Thursday , 28 March 2024

Day: May 4, 2017

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea, Mdee huru kesi ya kumshika matiti RAS

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wabunge wa Ukawa na madiwani wawili waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa...

Habari za Siasa

Waziri hajui gharama za kukimbiza Mwenge

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ameshindwa kujua bajeti ya ukimbizaji...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Bila kulipwa mtumishi asihame

SERIKALI imepiga marufuku tabia ya baadhi ya wakurugenzi ambao wanawahamisha watumishi bila kuwa na bajeti ya kuwalipa fedha zao, anaandika Dany Tibason. Kauli...

Habari Mchanganyiko

Mbunge ahoji wajane kurithiwa

MBUNGE wa Mtambile, Masoud Abdallah Saim (CUF) ameihijo serikali ina mipango gani ya kupiga marufuku tabia ya watu kurithi wajane, anaandika Dany Tibason....

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Fedha za Bombadier zingejenga hospitali za Ocean Road tano

MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema anasikitisha kuona serikali inakimbilia kutoa mabilioni ya fedha kununua ndege wakati hali ya afya ni mbaya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Mwakyembe: Marufuku magazeti kuswoma kwenye redio na tv

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harison Mwakyembe amepiga marufuku watangazaji wa vipindi vya magazeti kwenye redio na televisheni kusoma habari...

error: Content is protected !!