Daily Archives: June 2, 2017

Chanjo yaua 15 Sudan Kusini

Watoto Sudan Kusini

SERIKALI ya Sudan kusini imesema watoto wapatao 15 wamekufa ikiwa ni matokeo ya makosa yaliyofanyika katika jaribio la kuwakinga na surua, anaandika Hamisi Mguta. Wafanyakazi wa afya katika jimbo la ...

Read More »

Kubenea awalipua Mwakyembe, Mwambalasa

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo (picha kubwa). Kulia Victor Mwambalasa. Kushoto Dk. Harrison Mwakyembe

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea (Chadema) amewalipua Dk. Harrison Mwakyembe na Victor Mwambalasa kuwa ni miongoni mwa watu ambao wanahusika katika kupitisha mikataba feki ya madini kwa kwa faida ...

Read More »

Madini kibao yagundulika Ukanda wa Pwani

Aina mbalimbali za madini yanayopatikana Ukanda wa Pwani

SERIKALI imekiri kwamba kwenye Ukanda wa Pwani ya Tanzania kunapatikana madini ya aina mbalimbali ambayo ni barite, chokaa, chumvi, clay, dhahabu, flourite, jasi, kaolin, mchanga, mercury, niobim, ruby, rutile, titanium, ...

Read More »

Mgogoro Poli Tengefu la Loliondo wadumu miaka 25

Makundi ya Ng'ombe yaliyokutwa katika Poro Tengefu la Loliondo

MBUNGE wa Viti Maalum, Catherine Magige (CCM) amehoji kuhusina na ni lini serikali itatatua mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo uliodumu zaidi ya miaka 25, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali leo ...

Read More »

Serikali wagoma kuifuta kodi ya umiliki wa vyombo vya moto

Askari wa Usalama barabarani akikagua kibali cha kodi ya umiliki wa gari

SERIKALI imesema ada ya mwaka ya Magari (Annual Motor Vehicle Lincese Ownership Fees) inatozwa kwa wamiliki wa vyombo vya moto kwa mujibu wa Sheria ya Usalama barabarani ya mwaka 1973 ...

Read More »

Spika Ndugai amtupa ‘jela’ Mnyika, Wapinzani wasusa

John Mnyika, Mbunge wa KIbamba (kushoto). Kulia ni Job Ndugai Spika wa Bunge

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameamuru askari wa Bunge wamtoe nje, John Mnyika, Mbunge wa Kibamba na iutohudhuria vikao saba la bunge hilo vinavyoendelea, anaandika Dany Tibason. Ndugai amechukua maamuzi ...

Read More »

Tusaidieni mitaji, vifungashio bora – Wajasliamali

Baadhi ya wajasiriamali wakiwa katika viwanja vya Nyamagana,  Mwanza wakionesha bidhaa zao.

SERIKALI imeombwa kuhakikisha inaweka mipango na mikakati madhubuti ya kuwawezesha wajasiliamali wadogo nchini wanaomiliki viwanda vidogo, ili waweze kukuza mitaji yao, anaandika Moses Mseti. Pia imeombwa kuanzisha viwanda vya kutengeneza ...

Read More »

Serikali haimjui aliyebuni Nembo ya Taifa

Tanzania_President_Flag-721

SERIKALI imesema mpaka sasa haijafahamika ni nani aliyebuni nembo ya taifa tofauti na ilivyokuwa ikijulikana kuwa aliyebuni nembo hiyo ni Francis Ngosha (80) yaliyekufa hivi karibuni, anaandika Dany Tibason. Kauli ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube