Monthly Archives: July 2017

Maambukizi ya VVU yapiga kambi kwa wanandoa

DSC_6656

WATU waliofunga ndoa na kuunganika kuwa kama mwili mmoja na kuepukana na masuala ya kufanya ngono zembe, imebainishwa wao kwa sasa ndio wamekuwa vinara wa kupata maambukizi mapya ya Virusi ...

Read More »

Familia zatengwa na kijiji cha Mureru

7IMG_0833

FAMILIA mbili za Kijiji cha Mureru, Kata ya Lalaji, wilayani Hanang’ zimedasi kuishi kwa kuhofia maisha yao baada ya kutengwa na jamii kijijini hapo kwa kosa la kuikatalia serikali ya ...

Read More »

Kanisa lanufaisha vijana 6,000 Arusha

Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu

KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, limewanufaisha kwa elimu ya malezi ya maadili mema zaidi ya vijana 6,000 itakayowawezesha kuwa na utu na kulea vema familia, anaandika Mwandishi Wetu. Askofu ...

Read More »

Algeria yajiita maskini jeuri

Mji Mkuu wa Algeria, Algiers

ALGERIA imesema haitachukua mkopo wa kigeni licha ya nchi hiyo kukabiliwa na matatizo mengi ya ndani hususani ya kiuchumi, anaandika Victoria Chance. Uchumi wa nchi hiyo umeporomoka kutokana na kushuka ...

Read More »

Serikali inaua uchumi – Mbowe

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

SERIKALI imeshauriwa kuja na “mpango mkakati” wa namna itakavyorekebisha uchumi wa taifa ambao kwa maneno ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), “unaporomoka kwa kasi,” anaandika Hamisi Mguta. “Ukichukua mapato ...

Read More »

Takukuru yadaka watendaji 12 Mbeya

Jiji la Mbeya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwakamata mara moja, kuwahoji na kuwafikisha mahakamani watendaji wakuu 12 wa Halshauri ya jiji la Mbeya, kwa ...

Read More »

NHC yashusha neema kwa watumishi Mabarali

IMG_0376

HALMASHAURI ya wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya imesema kuwa ili kupunguza adha ya Nyumba za kuishi kwa Watumishi wa Halmashauri hiyo,Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo limepitisha azimia la kununua ...

Read More »

Wananchi watawanywa kwa mabomu ya machozi Arumeru

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, (RPC), Charles Mkumbo

MGOGORO wa kugombea mpaka kwa wakaazi wa Kijiji cha Momella, Kata ya Ngarenanyuki wilayani Arumeru na Hifadhi ya Taifa ya Arusha (Anapa) umechukua sura mpya baada ya polisi kuwatawanya kwa ...

Read More »

Katibu wa Chadema afariki dunia

CyMUe7iW8AAa-79

KATIBU mwenezi wa jimbo la Masasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Masasi mkoani Mtwara, Patrick Jacobo (48) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia jana baada ya kusumbuliwa ...

Read More »

Jiji la Dar es Salaam kinara wa matukio ya mauji

Jiji la Dar es Salaam

JIJI la Dar es Salaam linaongoza kwa matukio ya mauaji yatokanayo na watu kujichukulia sheria mkononi yaliyofikia 117 katika kipindi cha nusu mwaka pamoja na ajali za barabarani, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Ndoto za Moshi kuwa jiji zayeyuka

Mji wa Moshi

AMRI ya Rais John Magufuli inayodaiwa kusimamisha mchakato mzima wa upanuzi wa mji wa Moshi kuwa Jiji ‘imewavuruga’ Madiwani wa Manispaa hiyo na sasa wamemwomba asikubali fedha za wananchi zilizotumika ...

Read More »

Korea Kaskazini yazidi kuililia Marekani

Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un

SERIKALI ya Korea Kaskazini imeionya Marekani isitumie njia za vikwazo zaidi wala za kijeshi dhidi ya Pyongyang, anaandika Hellen Sisya. Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ...

Read More »

Malinzi, Mwesigwa bado ngoma mbichi

DGC9t37XsAEe9ak

JAMAL Malinzi, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Katibu wake, Selestine Mwesigwa sambamba na Mhasibu wa shirikisho hilo, Nsiande Isawafo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ...

