilaya hadi vijiji kuhakikisha wanasimamia uwepo wa bei nzuri ya mazao ya mkulima kulingana na bei ...

Read More »

Wadau wasisitiza kutunza amani Kenya

Vurugu za mauaji ya Kenya yaliyowahi kutoka mwaka 2007

WITO wa amani umeendelea kutolewa kwa wananchi nchini Kenya kuelekea uchaguzi mkuu, ili kuepusha machafuko yaliyozuka katika uchaguzi wa mwaka 2007, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube