Saturday , 20 April 2024

Month: March 2017

Habari za Siasa

Mbunge ataka wananchi wadhibiti ufisadi

KUNTI Yusuph Majala, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) mkoa wa Dodoma, amewataka wananchi kujenga tabia ya kuhoji ubora na uendeshwaji wa miradi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aachiwa huru, simu zake zashikiliwa

HATIMAYE Tundu Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam baada...

Habari Mchanganyiko

Watelekeza mashamba kuwakwepa tembo

WANAKIJIJI wa kijiji cha Mtipule kilichopo kata ya Msongozi wilayani Mvomero mkoani hapa wameyatelekeza mashamba yao kwa takribani miaka minne mfululizo wakihofia kuvamia...

Habari Mchanganyiko

Waliopora ardhi Morogoro kuburuzwa kortini

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa inatarajia kuwafikisha mahakamani watu 21 wanaodaiwa kujichukulia sheria mikononi na kujimilikisha hekari 66 za kijiji na kujenga nyumba...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu mbaroni tena, apanga kugoma kula

TUNDU Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya...

Habari za SiasaTangulizi

MwanaHALISI kumuanika Makonda

KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bodaboda wampinga Kamanda Sirro

WAENDESHA pikipiki ‘bodaboda’ jijini Dar es Salaam, wamepinga ushauri wa Kamanda wa Kanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro,...

ElimuHabari Mchanganyiko

DC Mwanza amsweka rumande mwalimu

FRANCIS Chang’ah, Mkuu  wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, ameamuru Eladislaus mwalimu wa shule ya msingi ya Uhuru, awekwe rumande kwa muda usiofahamika...

Habari za SiasaTangulizi

Lema arejea uraiani, Arusha yasimama

GODBLESS Lema, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini amerejea tena uraiani, ikiwa ni takribani miezi minne tangu alipokamatwa na Jeshi la Polisi na...

Michezo

Ukata wamuondoa Pluijm Yanga

KLABU ya Yanga imesitisha mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi, Hans Van Der Pluijm kutokana na klabu hiyo kutokuwa na uwezo wa kuendelea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Gwajima akamatwa, Kamanda Sirro ‘amkana’

MUDA mchache baada ya kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya kukamatwa kwa Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala: Mbowe hajashindwa kesi

PETER Kibatala Wakili Mwandamizi wa Chama Cha Demokrasia (Chadema), ameweka wazi kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Freeman...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea kurudi tena Ubungo

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ataendelea na ziara yake ya kikazi – kiserikali – ndani ya jimbo lake, kuanzia Jumatatu ya tarehe...

error: Content is protected !!