Read More »

 Waziri Mkuu Majaliwa awatega Madiwani Kyela

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku mbili Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya kumaliza tofauti zao zinazokwamisha utendaji wa Halmashauri hiyo na kuendelea kufanya kazi walizotumwa na ...

Read More »

Madiwani Chadema Arusha watawaliwa ‘umalaya’ wa kisiasa

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

WIMBI  la  viongozi wa  vyama  vya  upinzani  mkoani   Arusha  kujiuzulu  limeendelea  kushika  kasi  baada  ya  Diwani  wa Viti  maalumu  (CHADEMA ) wilaya  ya  Ngorongoro,  Manda Ngoitika naye   kutangaza  kujiuzulu nafasi  ...

Read More »

Kafulila asimulia machungu aliyokutana nayo kwa Escrow

David Kafulila, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi

ALIYEKUWA mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila ameibuka na kusimulia kuwa sakata la Escrow ni miongoni mwa mambo yaliyosababisha akapata ugumu katika mambo mengi na kwamba kwa sasa amepumua ...

Read More »

Mbunge wa CCM amuangukia Waziri Mkuu Majaliwa

Mbunge wa viti maalum (CCM) Juliana Shonza

IMEELEZWA kuwa upungufu wa majengo ya kutolea tiba pamoja na vyumba vya kulaza wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Mbozi ni miongoni mwa mambo yanayochangia  wagonjwa kulala wawili hadi watatu ...

Read More »

Waziri amvua madaraka mkuu idara ardhi

Angelina Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemvua madaraka mkuu wa idara ya ardhi wa Wilaya ya Ukerewe, Elia Mtakama, kwa kushindwa kuingiza viwanja katika mfumo wa ukusanyaji ...

Read More »

Majaliwa awapa kibarua watendaji Songwe

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

VIONGOZI wa mkoa wa Songwe wametakiwa kushiriki kikamilifu kutatua migogogro ya ardhi ili kuzuia migogoro kati ya wakulima na wafugaji inayohatarisha usalama wa maisha yao, anandika Mwandishi Wetu. Kauli hiyo ...

Read More »

Mahakama yanusuru afya ya Seth wa IPTL

James Rugemarila na Harbinde Seth (kulia)

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeliamuru Jeshi la Magereza na Mamlaka zinazohusika na mshtakiwa wa IPTL,   Harbinder  Seth  kumpeleka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kupata matibabu, ...

Read More »

Majangili yatelekeza porini nyara za serikali

Meno ya tembo

JESHI la Polisi mkoani Mbeya kwa kushirikiana  na askari wa TANAPA wamekamata pikipiki sita  zikiwa zimepakia nyara za serikali katika pori la hifadhi ya Taifa la Ruaha liliopo katika kijiji ...

Read More »

CCM yapata pigo Arusha 

Rais John Magufuli, Mwenyekiti wa CCM (wakwanza) akitete jambo na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa chama hicho

KATIBU wa Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Mkoa wa Arusha, Hillal Soud amefariki dunia jana nyumbani kwake Njiro majira ya saa tatu usiku, anaandika Mwandishi Wetu. Akithibitisha ...

Read More »

CUF ya Maalim Seif yaibuka na mapya

Baraza Kuu la CUF

BARAZA Kuu la Uongozi la CUF, limeibuka na mapya juu ya sakata la kufukuzwa ubunge kwa wabunge wake wa Viti Maalumu, na kutoa orodha ya wajumbe halali wa baraza hilo ...

Read More »

CUF kutoa tamko saa mbili zijazo

Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF.

BARAZA Kuu la Uongozi la CUF, linatarajia kutoa tamko la chama hicho baada ya saa mbili  zijazo. Kwa muda huu wajumbe wa Baraza hilo  wanaendelea na kikao chao makao makuu  ...

