Monthly Archives: March 2017

Mahakama Kuu yazuia ruzuku ya CUF

Jaji Francis Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa. Picha ndogo, Prof. Ibrahim Lipumba

MAHAKAMA Kuu, Masijala ya Dar es Salaam imemzuia Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kutoa fedha za ruzuku ya Chama cha Wananchi – CUF kwa Profesa Lipumba na ...

Read More »

Lijualikali: Nimepata mateso makali Ukonga

Peter Lijualikali, Mbunge wa Kilombero

PETER Lijualikali, Mbunge wa Kilombero, (Chadema) amesema akiwa mfugwa kwa yake kwa siku 79 katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam, aliteswa na kunyimwa haki zake, anaandika Pendo Omary. ...

Read More »

Lijualikali arudi uraiani, Sumaye ampokea

Frederick Sumaye, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani (mwenye suti nyeusi) akiwa Peter Lijualikali, Mbunge wa Kilombero (suti ya kaki) na wanachama wa Chadema wakitoka gerezani Ukonga

FREDERICK Sumaye, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, ameongoza viongozi wa Chadema waliofika kwenye gereza la Ukonga kumtoa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali, anaandika Pendo Omary. Lijualikali ametoka gerezani baada ...

Read More »

Mahakama Kuu yamtoa Lijualikali gerezani

Peter Lijualikali, Mbunge wa Kilombelo (kushoto) ajidaliana na polisi wakati wa kesi yake

PETER Lijualikali (30), Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yupo huru. Amevuka vinzingiti dhidi ya haki. Ameshinda kesi ya rufaa ya jinai Na. 60 ...

Read More »

Kimbisa, Maghembe kuwania ubunge wa Afrika Mashariki

Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM , Humphrey Polepole

CHAMA Cha Mapinzuzi CCM leo kimeteua wanachama 12 wa Tanzania Bara na Visiwani watakaoomba ridhaa kwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa wajumbe wa Bunge la Afrika Mashariki, ...

Read More »

Mwakyembe amgwaya Makonda, aitupa ripoti ya Nape

Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ana mambo mengi ya kufanya kwa sasa, lakini siyo ripoti ya mtangulizi wake, Nape Nnauye, anaandika Danny Tibason. Uteuzi wa Nape ...

Read More »

Bunge yaitaka TASAF kuongeza kwenye ajira

Mwanne Nchemba, Mwenyekiti wa Kamati ya  Kudumu ya Bunge ya Utawala bora na Serikali za Mitaa

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za Mitaa, Mwanne Nchemba ameushauri Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuongeza nguvu kwenye utoaji wa ajira kwa ...

Read More »

Mashirika ya kimataifa yawalaani Magufuli, Makonda

John Magufuli, Rais wa Tanzania (kulia) akiwa na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

WADAU wa habari, mashirika ya haki za binadamu na asasi za kiraia zinazojihusisha na utawala wa kidemokrasia katika nchi mbalimbali duniani, zimetoa kauli ya kulaani vitendo vya ukandamizaji wa uhuru ...

Read More »

Rais Magufuli amtaka Ney wa Mitego aboreshe ‘Wapo’

John Magufuli, Rais wa Tanzania

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameliagiza Jeshi la Polisi kumwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ huku akimshauri kuporesha wimbo wake wa Wapo, anaandika ...

Read More »

Mashabiki wa soka wamliza Nape

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (Kulia) akiwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe wakitazama mechi kati ya Taifa Stars na Botswana

UPENDO ambao mashabiki wa mpira wa miguu waliuonesha jana kwa Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo ulimliza kiongozi huyo, anaandika Charles William. Mashabiki wa soka waliojitokeza Uwanja ...

Read More »

Mbowe kujiuzulu siasa 2020 Magufuli akishinda

Dk. John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) (Picha kubwa) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe

FREEMAN Aikaeli Mbowe, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni miongoni mwa waasisi wa chama hicho amesema atajiuzulu kufanya siasa iwapo Rais John Magufuli atashinda uchaguzi ...

Read More »

Sakata la Nape latikisa

IMG_3845

SAKATA la Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kutishiwa kwa bastola na askari asiyevalia sare, limeibua mshituko kwa umma unaoshangaa inafanyikaje hiyo kwa mtu ambaye juzi ...

Read More »

Rais Magufuli awaonya wanahabari, asema hawana uhuru

Harrison, Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiwasili ofisi za Habari Maelezo muda mchache baada ya kuapishwa. Picha ndogo Rais John Magufuli.

RAIS John Magufuli leo amewaonya waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari kwa namna wanavyofanya kazi yao. “Be careful, watch it. Sasa mnafikiri mna uhuru wa namna hiyo? not for ...

Read More »

Nape: Nitasema ukweli daima

Nape Mnauye, aliyekua Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

ALIYEKUA Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Mnauye amesema ataendelea kusimamia ukweli daima kwa kila anachokiamini, anaandika Hamisi Mguta. Nape ameyasema hayo leo akizungumza na wanahabari ikiwa ni ...

Read More »

Wanasiasa, wadau wamtia moyo Nape

Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama

WANANCHI na wadau mbalimbali wametoa maoni juu ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa Nape Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, anaandika Pendo Omary. Nape uteuzi wake ...

Read More »

Rais Magufuli amkomoa Nape, kisa kamgusa Makonda

Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

CHINI saa 24 tangu Nape Nnauye atoe ahadi ya “kumshughulikia” Paul Makonda amekomolewa yeye, anaandika Hamisi Mguta. Nape katika nafasi ya uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, juzi aliunda ...

Read More »

Makonda alitishia kuwafunga jela Clouds

Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

KAMATI ya Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya kuchunguza uvamizi uliofanywa kwa studio za Clouds Media na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imekabidhi ripoti ...

Read More »

Wahariri, Waandishi wamsusia Makonda

Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) na Klabu ya Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), wameazimia kumnyima Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ushirikiano ...

Read More »

Sumaye: Magufuli hujajipa urais mwenyewe

Rais John Magufuli alipokuwa anaomba kura

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais John Magufuli amesahau kama amechaguliwa na wananchi jambo linalomfanya kufanya maamuzi yake bila kujali hisia zao, anaandika Hamisi Mguta. Sumaye alitoa kauli hiyo ...

Read More »

Magufuli amwambia Makonda “chapa kazi”

John Magufuli, Rais wa Tanzania (kulia) akiwa na Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

RAIS John Magufuli amemwambia Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, “endelea kuchapa kazi” na anamtaka aamini kuwa ni yeye rais anayepanga, wala sio kushauriwa na mtu yeyote, ...

Read More »

Sumaye, Kubenea wapeta Chadema

Frederick Sumaye, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema. Picha ndogo, Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu na Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo wameibuka nafasi tofauti za uongozi wa Chadema Kanda ya Pwani walizokuwa ...

Read More »

Lissu aibuka kidedea TLS

Tundu Lissu, Rais wa TLS

TUNDU Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki ameibuka na ushindi katika nafasi ya urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) huku Godwin Simba akichaguliwa kuwa makamu wake, anaandika ...

Read More »

Upigaji kura TLS wakamilika

Tundu Lissu akiwa na mke wake, wakipiga kura zao katika uchaguzi wa TLS jijini Arusha

HAKUNA marefu yasiyo na ncha. Hatimaye vuta nikuvute ya uchaguzi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), imehitimishwa leo asubuhi kwa mawakili kupiga kura kuchagua viongozi wao, anaandika Charles William. ...

Read More »

Rais Magufuli amzodoa Mwakyembe

Rais John Magufuli (kulia) akiteta jambo na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo,  Harrison Mwakyembe

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ametengua agizo la Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe la hakuna kufunga ndoa bila ya cheti cha kuzaliwa, anaandika Hamisi Mguta. Mwakyembe alitoa ...

Read More »

Lissu aachiwa kwa dhamana, aenda Arusha

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameachiwa kwa dhamana ya Sh. 10 milioni na moja kwa moja anaenda Arusha kwenye uchaguzi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Tundu Lissu akamatwa tena

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (katikati) akiwa chini ya ulinzi alipokamatwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni

JESHI la polisi limemkamata mwanasiasa machachari nchini na mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anaandika Saed Kubenea. Lissu ambaye amepitishwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kugombea nafasi ya ...

Read More »

Uchaguzi TLS, Dk. Mwakyembe aanza kupukutika

Harrison Mwanyembe, Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) na hivyo hataweza kupiga kura, anaandika Saed Kubenea. Dk. ...

Read More »

Kaya 28 zakosa makazi kutokana na mvua

DSC_0260

ZAIDI ya Familia 28 zilizopo katika kijiji cha Milengwelengwe Kata ya Mngazi Tarafa ya Bwakira chini wilayani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali ...

Read More »

Mgombea TLS: Lissu hatatuvuruga

Meza ya Hakimu

WAKILI Victoria Mandari, ambaye ni miongoni mwa wagombea wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anaamini wagombea wa nafasi hiyo ambao ni wanasiasa hawataingiza maslahi ya vyama vyao ...

Read More »

Hatima ya uchaguzi TLS kutolewa leo

Tundu Lissu, Mgombea wa Uenyekiti wa TLS (katikati). Kulia ni Lawrance Masha. Kushoto Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji

MAWAKILI wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kanuni za uchaguzi iliyofunguliwa na mwanachama Onesmo Mpinzila, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Wakulima watakiwa kuwa makini na mbegu

Shamba la mahindi

WAKULIMA nchini wamesisitizwa kununua mbegu kwenye maduka yaliyosajiliwa huku wakihakikisha ubora wa mbegu wanazonunua kwa kuwa na lebo ya TOSCI ili kuweza kupanda mbegu bora na kuvuna mazao yanayoendana na ...

Read More »

Jaffo amtega Mganga Mkuu Morogoro

Suleiman Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

SULEIMAN Jaffo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, amempa mwezi mmoja Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro kufanya marekebisho ya kasoro zote zilizopo kwenye ...

Read More »

Msukuma awatisha Usalama wa Taifa

Joseph Kasheku "Msukuma" Mbunge waa Jimbo Geita Vijijini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Geita

JOSEPH Kasheku “Msukuma” Mbunge waa Jimbo Geita Vijijini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Geita ametoa siku tano za kuombwa na radhi na wanaodaiwa kuwa ni maofisa ...

Read More »

Lowassa aitikisa CCM, yatimua masalia yake

Emmanuel Nchimbi akiongea na waandishi wa habari wakati ya mkutano wa CCM wa kuteua mgombea Urais wa chama hicho 2015. Akishuhudiwa na Sophia Simba na Adam Kimbisa

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefanya maamuzi magumu kwa kuwafuta uanachama viongozi wake waliopatikana na makosa ya maadili kinyume na katiba na kanuni za Uongozi na maadili ya chama hicho, anaandika ...

Read More »

Vyeti bandia vyazidi kutikisa

MMGM0204

WANANCHI wamewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), pamoja na Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, wabuni njia mbadala ya kudhibiti matumizi ya vyeti bandia katika ...

Read More »

Anywa soda 24 kwa saa moja

Salum akiendelea na zoezi la kunywa soda

MTU aliyetambulika kwa jina moja la Salum, amesababisha shughuli mbalimbali kusimama katika eneo la maduka yaliyopo pembeni ya kituo cha mabasi cha Makumbusho jijini Dar es Salaam, baada ya kunywa ...

Read More »

Chadema: Bajeti ijayo maumivu tupu

Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Bajeti inayopendekezwa na serikali katika mwaka wa fedha 2017/2018 ina mapungufu makubwa yanayotishia hata utekelezaji wake, anaandika Pendo Omary. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Wapania kupanda miti milioni 50 kufikia 2020

Miongoni mwa wanafunzi wanaoshiriki kampeni ya kupanda miti chini ya shirika la Raleigh International hapa nchini

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Raleigh International lenye makao makuu yake nchini Uingereza, linaendelea na kampeni yake ya utunzaji wa mazingira ukiwemo mpango wa kupanda jumla ya miti milioni 50 ...

Read More »

Pombe za viroba, bangi zazua balaa Morogoro

Pombe zilizofungashwa katika mifuko ya nailoni maarufu kama Kiroba

OPERESHENI ya kukamata pombe ambazo hufungwa katika vifuko maalum maarufu kama viroba, imeendelea kushika kasi mkoani Morogoro ambapo sasa jeshi la polisi limewakamata jumla ya wafanyabiashara 14 waliokutwa na pombe ...

