Tuesday , 19 March 2024

Month: February 2017

Habari MchanganyikoMichezo

Wema afikishwa mahakamani, aachiwa kwa dhamana

WEMA Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashitaka matatu yanayohusiana na matumizi ya dawa za...

Habari Mchanganyiko

Gwajima afyatuka, ataka Makonda ang’olewe

SIKU moja baada ya Paul Makonda kumtaja Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kuwa ni miongoni mwa watu 65 wanaoshukiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge laazimia kumsulubu Makonda

WAKATI Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiendesha kampeni yake ya dawa za kulevya jijini Dar es Salaam, Bunge la...

Habari za Siasa

Lissu agoma kula, ashinikiza kupelekwa mahakamani

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amegoma kula chakula kutwa nzima ya leo, akishinikiza kupeleka mahakamani, anaandika Faki Sosi....

Michezo

Serengeti Boys kutinga Bungeni Kesho

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa Miaka 17, ‘Serengeti Boys’ ikiongozwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda awavaa Mbowe, Gwajima amkwepa Masogange

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amezindua awamu ya pili ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya ikiwa ni muendelezo...

Habari MchanganyikoMichezo

Wema Sepetu kiza kinene Kisutu

WEMA Sepetu, msanii wa filamu na mshindi wa taji la Miss Tanzania 2006 leo ameshindwa kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo, anaandika Kelvin...

Habari za SiasaTangulizi

JPM amtaabisha Lissu

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa maneno ya uchochezi kuhusu kuwepo kwa njaa nchini,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu akamatwa na Polisi, aletwa Dar

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa Chadema, amekatwa na polisi nje ya Bunge na kupelekwa jijini Dar es Salaam, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Dodoma ‘walilia’ chakula

RICHARD Kapinye, diwani wa kata ya Kibaigwa na Mwenyekiti wa kamati ya uchumi, ujenzi na mazingira ya halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ameiomba...

Habari za Siasa

Serikali yamwaga mikopo kwa vijana

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa taarifa juu ya utekelezaji wa utolewaji wa mikopo kwa vijana, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kamili...

Michezo

Azam FC kuivaa Mtibwa kombe la FA

KLABU ya Azam FC itakuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar, katika raundi ya tano ya kombe la Shirikisho (FA) mchezo utakaopigwa kwenye dimba la...

Michezo

Cameroon walivyo thibitisha ubora wao AFCON

BAADA ya kukamilika kwa michuano ya kombe la mataifa Afrika iliokuwa inafanyika nchini Gabon, na timu ya taifa ya Cameroon kufanikiwa kutwaa ubingwa...

Habari za SiasaTangulizi

Pinda atema ya moyoni serikali ya JPM

MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne ameeleza kuwa, ni ndoto serikali kufikia malengo yake ya ‘serikali ya viwanda’...

Habari Mchanganyiko

Nyumba ya mwenyekiti Rufiji yateketezwa kwa moto

WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameiteketeza kwa moto nyumba ya Bakari Msanga, mwenyekiti wa kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani,...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo walilia Azimio la Arusha

CHAMA cha ACT- Wazalendo kimesema chimbuko la kiwango cha kutisha cha rushwa na ufisadi uliotamalaki nchini kwa sasa, ni uamuzi wa uongozi kufuta...

Habari za SiasaTangulizi

Safari ya mabadiliko yaweza kufia njiani  

MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Dimani, Unguja na kwenye kata 20 Tanzania Bara, yametushutua wengi. Miongoni mwa yayosababisha mshutuko,...

Elimu

Lusako: Mateso UDSM hayatanirudisha nyuma

KIJANA Alphonce Lusako amesema atapigania haki yake ya kusoma ndani ya ardhi ya Tanzania mpaka mwisho, licha ya Chuo Kikuu cha Dar es...

Kimataifa

Trump agonga mwamba, wahamiaji wapeta 

ZUIO la wahamiaji kuingia nchini Marekani lililotolewa na Donald Trump, rais wa nchi hiyo limefutwa, anaandika Wolfram Mwalongo. Hatua hiyo imetajwa kuwa kigingi cha kwanza...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda atibua, Polisi kwawaka moto

SIKU mbili baada ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaja majina ya wasanii na askari wanaotuhumiwa kuhusika na utumiaji...

Michezo

Serengeti Boys yafuzu fainali za Vijana

HATIMAYE timu ya Taifa ya vijana chini umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefuzu kucheza michuano ya kombe la mataifa Afrika baada ya...