Read More »

Wakuu wa shule watakiwa kuacha kula ‘shushu’

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro ameagiza walimu wakuu wa shule za sekondari kufundisha vipindi mbalimbali vya masomo ili kupunguza mrundikano wa vipindi kwa walimu wa kawaida, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Wanawake Babati walalamikia kuswekwa Rumande

Ningu

WANAWAKE wanaofanya biashara ya kuuza samaki  maeneo ya  stendi  kuu ya mabasi mjini hapa wameilalamikia Halmashauri ya Mji wa Babati kuwaondoa  kwa nguvu na kuwasweka rumande bila kuwaandalia mazingira mengine, ...

Read More »

Migogoro ya wafugaji kutafutiwa dawa

Wafigaji

SERIKALI imewataka viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini pamoja na watetezi wa haki za wafugaji kuhakikisha wanaondoa migogoro ya wafugaji na wakulima ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara nchini na ...

Read More »

Zitto Kabwe aipongeza serikali ya Magufuli

Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT

MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameipongeza Serikali kwa kuifanya Kigoma kuwa bandari ya mwisho kwa mizigo inayokwenda Kongo na Burundi, anaadika Mwandishi Wetu. Kabwe alitoa pongezi hizo ...

Read More »

CUF ya Malim Seif yajichimbia Zanzibar

Maalim Seif na Lipumba

BARAZA kuu la  uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), linakutana mchana huu mjini Zanzibar kwa lengo la kujadili mgogoro unaondelea ndani ya Chama hicho, anaandika Hamisi Mguta. Baraza hilo ambalo ...

Read More »

Madiwani halmashauri Shinyanga wanusa ufisadi

IMG_0789

KIKAO cha Baraza la Mmadiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kimevunjika baada ya kukosekana kwa taarifa ya mapato na matumizi katika sekta zote za miradi ya maendeleo, anaandika Mwandishi ...

Read More »

IGP Sirro kutimua Polisi wabambika kesi

Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewaonya askari polisi kuacha tabia ya kuwabambikia wananchi kesi huku akiahidi kwatimua kazi watakaobainika kufanya hivyo, anaandika Mwandishi Wetu. IGP Sirro ...

Read More »

Viongozi wa dini wapewa neno Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo

SERIKALI imewataka viongozi wa dini kuacha kujiingiza kwenye siasa badala yake waendelee kuimarisha amani na mshikamano kwa jamii, anaandika Mwandishi Wetu. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amesema hayo ...

Read More »

Watumiaji wa simu waondolewa hofu

Watumiaji wa simu za mkononi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaondolea hofu watumiaji wa mitandao ya simu wanaotaka kutumia huduma ya laini moja kwa mitandao yote kuwa hatawakosa huduma zinazotolewa na makampuni ya simu, anaandika ...

Read More »

Rais Magufuli ‘amparula’ hadharani Mbunge wake

Rais John Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, amewaagiza viongozi wa Manispaa na Mkoa wa Morogoro, kuwaacha wafanya biashara ndogondogo kuendelea kufanya biashara zao katika eneo la kituo cha ...

Read More »

CCM Arusha kuanza kutibuana wiki hii

IMG_0139

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Arusha, kinatarajia kuanza kazi ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, anaandika Mwandishi Wetu Katibu wa ...

Read More »

Wananchi waingiwa hofu malipo ya fidia Tanga

Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigella

SAKATA la malipo ya fidia kwa wakazi wanaopisha mradi wa bomba la mafuta vijiji vya Kata ya Chongoleani, limeingia sura mpya baada ya wadau wa Asasi za kiraia mkoani hapa ...

Read More »

Waziri aagiza watumishi wanane ‘watumbuliwe’

Angelina Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi,

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kwimba, Pendo Malabeja, kuwachukulia hatua watumishi wote wanane wa idara ya ardhi ikiwemo kuwasimamisha kazi kwa ...

Read More »

Tundu Lissu: Hatutanyamaza

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)

MARA baada ya kuachiwa huru na mahakama, Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ametupa dongo lingine kwa Rais John Magufuli kwa kumwambia kuwa watanyamaza wakiwa wafu, anaandika Hellen Sisya. Lissu ...

Read More »

Tundu Lissu aibwaga serikali, apata dhamana

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida (katikati), akiinga ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, hatimaye amepata dhamana baada ya ombi la mawakili wa serikali la kuomba mahakam imnyime dhamana kutupiliwa mbali, anaandika Hellen Sisya. Hakimu Mkuu Mkazi wa ...

Read More »

Ndugai abariki timua timua ya Prof. Lipumba

Job Ndugai,. Spika wa Bunge la Tanzania

JOB Ndugai, Spika wa Bunge amebariki kuvuliwa uanachama kwa wabunge nane wa Chama cha Wananchi (CUF) na anayedai kuwa Mwenyekiti halali wa chama hicho, Prof. Ibrahimu Lipumba, anaandika Erasto Masalu. ...

Read More »

TCU yafafanua ada ya usajili wanavyuo

Eleuther Mwageni , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)

SERIKALI kupitia Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imeviagiza vyuo vikuu kote nchini kutoza kiasi cha pesa kisichozidi Sh. 10,000 kwa kila mwanafunzi atakayeomba nafasi ya kujiunga na elimu ya ...

Read More »

Mfanyabiashara amshikia kisu mwanafunzi ambaka

MFANYABIASHARA maarufu katika mtaa wa Swaswa kata ya Ipagala Manispaa ya Dodoma, Charles Kalinga mwenye umri wa miaka 43 amenusurika kifo baada ya wakazi wa mtaa huo kumshushia kipigo kwa ...

Read More »

Tamasha la utamaduni kufanyika Dar

Kijiji cha Makumbusho

KAMPUNI ya masoko inayojishughulisha na ushauri na mikakati kwa wateja ZECHY Afrika imeandaa tamasha la kusheherekea utamaduni wa mtanzania (Chemichemi Canival) litakalofanyika mwezi Septemba katika kijiji cha Makumbusho jijini Dar ...

Read More »

Maonyesho ya vyuo vikuu yafunguliwa Dar

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu (mwenye suti ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TCU

WAZIRI Mkuu, Kasimu Majaliwa leo amefungua rasmi maonyesho ya 12 ya vyuo vikuu hapa nchini, anaandika Victoria Chance. Maonyesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini ...

Read More »

Mwakyembe awashukuru Watanzania

DFqSxXeXcAUTRTZ

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk.Harrison Mwakyembe, amewashukuru viongozi mbalimbali wa serikali na Watanzania wote kwa ujumla waliohusika kufanikisha shughuli nzima ya kumpumzisha mke wake Linah Mwakyembe, anaandika Irene ...

Read More »

Marekani yaziwekea vikwazo Urusi, Korea

BARAZA la Wawakilishi nchini Marekani limepiga kura ya kziwekea vikwazo nchi za Urusi, Korea Kaskazini na Iran kutokana na kufanya makosa mbalimbali, anaandika Irene David. Akizungumza na Baraza hilo, David ...

Read More »

Wanachama 54 Chadema wambwaga OCD wa Geita

Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli Mwabulambo

MAWAKILI wanaowatetea wanachama 54 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), wameshinda pingamizi la Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Geita, Mponjoli Mwabulambo, katika kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kufanya ...

Read More »

Kubenea aliamsha ‘dude’ mahakamani Dodoma

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema)

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea hadi Agosti 23 Mwaka huu kutokana na uchunguzi wa kesi hiyo kutokamilika, anaandika Dany Tibason. Mbunge ...

Read More »

Wanaharakati wahukumiwa kifungo cha maisha nchini Misri

Moja ya maandamano ya wanaharakati wa Ikhwanul Muslimin

Mahakama ya Jinai nchini Misri imewahukumu kifungo cha maisha jela wanaharakati 43 wa Ikhwanul Muslimin, anaandika Hellen Sisya. Katika hukumu hiyo mahakama hiyo imesema wanaharakati hao walishiriki maandamano yaliyopigwa marufuku dhidi ...

Read More »

Buchosa yakabiliwa na uhaba wa watumishi, vifaa

Halmashauri ya wilaya ya Buchosa

HALMASHAURI ya Buchosa Wilaya ya Sengerema, Mwanza, inakabiliwa na upungufu wa vifaa vya ofisi, vifaa vya uchoraji ramani na vifaa vya kutayarisha hati pamoja na kabineti za kuhifadhia ramani kitendo ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube