WILLIAM Lukuvi, WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemtahadhalisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga, kwamba atakitoa pumzi kitambi chake, endapo atashindwa kusimamia zoezi la Urasimishaji makazi ...
Read More »Monthly Archives: April 2017
Mbunge CCM atuhumiwa kuhujumu uchumi
MBUNGE wa Kwimba, Mwanza, Shannif Mansour (CCM), anatuhumiwa kugoma kulipa kodi ya eneo lake la ardhi lenye ukubwa wa hekta 39,000, kiasi cha zaidi ya Sh. 500 milioni tangu mwaka ...
Read More »Bunge lisiwe ndumilakuwili – Kubenea
MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, amehoji uhalali wa Bunge kuwaadhibu wabunge wa upinzani na “kuwanyamazia” wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Erasto Masalu. Akizungumza bungeni leo asubuhi (Ijumaa), Kubenea ...
Read More »Ripoti ya vyeti feki yamlinda Makonda
MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye anatuhumiwa kutumia vyeti feki amenusurika kuondolewa katika nafasi yake baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi ...
Read More »Simbachawene awaitia fulsa watu Dodoma
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene amewataka wananchi kuchangamkia fursa za kimaendeleo zinazopatikana katika mkoa wa Dodoma kutokana na uwepo kwa makao makuu, ...
Read More »Askofu amwangukia Rais Magufuli bei ya vyakula
ASKOFU wa kanisa Methodist jimbo la Dodoma,Joseph Bundala amemtaka rais Dk. John Magufuli kuingilia kati suala la mfumko wa bei ya vyakula ili kuwanusuru watanzania wa kipato cha chini, anaandika ...
Read More »Visiwa vilivyokuwa giza toka Uhuru, kupata umeme
VISIWA vinne kati ya 38 vilivyopo Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, vitaanza kupata umeme wa nishati ya jua baada ya Kampuni ya Rex Energy kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa umeme ...
Read More »Rais Magufuli achimba mkwara kiaina
RAIS John Magufuli, amesema mtu yeyote atakayejitokeza na kujaribu kuuvunja Muungano wa Tanganyika na Zazibar atavunjika yeye, anaandika Dany Tibason. Amesema kuulinda Muungano si jambo rahisi,kwani baadhi ya nchi zilijaribu ...
Read More »CUF: Jaji Mutungi ndiye chanzo cha vurugu
CHAMA cha Wananchi ‘CUF’ kimemshutumu Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuwa ndiye chanzo cha vurugu zinazoendelea ndani ya chama cha hicho, anaandika Hamisi Mguta. Ni baada ya ...
Read More »TEF nao wamkaba koo Prof. Lipumba, wamtaka aombe radhi
JUKWAA la Wahariri Tanzania ‘TEF’ limemtaka Prof. Ibrahim Lipumba kutoa kauli kuhusu tukio la kupigwa kwa waandishi wa habari katika uvamizi wa mkutano wa Chama cha Wananchi ‘CUF’ uliotokea wiki ...
Read More »Vijana washauriwa kukopa kukuza uchumi
VIJANA waliohitimu elimu ya juu nchini wameshauriwa kuanzisha shughuli za ujasiriamali na kukuza uchumi wao kwa kujitokeza kwenye ofisi za mikopo badala ya kusubiri ajira ambazo kwa sasa bado ni ...
Read More »Kubenea ahoji: Who is Makonda?
MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amemvaa Waziri Mkuu wa Jamhuri, Kassim Majaliwa kuhusiana na kauli yake kuwa “serikali inachunguza vitendo vya utekaji,” anaandika Pendo Omary. Akichangia mjadala juu ya ...
Read More »CUF wamtaka Sirro kuchukua hatua ‘mazombi’ ya Prof. Lipumba
KAMATI ya Uongozi ya Chama cha Wananchi ‘CUF’ imemtaka Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kuchukua hatua dhidi ya waliotekeleza uvamizi wa mkutano wa chama hicho ...
Read More »Makamu wa Rais mgeni rasmi Kongamano ya Jinsia
SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es ...
Read More »Ajali adui namba 3 wa sekta ya Afya
MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Steven Kebwe amesema, matukio ya ajali za barabarani yameshika nafasi ya tatu kwa kuwa adui mkubwa wa afya hapa nchini, anaandika Christina Haule. Dk. ...
Read More »DC Ukerewe aomba kivuko
ESTOMIAH Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, ameiomba Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa kisiwa cha Ukara wilayani ...
Read More »Prof. Muhongo awakalia kooni REA
WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ameiagiza bodi mpya ya wakurugenzi wa Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini (REA) kuwakagua wakandarasi wote ambao wamepata tenda ya usambazaji wa ...
Read More »Serikali ikisema hakuna njaa, bei ya unga juu
WAKATI Serikali ikijinasibu kuwa nchini hakuna njaa, bado jamii imeendelea kulalamikia upandaji wa bei ya vyakula, anaandika Dany Tibason. Kwa nyakati tofauti baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma wameitaka ...
Read More »Ewura wajipanga kupunguza kero katika utendaji
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) inakusudia kupunguza mwingiliano wa utendaji kazi baada ya kuanza kuweka mikakati kwa watumiaji wa huduma hizo, kufahamu wajibu wa kulinda ...
Read More »Wauaji wa Kibiti wahofiwa kujificha Dar
SIMON Sirro, Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, amewataka wakazi wa jiji hilo kuwa makini hasa katika kipindi hiki uchunguzi dhidi ya waliotekeleza mauaji ya askari nane, Kibiti, ...
Read More »Vyama vya wafanyakazi wakumbushwa kanuni
SERIKALI imewataka watendaji wa vyama vya wafanyakazi kuzisoma, kuzitambua na kuzitumia vyema kanuni na sheria za kazi ili kutatua migogoro ya wafanyakazi na waajiri bila upendeleo na kuleta tija kwa ...
Read More »Yanga wamwaga mboga, Simba kubinua sahani na bakuli
KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017, iwe imeshatoa maamuzi waliyoyaweka kiporo, kinyume na ...
Read More »Isango azikwa kijijini kwao Kisasida
HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari, Josephat Isango tayari umepumzishwa katika nyumba ya milele kijijini kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta. Isango alifariki Aprili 14 siku ya Ijumaa ...
Read More »Majaliwa ataka riba ya mikopo ipungue
SERIKALI imeitaka mifuko ya kijamii ambayo inatoa mikopo kwa jamii kufanya marekebisho upya ili kuona uwezekano kupunguza kiwango cha riba, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri Mkuu Kassimu ...
Read More »Nguruwe wapigwa marufuku Morogoro
WAFUGAJI wa nguruwe kwenye kata ya Kingolwila, Morogoro wametakiwa kutoiachia mifugo yao kudhurula hovyo mitaani huku ikitapanya kinyesi hali inayopelekea uchafuzi wa mazingira, anaandika Christina Haule. Hayo yalibainishwa jana na ...
Read More »Mwigulu avalia njuga, mauaji Kibiti
WAKATI hofu juu ya usalama wa maisha ya wananchi wa Kibiti, Pwani ikizidi kutanda baada ya tukio la mauaji ya askari Polisi nane yaliyotekelezwa na watu wasiojulikana juzi, Waziri wa Mambo ...
Read More »Josephat Isango kuzikwa Jumanne
MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida, anaandika Hamisi Mguta. Marehemu Isango alifariki dunia jana mapema asubuhi ...
Read More »Pumzika kwa amani Isango wangu
NIMEPOKEA kwa mstuko mkubwa taarifa ya kifo cha mwandishi wa habari mwenzetu na aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), Josephat Isango, kilichotokea asubuhi ya leo, tarehe ...
Read More »Polisi kusaka waliyoua Askari Kibiti
KAMISHNA wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Nsato Marijani amesema Jeshi la Polisi linakwenda kufanya operation kali dhidi ya majambazi waliohusika na mauaji ya askari nane wilayani ...
Read More »Josephat Isango afariki dunia asubuhi hii
MWANDISHI wa habari Josephat Isango amefariki dunia mapema asububi leo, anaandika Hamisi Mguta. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mdogo wake aitwae Christopher ambaye amekuwa akimuuguza. Christopher amezungumza na Mhariri ...
Read More »Madiwani CCM, Ukawa waungana kumg’oa M’kiti Halmashauri
HALI si shwari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Mwanza baada ya madiwani 24 kati ya 34 kuandikia na kuisaini barua ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, ...
Read More »Roma: Hatupo salama, aeleza mateso waliyopata
MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa kilichowakumba, anaandika Hamisi Mguta. Roma amesema hayo ...
Read More »Hawa Ghasia azomewa Dodoma
MBUNGE wa Jimbo la Mtwara Vijijini Hawa Ghasia (CCM) amejikuta katika wakati mgumu baada ya mezomewa na baadhi ya wabunge pamoja na wadau mbalimbali wa elimu baada ya kutoa kauli ...
Read More »Mashirika na Umma yalazimishwa kujiunga NHIF
MASHIRIKA ya Umma yatalazimishwa kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) kwa kuwa sheria inawataka hivyo na ndiyo maana hata wabunge wamejiunga huko, anaandika Dany Tibason. Kauli ...
Read More »Serikali yawachongea Waganga kwa wabunge
WABUNGE wameelezwa kuwa kiasi cha Sh. 20 bilioni hazikutumika ambazo ni za mfuko wa pamoja wa afya ujulikanao kama ‘Basket Fund’ kwa mwaka 2016/17, anaandika Dany Tibason. Kufuatia hali hiyo, ...
Read More »Wabunge walia kupunjwa fedha zao
BUNGE la Jamhuri ya Muungano limetenga Jumla ya Sh 121 bilioni kwa matumizi ya mwaka 2017/18 kutoka Sh 99 bilioni zilizokuwa zimetengwa mwaka 2016/17, lakini wabunge wamedai hazitoshi, anaandika Dany ...
Read More »Bashe amchokonoa Rais Magufuli
SERIKALI ya Rais John Magufuli imeguswa kisawasawa, anaandika Jabir Idrissa. Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea na mkutano wa bajeti mjini Dodoma, kumetolewa tuhuma kwamba idara ...
Read More »Maalim Seif: Uvumilivu wetu umefika mwisho
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema viongozi na wanachama wa chama hicho wapo tayari kwa lolote kutokana na uhujuma wanazofanyiwa na serikali, anaandika Shabani ...
Read More »Kamanda Sirro: Roma ‘kutekwa’ ni kawaida
IKIWA ni siku tatu tangu tukio la kupotea kwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na wenzake watatu Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ...
Read More »Wasanii wamvaa Sirro kumdai Roma
NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe Records, anaandika Hamisi Mguta. Kufuatia tukio hilo ...
Read More »Samaki wa Sh. 20 milioni wataifishwa Mwanza
SERIKALI mkoani Mwanza, imekamata na kuwataifisha samaki kilogramu 3482 wenye thamani ya Sh. 20,892,000 waliovuliwa ‘kimagendo’ na wavuvi haramu kinyume na sheria za uvuvi zinazoelekeza samaki kuvuliwa kuanzia sentimita 51 ...
Read More »Kondoa wanufaika na Bil 1 za Tasaf
ZAIDI ya Sh. bilioni moja zimetumika kuwalipwa walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini unaofadhiriwa na mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF kwa kipindi cha mwezi Septemba hadi Disemba 2016 ...
Read More »Madiwani Manyoni wapigwa msasa
MADIWANI 28 toka Kata 19 za Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni wamepatiwa mafunzo maalum ya Uongozi, Maadili na Utawala Bora, Mafunzo, anaandika Dany Tibason. Mafunzo hayo ya siku mbili yameanza ...
Read More »Mwenyekiti CUF agoma kuondoka madarakani
LICHA ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Christina Mdeme kutangaza kumsimamisha uongozi wa Mwenyekiti wa mtaa wa Malimwa Kusini, Ismail Seifu (CUF), ametangaza kutokabidhi ofisi ya mtaa kama alivyoagizwa ...
Read More »Bodi ya Chai Rungwe kuvunjwa
MBUNGE wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda ameitaka Serikali kuvunja bodi ya chai ya Wilaya ya Rungwe kwa sababu wananchi hawana imani na bodi hiyo na haina faida kwao, anaandika Dany ...
Read More »Serikali yatumia mil 768 kumtunza Faru Fausta
JUMLA ya 768 milioni zinatumika kila mwaka kwa ajili ya kumtunza Faru Fausta katika hifadhi ya ya Ngorongoro, bunge imefahamika, anaandika Dany Tibason. Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul (Chadema) ...
Read More »TPA yatakiwa kupima mizigo kwa tani
MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Jaku Hashim Ayoub (CCM) ameitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuweka utaratibu wa kupima mizigo inayoingia bandarini kwa tani badala ya kupima kwa ...
Read More »Tanroads yatenga bil 3 kujenga madaraja Masasi
WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kutenga fedha kiasi cha Sh. 3 bilioni kwa ajili madaraja ya Halmashauri ya wilayani Masasi katika bajeti ya mwaka 2017/18, bunge lilielezwa, anaandika Dany ...
Read More »Kampuni ya Chai Kagera yakumbwa na ukata
WIZARA ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imetaja kuwa ucheleweshaji wa malipo ya wakulima na wafanyakazi katika kiwanda cha chai cha Maruku mkoani Kagera ulianza Septemba, 2011 kutokana na uwezo mdogo ...
Read More »Uhaba wa dawa wakithiri Nyamagana
UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali hiyo, kitendo kinachosababisha watu kupoteza maisha, anaandika ...
Read More »