Friday , 19 April 2024

Day: June 22, 2017

ElimuHabari MchanganyikoTangulizi

Magufuli ‘awazima’ wanafunzi wajawazito

Rais John Magufuli amesema anaunga mkono hoja ya Mama Salma Kikwete, Mbunge wa kuteuliwa na Rais kuhusu Serikali kutoruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kuendelea...

Habari za Siasa

Mauaji Kibiti yagusa wabunge

MFULULIZO wa mauaji yanayoendelea wilayani Kibiti Mkoa wa Pwani yamewatikisa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuombaratiba ya leo...

Michezo

Taifa Stars walifuata Kombe la Cosafa

KIKOSI cha wachezaji 22 wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kinaondoka leo Alhamisi Juni 22, 2017 kwenda Afrika Kusini katika michuano ya kuwania...

Habari za Siasa

Rais Magufuli adanganywa mchana kweupe

KITENDO cha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtambulisha Isihaka Juma Karanda kuwa ni mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, ilikuwa ni kumdanganya...

Habari Mchanganyiko

Silinde awavaa matrafiki ‘wezi’

MSEMAJI wa Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni, wa masuala ya fedha na uchumi David Silinde, ameitaka serikali kuchukua hatua dhidi ya askari wa...

Habari za Siasa

Meya Jacob ataka Chadema kuacha ‘ukondoo’

BONIFACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ubungo, amewataka viongozi na wanachama...

error: Content is protected !!