Habari Mchanganyiko

Donald Trump ‘atua’ Mtambani

RAIS mpya wa Marekani, Donald Trump ametajwa kwenye Msikiti wa Mtambani, Kinondoni leo kama kiongozi aliyetangaza vita dhidi ya Uislam na Waislam, anaandika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Washukiwa wa unga, wamtii Makonda

WEMA Sepetu amefika. Babuu wa Kitaa amefika. Khalid Mohamed (TID) amefika. Hamidu Chambuso (Nyandu tozi) naye amefika. Ni wasanii walioepuka ‘kiaina’ mgogoro mkubwa...

Habari za Siasa

Vijana wa CUF wamuonya Shaka Hamdu

JUMUIYA Vijana ya Chama cha Wananchi CUF (JUVI-CUF), imemuonya Shaka Hamidu Shaka, Kaimu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari Mchanganyiko

Watakiwa kutotumia nafaka kutengeneza pombe

MUSTAFA Rajabu Sheikh wa Mkoa wa Dodoma na Kadhi wa Mkoa huo amewaasa Watanzania kutotumia nafaka kama mahindi na mtama kwaajili ya kutengeneza...

Elimu

Serikali yakosa walimu wa kuwaajiri

SERIKALI imesema licha ya malalamiko ya kuchelewa kwa ajira za walimu lakini hakuna wahitimu wa kutosha wa taaluma hiyo waliopeleka vyeti vyao ili...

Kimataifa

Marekani yakoleza vita umiliki wa silaha

BUNGE la Wawakilishi nchini Marekani limeafiki kupigwa marufuku kwa Wamarekani wenye matatizo ya akili kumiliki silaha ikiwa ni jitahada za kukabiliana na uhalifu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Washukiwa wa dawa za kulevya waanza kujisalimisha

TAMKO la Paul Makonda Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kuwataka watu mbalimbali wanaotuhumiwa kujihusisha biashara au matumizi ya dawa za kulevya kujisalimisha...

Habari za Siasa

CCM Vyuo Vikuu walia na rushwa ya ngono

NEEMA Mfugale, Katibu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amesema, rushwa ya ngono ni changamoto kubwa inayokwamisha...

Michezo

Lampard astaafu soka

KIUNGO wa zamani wa klabu ya Chelsea, New York City FC na timu ya taifa ya England, Frank Lampard (38) leo ametangaza kustaafu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda ‘aubeep’ mtandao wa ‘wauza unga’

PAUL Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameutaja mtandao wa wauzaji wa dawa za kulevya hapa jijini huku miongoni mwao, yakiwemo...

Michezo

Okwi rasmi SC Villa

BAADA ya kuvunja mkataba na klabu yake ya SønderjyskE inayoshiriki ligi kuu nchini Denmark, hatimaye mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi amerudi...

Habari za Siasa

Tulia achafua ‘hali ya hewa’ Bungeni

KWA mara nyingine Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameingia katika mvutano na wabunge wa vyama...

Habari za SiasaKimataifa

Upinzani wapata pigo DRC

KIFO cha Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani cha (UDPS) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimeacha simanzi na pigo kwa wapenda...

Habari Mchanganyiko

Serikali yazidi kuikaba koo MwanaHALISI

SERIKALI imeendelea ‘kulibana mbavu’ gazeti la kila wiki la habari za kiuchunguzi – MwanaHALISI kwa kuliagiza kuchapisha taarifa ya kumuomba radhi Rais John...

Habari za Siasa

Meya Ilala ‘kazi kazi’

CHARLES Kuyeko, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Tabata mtaa wa tabata Kisiwani na matumbi, anaandika...

Kimataifa

Silaha za Jammeh zafichuliwa

JESHI la Muungano wa Kiuchumi wan chi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) limezinasa silaha mbalimbali za kivita nyumbani kwa Yahya Jammeh Rais aliyelazimishwa...

Habari za Siasa

Manispaa yabanwa matumizi ya fedha za vijana

MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameitaka kuwekwa wazi kwa asilimia 5 ya mapato ya halmashauri hiyo ambayo yanapaswa kutolewa kama mikopo kwa...

Habari za Siasa

Mbunge Ilemela atishwa

ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Mwanza amemtishwa na wapiga kura wake kwa madai ya kushindwa kutatua kero ya mgogoro wa ardhi,...

Habari za SiasaTangulizi

Watu wanaishi na wauaji wao

NINAPOKUMBUKA tukio la mauaji ya wananchi walioandamana katika kudai haki ya kuongozwa na kiongozi wanayemtaka, haraka inanijia sura ya mmoja wa watekelezaji wa...

Michezo

Azam FC kuivaa Mamelodi leo

KLABU ya Azam FC leo itashuka dimbani dhidi ya mabingwa Klabu Bingwa Afrika, Mamelodi Sundown katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa  majira ya saa...

error: Content is protected !!