Daily Archives: June 6, 2017

Lukuvi azua mtafaruku ibada ya Ndesamburo

CHADEMA-NDESAMBUROOO

WILLIAM Lukuvi  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amesababisha mtafaruku kwa muda mfupi baada ya kutinga kanisani na ving’ora vya jeshi la polisi, anaandika Dany Tibason. Mtafaruku huo umetokea ...

Read More »

Anna Mghwira akabidhiwa Ilani CCM, ACT kumjadili

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogolo (kushoto)  akimkabidhi ilani ya CCM Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira.

ANNA Mghwira, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo amekabidhiwa Ilani ya CCM baada ya kuapishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Ikulu leo, anaandika Hamisi Mguta. Mghwira amekabidhiwa Ilani hiyo na Naibu Katibu ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube