Daily Archives: June 14, 2017

Wahalifu wanaotumia Bodaboda, Bajaji waongezeka Dar

Untitled-1

PAMOJA na jitihada zinazofanywa na serikali, katika kuzuia uhalifu unaofanywa na baadhi ya waendesha bodaboda na bajaji, bado kundi hilo limeendelea kuwa tishio jijini Dar es Salaam, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Kaboyoka alipigia chapuo zao la tangawizi

DSCN0464

MBUNGE wa Same Mashariki, Nagenjwa Kaboyoka (Chadema) ameitaka serikali kutoa kutangaza bei elekezi kwa wakulima wa tangawizi kutokana na wakulima wengi wa tangawizi kuibiwa kwa kuuza kwa bei ya chini, ...

Read More »

Mazombi wamchoma mchuuzi

vikosi-vya-smz-620x308

ASKARI wa kikosi cha Valantia (KVZ) wanaojulikana kwa umaarufu kama “mazombi” wamemjeruhi mchuuzi wa bidhaa za mkononi kwa kumpiga, kumchoma moto na kumtelekeza kambini kwao bila ya kumpatia matibabu, anaandika ...

Read More »

Mtoto afariki baada kula mboga ya majani

McLane-102

MTOTO Miriam Michael (6) mkazi wa Ilembo kata Nsalala  wilaya ya Mbeya amefariki dunia baada ya kula mboga za majani zinazodhaniwa kuwa na sumu, anaandika Esther Macha. Kamanda wa Polisi ...

Read More »

Jaffo azitaka halmashauri kupima maeneo

Suleiman Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

SERIKALI imeziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinapima ardhi kwa lengo la kuondokana na migogoro ambayo ambayo imekuwa ikijitokeza katika maeneo mbalimbali, anaandika Dany Tibason. Licha ya serikali kuziagiza halmashauri kuagizwa ...

Read More »

Wanafunzi Mbeya wasoma chini ya mti

Mfano wa darala liliokuwa chini ya mti

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ndola, iliyopo kata ya Nsalala, Mbalizi, mkoani Mbeya, wanalazimika kukaa chini ya miti kujisomea kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa shule hapo, anaandika Esther ...

Read More »

Wakazi wa Dar wajitokeza kuchangia damu

Wananchi wakichangia damu salama

WAKAZI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali vya kuchangia damu salama, kwa lengo kuongezewa katika benki ya damu Tanzania, anaandika Jasmin Seif. Zoezi hilo ...

Read More »

Magufuli awakingia kifua Mkapa, Kikwete sakata la madini

Kutoka kushoto, Rais John Magufuli, Wastaafu Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa wakifurahia jambo walipokutana Ikulu

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amevijia juu vyombo vya habari vinavyowataja na kuwahusisha marais wastaafu Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete kwenye ripoti ya mikabata ya madini ya michanga wa dhahabu ...

Read More »

Makinda: Tusizibie wenzetu fursa

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda

Anne Makinda, Spika mstaafu wa bunge la Tanzania,  amesihi wanawake kusaidia wanawake wenzao kupata fursa walizotumia katika kufanikiwa maishani badala ya kufanya khiyana, anaandika Jasmin Seif. Makinda amesema pale mwanamke ...

Read More »

Azaki zatakiwa kulinda haki za wanawake

Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

TAASISI isiyokuwa ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kulinda na kutetea haki za wanawake Tanzania (Tasuwori) imezitaka Azaki zote nchini kuungana na kuwa na sauti moja kwa kusemea sera kandamizi ...

Read More »

TFF waishangaa BMT kuzuia uchaguzi

Celestine Mwesigwa, Katibu Mkuu wa TFF

WAKATI serikali ikikataza uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuwa halikushirikishwa kwa kuwa wao ndio wasimamizi wakuu, Celestine Mwesigwa, Katibu Mkuu wa shirikisho hilo amesema Katiba ...

Read More »

Marekani kuwawekea vikwazo washirika wa Korea Kaskazini

Rex Tillerson, Waziri wa Mashuri ya nchi za kigeni

Marekani inasema itaziwekea vikwazo nchi ambazo zinafanya biashara haramu na Korea Kaskazini, anaandika Hamisi Mguta. Rex Tillerson, Waziri wa Mashauri ya nchi za kigeni amesema kuwa Ikulu ya White House ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube