Daily Archives: June 9, 2017

Wanafunzi 2,999 wakosa nafasi kidato cha tano

Wanafunzi wa kitado cha nne wakiwa katika chumba cha mtihani. Picha ndogo ni Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene

JUMLA ya wanafunzi 2,999 wamekosa fursa ya kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kati ya wanafunzi 96,018 waliochaguliwa, anaandika Dany Tibason. Hayo yalielezwa leo na Waziri wa ...

Read More »

Wabunge waichambua Bajeti

Bunge likiendelea na vikao vyake

BAADHI ya Wabunge wamesema kitendo cha Bajeti ya Serikali kuondoa kodi kwenye mabango na ushuru wa mazao kinalenga kufifisha shughuli za maendeleo kwenye halmashauri za mijini na vijijini huku wengine ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube