Monthly Archives: May 2017

IGP Sirro aanza na wauaji wa Pwani

Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) ameanza na kuwachimba mkwara mzito watu wanaoendesha mauaji ya viongozi wa serikali, chama na askari Mkuranga, Ikwiriri na Rufiji, anaandika Hamisi Mguta. ...

Read More »

Ukatili kijinsia wapingwa

Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

MKURUGENZI Mtendaji wa kituo cha msaada wa kisheria cha Parallegal, Morogoro, Frola Masoi ameitaka jamii kuzingatia na kuzifuata sheria zilizopo kwenye katiba ya Tanzania zinazoitaka kuacha matendo ya ukatili wa ...

Read More »

Mbowe aelezea Ndesambulo alivyofariki

Philemon Ndesamburo enzi za uhai wake akiwa na Freeman Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupokea kwa mshutuko mkubwa wa kifo cha Muasisi wa chama hicho na mbunge wa mstaafu wa jimbo la Moshi Philimoni Ndesamburo (84), anaandika Dany ...

Read More »

Bomu laua 80 Afghanistan

Baadhi ya waliyoathiriwa wa bomu hilo

WATU 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka jirani na ubalozi wa Ujerumani mjini Kabul, Afghanistan, anaandika Mwandishi wetu. Maafisa nchini ...

Read More »

Kubenea amtoa jasho Mwijage bungeni

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo. Picha ndogo Charles Mwijage Waziri wa Viwanda

WAZIRI wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Charles Mwijage alijikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kujibu swali la nyongeza la Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), anaandika Dany Tibason. Mwijage alijikuta akipiga ...

Read More »

Serikali kurudisha viwanda vyake kutoka kwa wawekezaji

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango

SERIKALI, iko mbioni kuvirejesha serikalini viwanda vyake vinane vilivyokuwa vinaendeshwa na wawekezaji, anaandika Dany Tibason. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipokuwa ...

Read More »

Sumatra waingia kwenye shutuma nzito

Mitumbwi ya wavuvi katika Ziwa Tanganyika

MBUNGE wa Buyungu, Mwalimu, Bilago Kasuku (Chadema) ameibana serikali na kuitaka ieleze ni kifungo gani cha sheria kinaipaMamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Ardhini na Majini (Sumatra) kutoza ushuru kwa ...

Read More »

TANZIA: Philemon Ndesamburo afariki dunia

Philemon Ndesamburo enzi wa uhai wake

MBUNGE wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi, anaandika Mwandishi Wetu. Basil Lema, Katibu wa ...

Read More »

Wakandarasi wanaichonganisha serikali na wananchi

Suleiman Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) Suleiman Jafo amewaambia wakandarasi kutotimiza wajibu wao na kukamilisha kwa muda muafaka miradi ...

Read More »

CDA wazidi kubanwa, sasa kuchunguzwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi

WAKATI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akikiri kwamba kuna utapeli unaodaiwa kutekelezwa na baadhi ya watendaji wa iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA), baadhi ...

Read More »

Sheria ya ndoa kurekebishwa kumaliza ndoa za utotoni

Dk.Hamisi Kigwangalla, waziri wa Maliasili na Utalii

SERIKALI imesema ipo haja ya kuondoa vifungu vinavyoruhusu ndoa za utotoni kwenye sheria ya ndoa kwa lengo la kumlinda mtoto wa kike na ndoa za utotoni, anaandika Dany Tibason. Dk. ...

Read More »

Mbunge awashambulia mawaziri wa Rais Magufuli

Mwita Waitara, Mbunge wa Ukonga (katkati) akiwa bungeni na wabunge wenzake wa upinzani

MBUNGE wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) leo aliwashambulia mawaziri wa Rais Magufuli kwa kueleza kuwa majibu yao asilimia kubwa ni ya uongo, anaandika Dany Tibason. Mwita ameelekeza mashambulizi hayo leo ...

Read More »

Mashine ya Mil 100 yatoweka Mpanda

Mashine ya kusaga na kukoboa

MBUNGE wa Viti Maalum Rhoda Kunchela (Chadema) ameitaka serikali kufuatilia na kutoa taarifa juu ya matumizi mabaya ya mashine ya kukoboa na kusaga ambayo ilinunuliwa kwa zaidi ya Sh. 100 ...

Read More »

Uzalishaji mashuleni waokoa wanafunzi

Wanafunzi wakiendeleza kampeni ya kupanda miti

MRADI wa kuhamasisha shule za msingi kushiriki katika shughuli za utunzaji wa mazingira na uzalishaji mali shuleni, “eco school” umefanikiwa kuongeza mahudhurio ya wanafunzi darasani katika shule ya msingi Kigugu ...

Read More »

Tanzia: Mchoraji nembo ya Taifa afariki

Mzee Francis Maige alipokuwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imetoa taarifa za kifo cha Mzee Fransis Maige (86) aliyechora Nembo ya Taifa ya Uhuru na Umoja ambayo inatumika nchini hadi sasa, anaandika Hamisi Mguta. Maige ...

Read More »

Korea Kaskazini yaelekeza kombora Japan

Mifano ya makombora ya Scud yanayomilikiwa na Korea Kaskazini

KOREA Kaskazini imerusha kombora la masafa mafupi, ambalo ni la tatu kurushwa na taifa hilo katika kipindi cha wiki tatu, anaandika Hamisi Mguta. Kombora hilo aina ya Scud lilipaa umbali ...

Read More »

Yametimia

Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

UTEUZI uliotabiliwa na Gazeti la MwanaHALISI kuhusu kung’oka kwa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu umetimia, anaandika Mwandishi Wetu. Katika andika la Gazeti la MwanaHALISI Desemba 21 la lilieleza nia ...

Read More »

Mkude anusurika, mmoja afariki ajalini

Muonekano wa gari walilopata nalo ajali, Jonas Mkude na wenzake

Nahodha wa Simba, Jonas Mkude amepata ajali mbaya ya gari akiwa njiani kureje Dar es Salaam akitokea Dodoma, anaandika Hamisi Mguta. Mkude alikuwa akirejea mjini humo baada ya jana Simba ...

Read More »

Tetemeko ardhi laua Polisi Mwanza

Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

TETEMEKO la ardhi lililopita mkoani Mwanza na kudumu kwa sekunde 10 limesababisha askari Polisi WP. 114674 Joyce Jackson kupoteza maisha wakati akiwa kazini kwake akiendelea kuchukua maelezo ya watuhumiwa, anaandika ...

Read More »

Mwijage ajifananisha na Gaddafi

Charles Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji. Picha ndogo Marehemu Muhammed Gaddafi

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema yeye ni muumini wa Mohammed Gaddafi, kwa kueleza kuwa yeye anafanya kazi ya kujenga mbali bila kujenga kwao na atajenga kwao ...

Read More »

Mchanga wa madini waondoka na Prof. Muhongo

John Magufuli, Rais wa Tanzania (kushoto) akiwa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo

RAIS Rais John Magufuli ameanza kutekeleza ushauri aliopewa katika ripoti ya Kamati ya kuchunguza makontena ya mchanga wa madini yaliyokamatwa kwa kumtengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa ...

Read More »

Chadema kuiteka Dodoma

Kamati Kuu ya Chadema wakishikana mikono kuonyesha mshikamano

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinategemea kupokea wageni zaidi ya 1,500 katika mji wa Dodoma ambao watahudhuria vikao vya kamati kuu na baraza kuu la chama hicho, anaandika Dany ...

Read More »

Taasisi ya kusimamia ubora wa elimu yatakiwa

Magreth Sitta, Mbunge wa Urambo

MBUNGE wa Urambo, Magreth Sitta (CCM), ameihoji serikali ni kwanini haioni umuhimu wa kuunda taasisi ya kusimamia ubora wa elimu nchini, anaandika Dany Tibason. Mbunge huyo alitoa hoja hiyo leo bungeni ...

Read More »

Halima Mdee adai haki ya wanawake kumiliki ardhi

Halima Mdee, Mbunge wa Kawe akitoa mchango wake bungeni. Picha ndogo wabunge wa upinzani wakitoka bungeni

MBUNGE wa Kawe Halima Mdee (Chadema) ameitaka serikali ieleze ni lini sheria kandamizi kwa akina mama zitaondolewa hasa katika upande wa umilikaji na umilikishwaji wa hardhi, anaandika Dany Tibason. Mdee ...

Read More »

Wananchi Mvomelo walia kuporwa ardhi

Kijiji Liuli Nyasa

WANANCHI wa vijiji vya Kunke na Mlumbilo, Mvomero mkoani Morogoro wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi uliopo baina yao na Uongozi wa Msitu wa Hifadhi wa TFS unaowataka kupisha ...

Read More »

CCM Mwanza watifuana, maslahi binafsi yatajwa

Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire. Picha ndogo, Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza

VIONGOZI wakubwa wa Jiji la Mwanza, James Bwire, Meya wa jiji hilo kwa tiketi ya CCM na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba ambaye ni kada wa CCM, wameingia katika ...

Read More »

Mapigano ya wakulima, wafugaji yamchosha Kikwete

Mwigulu Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani, akiangalia athari zilizotokana na mapigano ya wakulima na wafugaji

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (CCM) ameitaka serikali kueleza namna ilivyojipanga kupambana na janga la mapigano baina ya wakulima na wafugaji, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali bungeni leo, mbunge huyo ...

Read More »

Serikali kuhakikisha maji yanapatikana nchi nzima

Wananchi wakiwa kaitka sehemu yemye Uhaba wa maji

SERIKALI imesema kuwa inaendelea kutekeleza miradi ya maji nchini ikiwa ni pamoja na mijini na vijiji, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Maji na ...

Read More »

Mil 160 zakatika kwenye uvuvi haramu

Vyavu ambazo haziruhusiwi kuvulia zikiteketezwa kwa moto

MBUNGE wa Viti Maalum, Fakharia Shomari Khamis (CCM) ameihoji serikali namna ilivyojipanga katika kuzuia uvuvi haramu nchini, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali bungeni leo, mbunge huyo pia ametaka kujua ni ...

Read More »

Matajiri Dodoma watangaziwa vita

Mji wa Dodoma

MKURUGENZI wa Manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi amewatangazia vita matajiri wakubwa waliopora na kujilimbikizia viwanja bila kuviendeleza kwa wakati, anaandika Dany Tibason. Kunambi amesema wale wote ambao wanamiliki viwanja vingi ndani ...

Read More »

Mradi wa maji Ngudu wakamilika

images

SERIKALI imetekeleza mradi wa majisafi kutoka Ziwa Victoria kwenda katika mji wa Ngudu na vijiji vilivyopo kando kando ya bomba linalopeleka maji katika Mji wa Ngudu, anaandika Dany Tibason. Naibu ...

Read More »

Serikali wahimiza shule kujengwa, wagoma kusajili

Vyumba vya madarasa yaliyojengwa na wananchi

MBUNGE wa Igalula Musa Ntimizi (CCM) ameihoji serikali sababu ya kutozisajili shule shikizi zilizojengwa karibu na makazi ya wananchi, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali la msingi bungeni leo, Ntimizi amesema ...

Read More »

Serikali yasisitiza wajawazito kutibiwa bure

Wajawazito wakiwa hospitalini

SERIKALI imesisitiza kuwa sera ya Afya ya mwaka 2007 inaeleza kuwa huduma za kina mama wajawazito katika vituo vya ngazi zote zinatakiwa kutolewa bila malipo, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ...

Read More »

Wafanyabiashara wapigiwa debe bungeni

John Magufuli, Rais wa Tanzania akizungumza na wafanyabiashara nchini

MBUNGE wa Viti Maalum, Jesca Kishoa (Chadema) amehoji ni kwanini serikali haioni haja ya kuwasaidia wafanyabiashara kwa kuwapa riba yenye mikopo nafuu ili iweze kukuza biashara zao, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Viatirifu feki lita 14,600 vyakamatwa

C360_2016-06-13-15-00-53-763

SERIKALI imekiri kuwepo changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uingizwaji wa dawa za mifugo na kilimo ambazo hazikidhi viwango, anaandika Dany Tibason. Mbali na kuwepo kwa changamoto hiyo ya kuingizwa ...

Read More »

Michango ya Mwenge yatinga bungeni

Askari wakiulinda Mwege wa Uhuru

MBUNGE wa Viti Maalum, Rhoda Kunchela (Chadema) ameomba mwongozo wa kutaka Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge kuharisha shughuli za bunge kwa lengo la kujadili adha ya watumishi, wafanyabiashara na walimu ...

Read More »

Mkurugenzi Mwanza matatani kutoa zabuni ‘kinyemera’

Taswila ya jiji la Mwanza

KIOMONI Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, ameingia katika mvutano na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo baada ya kujenga chini ya kiwango mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya takataka ...

Read More »

Polisi waua majambazi watatu

Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

WATU watatu wanaozaniwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza wakati walipokaidi amri ya Polisi ya kujisalimisha eneo la tukio, anaandika Moses Mseti. Miezi sita ...

Read More »

Tani 100,000 za Kahawa kuzalishwa nchini

Shamba la Kahawa

BODI ya kahawa Tanzania inakusudia kuongeza uzalishaji kutoka tani 80,000 za mwaka 2017 hadi kufikia tani 100,000 mwaka 2021, anaandika Christina Haule. Hayo yamebainishwa leo na Primus Kimario, Kaimu Mkurugenzi ...

Read More »

Zitto: Serikali inaua viwanda vya ndani

Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kusimamia ipasavyo sekta ya viwanda ili kuhakikisha kinachozalishwa nchini kinakuwa na maana kwa faida ya Watanzania, anaandika Dany Tibason. Amehimiza serikali kuvilinda ...

Read More »

Walimu wa Sayansi, Hisabati tatizo

Mwalimu wa hisabati akiwa darasani

UPO upungufu wa walimu 24,716 wa masomo ya Sayansi na Hisabati nchini, ametangaza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Stella Manyanya, wakati akijibu swali la mbunge wa Viti Maalum, Suzan ...

Read More »

Tanzania yanufaika na madaktari wa Cuba

1454098034939

MBUNGE wa Gando, Othman Omar Haji (CUF) ameihoji serikali kueleza namna Tanzania ilivyofaidika na utekelezaji wa mkataba wa ushirikiano baina yake na Serikali ya Cuba, anaandika Dany Tibason. Swali la mbunge ...

Read More »

Majanga ya moto mashuleni yakithiri

Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya Edwaed Lowassa iliyoko wilayani Monduli, Arusha limeteketea kwa moto

SERIKALI imekiri kukithiri kwa majanga ya moto mashuleni na kusababisha uharibifu mkubwa wa majengo, anaandika Dany Tibason. Akijibu swali bungeni leo, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za ...

Read More »

TFDA yafunga machinjio Kongwa

Duka la nyama

MAMLAKA ya udhibiti chakula vipodozi na dawa TFDA imefungia machinjio ya ng’ombe ya Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kuendelea na huduma ya uchinjaji ng’ombe   kutokana na machinjio hizo kutokidhi vigezo ...

Read More »

Vifo vya wajawazito tishio Moro

Wajawazito wakiwa hospitalini

VIFO vya wajawazito vimeonekana kuongezeka mkoani Morogoro hadi kufikia vifo 83 mwaka 2016 dhidi ya 68 vilivyotokea mwaka 2015 kutokana na kutokuwepo na mchakato maalum wa kitaalamu wa kujifungua, anaandika Christina ...

Read More »

Mwambe kumrithi Kairuki TIC

k203

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania leo amefanya uteuzi mpya Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), anaandika Hamisi Mguta. Awali nafasi hiyo ilikuwa chini ya ...

Read More »

Agizo la Magufuli lawatafuna wafungwa Moro

Moja ya Magereza yaliyopo mkoa wa Morogoro. Picha ndogo Rais wa Tanzania, John Magufuli

AGIZO la Rais John  Magufuli kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukata umeme popote hata katika taasisi ya serikali imesababisha Magereza 14 katika mkoa wa Morogoro kukatiwa umeme na kusababisha ...

Read More »

Malima aachiwa huru

Adam Malima (katikati) akitoka mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana

MAHAKAMA ya Mkazi Kisutu imemuachia huru Naibu Waziri wa Fedha wa awamu ya nne, Adam Malima leo kwa dhamana ya shilingi milioni tano, anaandika Hamisi Mguta. Mapema leo Malima alifikishwa ...

Read More »

Mapya yaibuka mauaji ya jambazi

Mwigulu Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Taasisi za Kiislam Tanzania ameibuka na kumtetea anayeitwa jambazi aliyeuwawa katika tukio la uvamizi wa ATM, kuwa haukuwa jambazi, anaandika Hamisi Mguta. Jeshi la ...

Read More »

Wabunge wadai bima ya maisha

Bunge likiendelea na vikao vyake

WABUNGE wameshangazwa kitendo cha ofisi ya bunge kupitia Jumuiya ya Madola (CPA) kushindwa kuwakatia bima ya maisha wabunge ambao wanamaliza muda wao kama umoha huo unavyotaka, anaandika Dany Tibason. Mbunge ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube