KLABU ya Chelsea ya jijini London, Uingereza, imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka England msimu wa 2016/17, baada ya kuifunga West Bromwich,...
By Jabir IdrissaMay 14, 2017WABUNGE wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameadhimia kutoa milioni 86 pesa za posho ya kikao cha siku kwa ajili ya...
By Hamisi MgutaMay 8, 2017TAYARI zoezi la kuaga miili 36 ambayo ni ya wanafunzi 33, walimu 2 na dereva wao waliofariki katika ajali ya gari Karatu mkoani...
By Hamisi MgutaMay 8, 2017SERIKALI inaangalia uwezekano wa kuongeza posho ya wazee wa mabaraza ya Mahakama kutokana na kiwango cha Sh. 5,000 kinacholipwa hivi sasa kwa wazee...
By Danson KaijageMay 8, 2017HALMASHAURI ya wilaya ya Lushoto inatumia zaidi ya Sh. 28 milioni kulipa mishahara ya watumishi kila mwezi Bunge limeelezwa, anaandika Dany Tibason. Mbunge...
By Danson KaijageMay 8, 2017UJENZI wa kituo kipya cha Mabasi cha Ubungo kinachotarajiwa kujengwa maeneo ya Mbezi Luis kinakadiliwa kutumia Sh. 28.72 bilioni, anaandika Dany Tibason. Naibu...
By Danson KaijageMay 8, 2017SERIKALI imesema inatekeleza programu ya miaka mitano ya kukuza ujuzi inayolenga kuwezesha vijana 4,419,074 kupata ujuzi wa kuajiliwa au kujiajiri katika sekta mbalimbali,...
By Hamisi MgutaMay 8, 2017KAMANDA wa Polisi, mkoani Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha kuwa watu 32 wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Karatu, eneo la Rhotia Marera, anaandika Hamisi Mguta. Waliofariki...
By Hamisi MgutaMay 6, 2017JUMANNE Kishimba, Mbunge wa Kahama mkoani Shinyanga (CCM) anatuhumiwa kushindwa kulipa kodi ya ardhi kiasi cha Sh. 2.7 milioni kwa kipindi cha mwaka...
By Moses MsetiMay 5, 2017OFISI ya Kamishna wa Ardhi Kanda ya Ziwa, imewafikisha mahakamani wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi 310, walioshindwa kulipa kodi hiyo kwa kipindi...
By Moses MsetiMay 5, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wabunge wa Ukawa na madiwani wawili waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa...
By Hamisi MgutaMay 4, 2017WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ameshindwa kujua bajeti ya ukimbizaji...
By Danson KaijageMay 4, 2017SERIKALI imepiga marufuku tabia ya baadhi ya wakurugenzi ambao wanawahamisha watumishi bila kuwa na bajeti ya kuwalipa fedha zao, anaandika Dany Tibason. Kauli...
By Danson KaijageMay 4, 2017MBUNGE wa Mtambile, Masoud Abdallah Saim (CUF) ameihijo serikali ina mipango gani ya kupiga marufuku tabia ya watu kurithi wajane, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageMay 4, 2017MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema anasikitisha kuona serikali inakimbilia kutoa mabilioni ya fedha kununua ndege wakati hali ya afya ni mbaya...
By Danson KaijageMay 4, 2017WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harison Mwakyembe amepiga marufuku watangazaji wa vipindi vya magazeti kwenye redio na televisheni kusoma habari...
By Christina HauleMay 4, 2017MBUNGE wa Viti Maalum, Upendo Peneza (Chadema) ameitaka serikali iangalie uwezekano wa kupunguza kodi katika vifaa vya ujenzi ili wananchi waweze kujenga nyumba...
By Danson KaijageMay 2, 2017SERIKALI imepiga marufuku halmashauri zote nchini kutumia magari ya chanjo kwa ajili ya kukusanya mapato anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri...
By Danson KaijageMay 2, 2017MBUNGE wa Viti Maalum, Rhoda Kunchele (Chadema) ameitaka serikali ieleze ni lini itakuwa tayari kutatua mgogoro wa shamba lililokuwa likimilikiwa na NBC katika...
By Danson KaijageMay 2, 2017JULIUS Mtatiro, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF, amesema hawezi kukutana na Abdul Kambaya, Naibu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF, kujadili...
By Hamisi MgutaMay 2, 2017KAMATI ya Haki na Maadili ya Bunge imetoa adhabu kwa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti vilivyobaki baada...
By Hamisi MgutaMay 2, 2017SHIRIKISHO la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TCTA) Mkoa wa Dodoma, kipato cha mshahara kwa mfanyakazi kwa mwezi hakikidhi mahitaji kwa mfanyakazi, anaandika Dany...
By Danson KaijageMay 1, 2017