Read More »

Bulembo atangaza kung’atuka CCM

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi la Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo

ALHAJI Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ametangaza kung’atuka rasmi katika nafasi yake, kwa mdai kuwa anahitaji kuumzika, anaandika Dany Tibson. Bulembo ambaye hivi karibuni ameteuliwa ...

Read More »

Lissu ahoji Dk. Shein, Maalim kutoshtakiwa kwa uchochezi

Wakili Peter KIbatala (kushoto) akijadili jambo na mteja wake, Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amehoji sababu za kutoshtakiwa Maalim Seif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF, Rais Ali Mohamed Shein na Hassan Nassor Moyo waliotajwa kwenye makala inayodaiwa ...

Read More »

DC, Mbunge Chadema waungana kupinga mradi wa maji

Kunti Yusuph Majala Mbunge wa Viti Maalum Kunti Yusufu Majala (Chadema)

SAMSON Odunga Mkuu wa Wilaya ya Chemba na Mbunge wa Viti Maalum Kunti Yusufu Majala (Chadema), wamewataka wananchi wa wilaya hiyo kuukataa mradi wa maji wa Ntomoko kwa madai ya ...

Read More »

Kubenea: Amri za JPM zisivuruge utaratibu

Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Mawasiliano (hawapo pichani)

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema maagizo yanayodaiwa kutolewa na Rais John Magufuli kuhusu wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga) yanasababisha migogoro kwani baadhi yao wamekuwa wakikiuka taratibu nzuri zilizowekwa ...

Read More »

Ajiua kwa risasi kisa viroba kukamatwa

Pombe aina ya Viroba zikiwa zimekamatwa

FESTO Msalia mfanyabiashara wa vinywaji mkoani Dodoma amejiua kwa kujipiga riasasi kichwani kwa madai kuwa ameumizwa na kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kukamta shehena yake ya pombe ...

Read More »

Magufuli, Zitto, Mwigulu wanena kuhusu wanawake

Dk. John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania

VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa pamoja na watu mashuhuri hapa nchini akiwemo Rais John Magufuli, wametoa salamu za kuwatakiwa heri wanawake katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani, anaandika Pendo ...

Read More »

CUF yampuuza Prof. Lipumba

Nassor Ahmed Mazrui, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar. Picha ndogo, Prof. Ibrahim Lipumba

NASSOR Ahmed Mazrui, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar amesema Katiba ya chama hicho haimpi mamlaka yoyote Profesa Ibrahim Lipumba kutengua uteuzi wa wakurugenzi na manaibu wakurugenzi ...

Read More »

‘Wanawake saidieni vita dhidi ya dawa za kulevya’

Regina Chonjo, Mkuu wa wilaya ya Morogoro

REGINA Chonjo, Mkuu wa wilaya ya Morogoro amewataka wanawake nchini kutoa ushirikiano katika kufichua wanaohusika na biashara ya dawa ya kulevya ili kurahisisha vita dhidi ya biashara hiyo inayoshamiri kwa ...

Read More »

Mpinzani wa Nape atoka gerezani

Seleman Mathew, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi  akiwa na kadi za CCM zilizorudishwa wakati wa kampeni mwaka 2015

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Kusini imemuachia huru kwa dhamana, Seleman Mathew, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...

Read More »

‘Katiba pendekezwa itachochea Wazanzibar kudai uhuru’

Othamn Masoud Othman, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar

OTHMAN Masoud Othman, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kutimuliwa kwa kuunga mkono mapendekezo ya serikali tatu, amesema Katiba inayopendekezwa  itajenga mfumo utakaosababisha kizazi kijacho cha Zanzibar kidai uhuru ...

Read More »

Mama Kikwete afariki dunia

Nuru Khalfan Kikwete, mama mlezi wa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

NURU Khalfan Kikwete, mama mlezi wa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefariki dunia mapema hii leo, anaandika Pendo Omary. Bi. Nuru amefariki mapema ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube