Saturday , 20 April 2024

Month: June 2017

Habari MchanganyikoTangulizi

Trilioni 108/= za Acacia kitendawili

JUHUDI za serikali kutaka kampuni ya Acacia kulipa mabilioni ya shilingi inayodai imepunjwa, ziko hatarini kukwama, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na makao...

Habari MchanganyikoTangulizi

Adhabu ya MAWIO yazidi kupingwa

ASASI mbili za kihabari na utetezi wa haki za binadamu zimesaini tamko la pamoja la kupinga uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kulifungia...

Habari za Siasa

DK. Mashinji amvaa Rais Magufuli

DAKTARI  Vicent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema dhamira ya Rais John Magufuli, kukabiliana na ufisadi haiwezi kufanikiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Mrema walilia MAWIO

MUDA mfupi baada ya Serikali kutangaza kulifungia gazeti la MAWIO kwa miaka miwili, Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na John...

Habari Mchanganyiko

Wavuvi wamlilia Rais Magufuli

CHAMA cha Wavuvi Tanzania (TAFU), kimemtaka Rais Magufuli kuunda tume ya uchunguzi juu ya bei ya ununuzi wa samaki katika mikoa ya kanda...

Michezo

Madrid ‘yaikazia’ Man U kwa Morata

REAL Madrid, mabingwa wa soka nchini Hispania na barani Ulaya, wameendelea kushikilia msimamo wao kutotaka kumuuza mshambuliaji wao Alvero Morata kwa kiasi cha...

Habari za SiasaTangulizi

CCM ‘yawagwaya’ Chenge, Muhongo, Ngeleja

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kwa sasa hakiwezi kuwachukulia hatua wabunge wa chama hicho ambao wamekuwa wakihusika mara kwa mara katika kashfa za...

Habari Mchanganyiko

Umbali wa zahanati waongeza vifo vya wajawazito

ONGEZEKO la vifo vya wajawazito hapa nchini linachangiwa na umbali wa vituo vya afya katika halmashauri zilizopo vijijini pamoja na ubovu wa miundombinu, anaandika...

Michezo

TFF yafungua dirisha la usajili

SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania (TFF), limetangaza kufungua rasmi dirisha la usajili wa wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara, 2017/2018 kuanzia leo 15...

Kimataifa

Rais Trump achunguzwa

Donald Trump, Rais wa Marekani anachunguzuwa na Robert Mueller, ambaye ni mwanasheria maalum kwa kile kinachotajwa kuwa alizuia sheria, kwa mujibu wa gazeti...

Habari Mchanganyiko

Wahalifu wanaotumia Bodaboda, Bajaji waongezeka Dar

PAMOJA na jitihada zinazofanywa na serikali, katika kuzuia uhalifu unaofanywa na baadhi ya waendesha bodaboda na bajaji, bado kundi hilo limeendelea kuwa tishio...

Biashara

Kaboyoka alipigia chapuo zao la tangawizi

MBUNGE wa Same Mashariki, Nagenjwa Kaboyoka (Chadema) ameitaka serikali kutoa kutangaza bei elekezi kwa wakulima wa tangawizi kutokana na wakulima wengi wa tangawizi...

Habari Mchanganyiko

Mazombi wamchoma mchuuzi

ASKARI wa kikosi cha Valantia (KVZ) wanaojulikana kwa umaarufu kama “mazombi” wamemjeruhi mchuuzi wa bidhaa za mkononi kwa kumpiga, kumchoma moto na kumtelekeza...

Habari Mchanganyiko

Mtoto afariki baada kula mboga ya majani

MTOTO Miriam Michael (6) mkazi wa Ilembo kata Nsalala  wilaya ya Mbeya amefariki dunia baada ya kula mboga za majani zinazodhaniwa kuwa na...

Habari Mchanganyiko

Jaffo azitaka halmashauri kupima maeneo

SERIKALI imeziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinapima ardhi kwa lengo la kuondokana na migogoro ambayo ambayo imekuwa ikijitokeza katika maeneo mbalimbali, anaandika Dany...

Elimu

Wanafunzi Mbeya wasoma chini ya mti

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ndola, iliyopo kata ya Nsalala, Mbalizi, mkoani Mbeya, wanalazimika kukaa chini ya miti kujisomea kutokana na upungufu wa...

Habari Mchanganyiko

Wakazi wa Dar wajitokeza kuchangia damu

WAKAZI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali vya kuchangia damu salama, kwa lengo kuongezewa katika benki ya...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli awakingia kifua Mkapa, Kikwete sakata la madini

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amevijia juu vyombo vya habari vinavyowataja na kuwahusisha marais wastaafu Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete kwenye ripoti ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makinda: Tusizibie wenzetu fursa

Anne Makinda, Spika mstaafu wa bunge la Tanzania,  amesihi wanawake kusaidia wanawake wenzao kupata fursa walizotumia katika kufanikiwa maishani badala ya kufanya khiyana,...

Habari Mchanganyiko

Azaki zatakiwa kulinda haki za wanawake

TAASISI isiyokuwa ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kulinda na kutetea haki za wanawake Tanzania (Tasuwori) imezitaka Azaki zote nchini kuungana na kuwa...

Michezo

TFF waishangaa BMT kuzuia uchaguzi

WAKATI serikali ikikataza uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuwa halikushirikishwa kwa kuwa wao ndio wasimamizi wakuu, Celestine Mwesigwa,...

Kimataifa

Marekani kuwawekea vikwazo washirika wa Korea Kaskazini

Marekani inasema itaziwekea vikwazo nchi ambazo zinafanya biashara haramu na Korea Kaskazini, anaandika Hamisi Mguta. Rex Tillerson, Waziri wa Mashauri ya nchi za...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye, Lowassa watajwa sakata la madini bungeni

WAKATI wabunge wa upinzani wakishinikiza marais waliopitisha mikataba mibovu kuhojiwa, Job Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amewaibua Mawaziri wastaafu Edward Lowassa na...

Kimataifa

15 wafunikwa na kifusi cha ghorofa, Kenya

KARIBU watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka siku ya Jumatatu (jana) usiku, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu...

Habari za Siasa

Magufuli ajiapiza ‘kuwamaliza’ Mdee, Bulaya

RAIS John Magufuli, amempongeza Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hatua anazochukua dhidi ya wabunge “wasumbufu” na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Chenge, Karamagi kuwekwa kikaangoni

RAIS John Magufuli, amepokea ripoti ya pili ya biashara ya usafirishaji wa mchanga wa dhahabu – maknikia, huku akiagiza waliokuwa mawaziri na wanasheria...

Habari za Siasa

Mdee airarua Bajeti

HALIMA James Mdee, Waziri kivuli wa Fedha na Mipango, na Mbunge wa Jimbo la Kawe (Chadema), amechambua mapendekezo ya bajeti ya serikali kwa mwaka...

Habari za Siasa

Halima Mdee kuliburuza Bunge mahakamani

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee amesema wanatarajia kwenda mahakamani kwa ajili ya kupinga uamuzi wa Bunge wa kuwasimamisha kwa kutohudhuria vikao vya bunge...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi 101 ‘wapigwa’ mimba Januari – Juni

WIMBI la Wanafunzi wa kike Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza kupewa mimba limezidi kuongezeka, baada ya Wanafunzi 101 kupewa mimba ndani ya miezi...

Habari za Siasa

Regina Lowassa awapa mbinu BAWACHA kuing’oa CCM

BARAZA la wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) wametakiwa kuungana na kuweka mipango mikakati ya nguvu ili kuhakikisha wanaiondoa CCM madarakani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mchanga wa dhahabu kumng’oa mwingine?

RAIS John Magufuli anatarajia kupokea ripoti ya pili kuhusu usafirishaji wa mchanga wa dhahabau (maknikia) Jumatatu ya tarehe 12 Juni mwaka huu, ikiwa...

Habari za Siasa

Prof. Mkenda: Wanasiasa msitupelekeshe

PROFESA Adrof Mkenda, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, amewataka wanasiasa hapa nchini kuacha kuingilia masuala ya kitaalam yanayofonywa kwa...

Kimataifa

Marekani yataka Qatar ilegezewe kamba

WAZIRI wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani, Rex Tillerson anasema kuwa nchi za Ghuba ni lazima zilegeze hatua yao dhidi ya...

ElimuTangulizi

Majina ya waliopangiwa kidato cha tano, vyuo 2017 haya hapa

GEORGE Simbachawene, Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa jana alitangaza jumla ya wanafunzi 2,999 wamekosa fursa ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wanafunzi 2,999 wakosa nafasi kidato cha tano

JUMLA ya wanafunzi 2,999 wamekosa fursa ya kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kati ya wanafunzi 96,018 waliochaguliwa, anaandika Dany...

Habari Mchanganyiko

Wabunge waichambua Bajeti

BAADHI ya Wabunge wamesema kitendo cha Bajeti ya Serikali kuondoa kodi kwenye mabango na ushuru wa mazao kinalenga kufifisha shughuli za maendeleo kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea aukataa mpango wa uchumi

MBUNGE wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema) ameiponda taarifa ya hali ya uchumi 2016 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Mfumo wa JPM wautibua ACT-Wazalendo

KAMATI ya Uongozi ya chama cha ACT-Wazalendo imeonesha kutofurahishwa na namna ya teuzi za John Magufuli, Rais wa Tanzania zinavyofanyika bila mashauriano na wahusika...

Habari Mchanganyiko

Wadaiwa sugu kodi ardhi watahadhalishwa

WADAIWA sugu wa kodi ya ardhi Kanda ya Ziwa wametahadharishwa kulipa mapema madeni yao wanayodaiwa kwa kipindi kirefu kabla ya Juni 30, mwaka...

Habari za Siasa

Lukuvi azua mtafaruku ibada ya Ndesamburo

WILLIAM Lukuvi  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amesababisha mtafaruku kwa muda mfupi baada ya kutinga kanisani na ving’ora vya jeshi la...

Habari za SiasaTangulizi

Anna Mghwira akabidhiwa Ilani CCM, ACT kumjadili

ANNA Mghwira, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo amekabidhiwa Ilani ya CCM baada ya kuapishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Ikulu leo, anaandika Hamisi Mguta....

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya, Mdee wazuiwa kuingia bungeni mpaka mwakani

BUNGE la Tanzania limetoa hukumu kwa Wabunge Halima Mdee wa Kawe na Esther Bulaya wa Bunda kutohudhuria vikao vyote vya bunge vinavyoendelea mpaka...

Habari za Siasa

Anna Mgwira kumrithi Meck Sadick

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amemteua Anna Mgwira, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, anaandika Hamisi Mguta. Mgwira ambaye alikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Bavicha wamlaani Ndugai

SIKU moja baada ya Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, kumtoa kwa nguvu Waziri Kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini, John...

Habari Mchanganyiko

Samia awabebesha ‘zigo’ SIDO

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania ameliagiza Shirika la kuhudumia viwanda vidogo vidogo nchini (SIDO) kuhakikisha linasimamia viwanda hivyo vinavyoanzishwa na watumishi...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa ataka amani ilindwe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waendelee kuliombea Taifa lidumu katika hali ya amani na utulivu, anaandika Dany Tibason. Majaliwa amesema suala la...

Kimataifa

Chanjo yaua 15 Sudan Kusini

SERIKALI ya Sudan kusini imesema watoto wapatao 15 wamekufa ikiwa ni matokeo ya makosa yaliyofanyika katika jaribio la kuwakinga na surua, anaandika Hamisi...

Habari za Siasa

Kubenea awalipua Mwakyembe, Mwambalasa

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea (Chadema) amewalipua Dk. Harrison Mwakyembe na Victor Mwambalasa kuwa ni miongoni mwa watu ambao wanahusika katika kupitisha...

Habari Mchanganyiko

Madini kibao yagundulika Ukanda wa Pwani

SERIKALI imekiri kwamba kwenye Ukanda wa Pwani ya Tanzania kunapatikana madini ya aina mbalimbali ambayo ni barite, chokaa, chumvi, clay, dhahabu, flourite, jasi,...

Habari za Siasa

Mgogoro Poli Tengefu la Loliondo wadumu miaka 25

MBUNGE wa Viti Maalum, Catherine Magige (CCM) amehoji kuhusina na ni lini serikali itatatua mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo uliodumu zaidi ya...

error: Content is protected !!