Daily Archives: June 3, 2017

Anna Mgwira kumrithi Meck Sadick

Anna Mgwira, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amemteua Anna Mgwira, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, anaandika Hamisi Mguta. Mgwira ambaye alikuwa mmoja wa wapinzani wa Rais Magufuli katika uchaguzi ...

Read More »

Bavicha wamlaani Ndugai

Job Ndugai,. Spika wa Bunge la Tanzania

SIKU moja baada ya Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, kumtoa kwa nguvu Waziri Kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini, John Mnyika, Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), limeaalani  ...

Read More »

Samia awabebesha ‘zigo’ SIDO

Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania ameliagiza Shirika la kuhudumia viwanda vidogo vidogo nchini (SIDO) kuhakikisha linasimamia viwanda hivyo vinavyoanzishwa na watumishi wa umma pindi wanapostaafu, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Majaliwa ataka amani ilindwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Msikiti wa Nunge mjini Dodoma

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waendelee kuliombea Taifa lidumu katika hali ya amani na utulivu, anaandika Dany Tibason. Majaliwa amesema suala la kudumisha amani na utulivu ni jukumu la ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube