Thursday , 25 April 2024

Month: August 2017

Habari za Siasa

Lissu amnasua Wema Sepetu mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa vielelezo vya ushahidi vya msokoto wa bangi katika kesi ya matumizi madawa ya kulevya inayomkabili muugizaji wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Nchemba aridhia wakimbizi kurudi kwao

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema serikali ya Tanzania haifukuzi wakimbizi kama inavyodaiwa, anaandika Hamisi Mguta. Mwigulu amesema hayo...

Habari Mchanganyiko

Huduma za Mkemia Mkuu zafika mikoani

MAMLAKA ya Mkemia Mkuu wa Serikali imelenga kuimarisha utendaji kazi wa maabara  katika kanda zake za Nyanda za juu kusini, na kanda ya...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wazima maandamano Bavicha

MAGARI ya doria yenye askari wa jeshi la polisi, yamewatisha vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kushindwa kuandamana kama walivyokuwa wametangaza,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lisu kupamba tamasha la injili

MWIMBAJI wa nyimbo za injili, John Lisu anatarajia kutikisa katika tamasha la uamsho lililoanza ambalo litashirikisha watui wote bila kujali itikadi za dini...

Habari Mchanganyiko

Masogange ana kesi ya kujibu Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema msanii wa filamu nchini, Aggnes Masogange ana kesi ya kujibu kwenye mashtaka yake ya matumizi ya dawa...

Habari Mchanganyiko

Mwenyekiti bodi ya maziwa ageuka ‘bubu’

WAJUMBE wa Baraza la Wadau wa Maziwa Tanzania wamelalamikia bodi ya maziwa kuendeshwa bila wajumbe wake kwa miaka miaka mitatu sasa, anaandika Dany...

Habari Mchanganyiko

Sh. bilioni 1.5 zanufaisha wakulima

TAASISI ya kifedha ya inayohusika na kukopesha mashine mbalimbali ikiwemo matrekta (EFTA), imeahidi kuendelea kuboresha huduma hizo ili kuongeza nguvu za kukuza uchumi...

Afya

Ukosefu wa huduma za afya wazua taharuki Kilosa

UKOSEFU wa Zahanati na ubovu wa miundombinu katika kata ya Mabula wilayani Kilosa mkoani Morogoro imesababisha wanawake watatu kupoteza maisha wakati wakiwahishwa kujifungua...

Michezo

Riadha yazidi kuing’arisha Tanzania

MCHEZO wa riadha umeendelea kuing’arisha Tanzania baada ya kuzoa medali 10 katika michezo ya Afrika Mashariki kwa wanafunzi wa shule za sekondari, yaliyofanyika...

Habari Mchanganyiko

Madudu yabainika Viwanja vya ndege

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imemwagiza Mkaguzi na Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi...

Habari Mchanganyiko

Mkoa wa Mwanza waahidi neema kwa wafanyabishara

SERIKALI imeahidi kushirikiana na wafanyabiashara nchini ili kukuza biashara zao na uchumi wa taifa kwa kuhakikisha bidhaa zao zinapata soko la uhakika kimataifa,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yasisitiza kufanya maandamano kesho

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kwamba maandamano ya amani ambayo yalipangwa kufanyika kesho nchi nzima yatafanyika, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na...

Habari za Siasa

Kamanda Mambosasa kunusuru akina Lissu?

LAZARO  Mambosasa Kamanda wa Kanda Maalumu  Dar es salaam amewataka wananchi wote pamoja na waandishi wa habari kumpa ushirikiano  ili jamii iweze kuishi katika hali ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mawakili wamtosa Lissu Dar

SAKATA la Mawakili binafsi kutakiwa kugoma kufanya kazi leo limetibuka baada ya kubainika baada ya baadhi yao wamekaidi agizo la Rais wa Chama...

Kimataifa

Makombora ya Korea Kaskazini yaitikisa Japan

KOREA Kaskazini imerusha makombora kuelekea mashariki mwa kisiwa cha Hokkaido kwa umbali wa kilomita 1000, anaandika Irene David. Waziri Mkuu wa Japani Shinzo...

Habari Mchanganyiko

Dawasa yaibuka na mikakati lukuki Dar

MAMLAKA ya Maji Safi na Taka Jijini Dar es Salaam (DAWASA), imetangaza mkakati mpya wa kukarabati miundombinu yake ikiwamo mabomba yaliyotoboka, anaandika Irene...

Kimataifa

Kimbunga chamia Marekani, chaua watu saba

WATU saba wamefariki nchini Marekani na wengine zaidi ya 1000 hawana makaazi ya kuishi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katikati ya mji wa Texas...

Habari Mchanganyiko

Wilaya ya Kilosa kujenga maabara kila shule

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Hassan Mkopi amesema Wilaya ina mpango wa kujenga chumba kimoja cha Maabara katika kila shule ya...

Habari za SiasaTangulizi

Jerry Muro asiye na fadhila

NIMESOMA kilichoitwa na Jerro Muro, “ushauri kwa wanasheria nchini ” juu ya msimamo wao wa kutohudhuria mahakamani leo (Jumanne) na kesho, anaandika Saed...

Kimataifa

Maporomoko yaua watu 1000 Sierra Leone

IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na maporomoko ya udongo yaliyoambata na mafuriko katika mji wa milimani wa Regent nje kidogo ya Freetown...

Habari Mchanganyiko

Wasioendeleza viwanja Dodoma kunyang’anywa

MKURUNGEZI wa halmashauri ya manispaa ya  Dodoma  Godwin Kunambi ametangaza vita kwa wamiliki wa viwanja vikubwa ambao wameshindwa kuviendeleza kwa zaidi ya miaka...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili Manyama ajitenga na TLS

WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Leonard Manyama, amekataa agizo la Rais wa TLS, Tundu Lissu...

Kimataifa

Vita vyapoteza watu 40 nchini Sudan

WATU 40 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea katika jimbo la Yei nchini Sudan Kusini, anaandika Hellen Sisya. Mapigano hayo ambayo yanatokana...

Makala & Uchambuzi

Mahakama Kenya yaamuru mitambo ya tume ichunguzwe

MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imekubali ombi la  Muungano wa Upinzani (NASA), nchini humo kukagua mitambo iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC),...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabishara ‘wambeep” Rais Magufuli, wampa siku 30

UONGOZI wa wafanyabiashara wa Tanzania bara na Zanzibar wametoa siku 30 Rais John Magufuli kuhakikisha anatatua changamoto zinazowakabili katika shughuli zao vinginevyo maduka...

Habari Mchanganyiko

Askofu akemea watu kupenda kulalamika

WATANZANIA wametakiwa kuachana na tabia ya kulalamika na badala yake wafanye kazi huku wakiwa mstari wa mbele kupinga unyanyasaji na ukandamizwaji, anandika Dany...

Habari Mchanganyiko

Waislamu washauriwa kusaidia wenye mahitaji

WAUNINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuisaidia jamii yenye uhitaji bila kujali itikadi za kidini, ananadika Dany Tibason. Hayo yamebainishwa na Sheikh...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kampuni ya Wakili Fatuma Karume yapigwa mabomu

KAMPUNI ya Mawakili ya IMMMA ya jijini Dar es Salaam, imevamiwa na watu wasiojukana na kulipuliwa kwa mabomu usiku wa kuamkia leo, anaandika...

AfyaTangulizi

Hospitali ya Bugando kupata matumaini mpya

HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inakabiliwa na uhaba wa vifaa mbalimbali vya tiba pamoja na ugunduzi vikiwamo Xray na CT Scan hatua...

Habari Mchanganyiko

Wanasiasa wampasua kichwa RPC Mkondya

ALIYEKUWA Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, Lucas Mkondya, amesema anaondoka katika mkoa huo, huku akisema moja ya...

Kimataifa

Joao Lourenco aibuka mshindi Angola

CHAMA cha People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) nchini Angola kimeshinda uchaguzi mkuu uliofanyika jumatano ya wiki hii kwa zaidi ya...

Kimataifa

Mmiliki wa Samsung duniani atupwa jela

MRITHI aliyetarajia kurithi kampuni ya Samsung, Lee Jae-yong amehukumiwa kifungo cha miaka mitano na mahakama ya nchini Korea Kusini kwa kosa la rushwa,...

Habari Mchanganyiko

Hakimu ataka serikali iharakishe upelelezi kesi ya Manji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuitaka Jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhujumu uchimi inayomkabili mfanyabiashara Yusuf Manji, anaandika Faki Sosi. Hakimu Mkazi...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma ya wabunge nane wa CUF kula kiapo kutolewa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa kuapishwa wabunge wanane walioteuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba au wasiapishwe, anaandika...

Habari za Siasa

Spika Ndugai amtupia zigo la CUF Msajili wa Vyama

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amesema kuwa mgogoro wa Chama cha Wananchi (CUF) wa sakata la wabunge nane ni utaratibu ulianza...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aachiwa huru kwa dhamana

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ameachiwa kwa dhamana ya Polisi kwa masharti ya kurudi tena polisi Jumatatu ya Agosti 28, mwaka huu,...

Habari Mchanganyiko

RPC Mambosasa atua Kanda Maalum Dar

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amemteu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP), Lazaro Mambosasa kuwa Kamanda wa Kanda...

Habari za SiasaTangulizi

Sinema ya Lissu na Polisi yaendelea Dar

JESHI la polisi limeendelea kumshikilia Mwanasheria mkuu wa Chama cha Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu aliyekamatwa juzi jijini Dar es Salaam na kushikiliwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema watangaza ‘Black Thursday” nchi nzima

BARAZA la Vijana la Chadema Taifa (Bavicha), limetangaza mgogoro na Jeshi la Polisi Nchini, huku likitoa siku saba kwa Mkuu wa Jeshi hilo...

Kimataifa

Wanaharakati wazidi kumsakama mke wa Mugabe

GABRIELLA Engels, mwanamitindo nchini Afrika Kusini aliyeshambuliwa na Grace Mugabe, mke wa Rais wa Zimbabwe, amepinga kinga ya kidiplomasia inayotolewa na serikali ya...

Makala & Uchambuzi

Mahakama Kenya waonya wanahabari, mawakili

MAHAKAMA ya juu nchini Kenya imewaonya wanahabari, mawakili na wahusika wengine wa kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya mpinzani...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatangaza kibano kwa magazeti, majarida

MSEMAJI wa serikali ambaye pia ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Habari (Maelezo, Hassan Abbas ametangaza kibano kwa tasnia ya habari kinachohusu usajili...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamaliza upekuzi kwa Lissu, waambulia patupu

MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka...

Habari Mchanganyiko

Wananchi watahadharishwa bidhaa ‘feki’

WATANZANIA wameshauriwa kutumia bidhaa zenye nembo ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), ili kuepukana na utitiri wa vyakula vinavyozalishwa bila viwango kwa matumizi...

Habari za Siasa

Kesi ya Mbunge Kubenea kunguruma Septemba 4

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) hadi Septemba 4 mwaka huu kutokana na uchunguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi watinga nyumbani kwa Lissu kusaka barua ya Bombardier

MAOFISA wa jeshi la polisi wamekwenda nyumbani kwa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Chadema Dodoma wamtetea Lissu

CHAMA Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kanda ya kati kimelaani kitendo cha jeshi la polisi nchini kumkamata mara kwa mara, mbunge wa Singida Mashariki,...

Habari za Siasa

Magufuli anashitakika

RAIS John Magufuli, anaweza kushitakiwa kwa makosa aliyoyatenda wakati akiwa waziri wa Ujenzi katika serikali ya Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, anaandika Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Bunduki zatumika kumkamata Lissu

ASKARI 17 wa Jeshi la Polisi wametumika kumkamata Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, eneo la Kisutu, Dar es...

error: Content is protected !!