Friday , 29 March 2024

Day: March 3, 2017

ElimuHabari Mchanganyiko

DC Mwanza amsweka rumande mwalimu

FRANCIS Chang’ah, Mkuu  wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, ameamuru Eladislaus mwalimu wa shule ya msingi ya Uhuru, awekwe rumande kwa muda usiofahamika...

Habari za SiasaTangulizi

Lema arejea uraiani, Arusha yasimama

GODBLESS Lema, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini amerejea tena uraiani, ikiwa ni takribani miezi minne tangu alipokamatwa na Jeshi la Polisi na...

Michezo

Ukata wamuondoa Pluijm Yanga

KLABU ya Yanga imesitisha mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi, Hans Van Der Pluijm kutokana na klabu hiyo kutokuwa na uwezo wa kuendelea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Gwajima akamatwa, Kamanda Sirro ‘amkana’

MUDA mchache baada ya kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya kukamatwa kwa Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala: Mbowe hajashindwa kesi

PETER Kibatala Wakili Mwandamizi wa Chama Cha Demokrasia (Chadema), ameweka wazi kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Freeman...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea kurudi tena Ubungo

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ataendelea na ziara yake ya kikazi – kiserikali – ndani ya jimbo lake, kuanzia Jumatatu ya tarehe...

error: Content is protected !!