Thursday , 28 March 2024

Month: January 2017

Makala & UchambuziTangulizi

Chadema, CCM wazichapa; visu, mawe vyatumika

CHUKI na visasi kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kumea baada ya wafuasi wa vyama...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar kuwavaa wauza silaha

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewataka wafanyabiashara kuacha kuuza silaha kama mapanga, majambia, visu, manati na upinde bila utaratibu...

Habari Mchanganyiko

Magufuli na wateule wake waonywa

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kimesema hakitamvumilia kiongozi yoyote wa kisiasa ambaye ambaye atafanya unyanyasaji dhidi ya watumishi wa umma,...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atangaza vita na magazeti

RAIS John Magufuli amesema kwamba utawala wake upo mbioni kuyachukulia hatua kali magazeti mawili hapa nchini kwa madai kuwa yamekuwa yakifanya uchochezi, anaandika...

Michezo

Tanzania, wapewa Uganda na Cape Verde AFCON 2019

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), imetoa droo ya makundi 12, kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la...

Elimu

Walimu Bahi hoi, waidai serikali 254 milioni

SERIKALI inadaiwa jumla ya Sh. 254.1 milioni na walimu wa Halmashauri ya Bahi mkoani Dodoma, ikiwa ni malimbikizo ya mishahara na posho, anaandika...

Kimataifa

Raia wa Cuba watupiwa virago Marekani

RUHUSA kwa raia wa Cuba kuingia Marekani bila na kibali cha kusafiria na kuishi, yaani ‘viza’ sasa imekwisha. Wale walioingia nchini humo kinyume na...

Habari za Siasa

Shein aendeleza ‘mchecheto’ Zanzibar

DK. Ali Mohamed Shein Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, amesema ataendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuimarisha...

Michezo

Nyota watatu wa Arsenal waongeza mkataba

WACHEZAJI wa klabu ya Arsenal Oliver Giroud 30, Laurent Koscielny 31 na Francis Conquelin 25, wameongeza mikataba yao ndani ya timu hiyo na...

Michezo

Payet amvuruga kocha wake

KOCHA wa West Ham United Slaven Bilic, amesema winga wa klabu hiyo Dimit Payet 29 amekataa kucheza tena kwenye timu hiyo, kutokana na...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amwaga siri kufungwa Lijualikali

HATUA ya Mahakama ya Wilaya ya Kilombero, Morogoro kumfunga Peter Lijualikali, Mbunge wa Jimbo la Kilombero miezi sita jela, inatokana na visa vya...

Kimataifa

Gumzo kutoonekana kwa binti wa Obama

KUTOONEKANA kwa Sasha Obama, mtoto wa Rais Barack Obama anayemaliza muda wake wa kuliongoza taifa la Marekani katika mkutano wa kuwaaga raia wa...

Habari Mchanganyiko

Shehena ya Samaki yanaswa ikisafirishwa

SHEHENA ya samaki aina ya Sangara tani tatu zenye thamani ya Sh. 19 milioni imekamatwa jijini Mwanza baada ya maofisa wa uvuvi kuanza...

Habari Mchanganyiko

Mbunge awakingia kifua wavamizi

ELIBARIKI Kingu, Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi anatuhumiwa kuchochea kuongezeka kwa vitendo vya uvamizi katika msitu wa hifadhi wa Minyughe, wilayani Ikungi,...

Kimataifa

Wananchi wazidi kuikimbia Gambia

HALI ya taifa la Gambia inazidi kuwa tete. Utawala wa mabavu wa Rais Yahya Jammeh umesababisha sintofahamu kubwa huku raia wakichukua tahadhari ya...

Afya

MSD yawatangazia ‘neema’ wagonjwa

BOHARI ya Dawa hapa nchini (MSD) leo imetangaza hali ya kuridhisha ya upatikanaji wa dawa na kusema hadi kufikia mwishoni mwa mwezi huu...

Habari za SiasaTangulizi

Kimbembe CUF, 369 milioni zatoroshwa

SHILINGI 369.4 milioni mali ya Chama Cha Wananchi (CUF) zinadaiwa kutoroshwa kutoka Hazina ya Serikali Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku...

Habari Mchanganyiko

Njaa yatisha, Watanzania waingia Kenya

HALI ya njaa inayoelezwa kuwepo hapa nchini kwa sasa inadaiwa kusababisha baadhi ya Watanzania kuvuka mpaka na kuingia nchini Kenya kusaka chakula, anaandika...

Michezo

Azam yamshusha kocha wa Raja Casablanca

HATIMAYE klabu ya Azam Fc imeingia mkataba wa miezi sita na Aristica Cioba 45, raia wa Romania kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo...

Habari Mchanganyiko

IGP amng’oa OCD Ukerewe

JESHI la Polisi nchini limemuondoa Ally Mkaripa, Mkuu wa Polisi (OCD) wa Wilaya ya Ukerewe, Mwanza katika nafasi hiyo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo...

Kimataifa

Museveni abadili uongozi wa jeshi

YOWERI Museveni, Rais wa Uganda amefanya mabadiliko katika jeshi la nchi hiyo kwa kumteua David Muhoozi kushika nafasi ya Mkuu wa Majeshi (CDF),...

Habari Mchanganyiko

Wastaafu waililia Serikali ya JPM

ZAIDI ya wastaafu 300 kutoka wilaya za Nyamagana na Ilemela Mkoani Mwanza, wameilalamikia Serikali kwa kuwakata makato makubwa ya pensheni zao za kila...

Michezo

FIFA waongeza idadi ya timu Kombe la Dunia

SHIRIKISHO  la Mpira wa Miguu Dunia (Fifa) kupitia wajumbe wake, wamefikia makubaliano ya  kuongeza idadi za timu kufikia 48 kutoka 32 zilizokuwa zikishiriki...

Michezo

Ronaldo, Raniel watamba tuzo za FIFA

HATIMAYE washindi katika tuzo za FIFA (The FIFA best Awards) wamefahamika jana katika hafla iliyofanyika Zurich, huku Cristiano Ronaldo akiibuka kuwa mchezaji bora...

Makala & UchambuziTangulizi

Maalim Seif amvuruga Dk. Shein

NI wazi sasa Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar anavurugwa na harakati zinazofanywa na Maalim Seif Sharif ndani na nje ya Zanzibar,...

Michezo

Barcelona wazuia wachezaji wake kwenye tuzo za FIFA

RAIS wa klabu ya Fc Barcelona Josep Maria Bartomeu ataongoza ujumbe wa klabu katika tafrija ya utoaji tuzo wa mchezaji bora wa FIFA,...

Kimataifa

Rais Addo amwibia Clinton, Bush

AKIWA na siku tatu ndani ya Ikulu ya Ghana, Rais Nana Akufo Addo anatuhumiwa kuiba sehemu ya hotuba za marais wa Marekani siku...

Habari Mchanganyiko

Anglikana wamchoka Askofu Mokiwa

DK. Valentino Mokiwa, Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam amechokwa na kanisa lake, anaandika Faki Sosi. Tayari waraka...

Habari Mchanganyiko

Waislam Dodoma wapewa somo

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Dodoma wametakiwa kuzikamata fursa kutokana na Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi, anaandika Dany Tibason. Mbali...

Michezo

Simba, Yanga hapatoshi Mapinduzi Cup

HATIMAYE mahasimu wa wawili katika soka la Tanzania, Simba na Yanga wataminyana kesho katika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya Kombe la...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Kinana mbumbumbu

MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema kwamba, Abdulrahman Kinana hajui chochote kuhusu kinachoendelea Zanzibar, anaandika Mwandishi Wetu....

Habari za Siasa

Lowassa atema nyongo Z’bar

EDWARD Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, amesema bao la mkono la Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ndilo...

Makala & Uchambuzi

Kubenea ajitosa ubunge Unguja

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, leo Jumapili, ataungana na viongozi waandamizi wa upinzani nchini, Edward Lowassa na Maalim Seif Sharif Hamad,...

Makala & UchambuziTangulizi

Z’bar ‘mikononi’ mwa Lowassa, Maalim Seif

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiongozwa na Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF na Edward Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu...

Michezo

Ander Herrera kutembelea Tanzania

KIUNGO wa Manchester United na  Hispania, Ander Herrera anatarajiwa kutembelea nchi mbili zilizopo kwenye Ukanda wa Afrika ya Mashariki ikiwemo Tanzania bila kuweka...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yamsulubu Mbowe

SERIKALI ya Rais John Magufuli imemmaliza Freeman Mbowe katika biashara yake ya klabu (Billicanas), anaandika Faki Sosi. Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama...

Makala & UchambuziTangulizi

CUF mambo magumu

HALI ya fedha ni ngumu ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) jambo ambalo linaloongeza changamoto katika kampeni za chama hicho kwenye Jimbo la...

Kimataifa

Odinga ‘achekelea’ demokrasia ya Ghana

RAILA Odinga Kiongozi wa Muungano wa Upinzani wa CORD na miongoni mwa watu mashuhuri kutoka Afrika Mashariki watakaohudhuria kuapishwa kwa Nana Akufo Addo...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyetumwa kumtukana Nchimbi ajisalimisha

IKIWA ni zaidi ya miezi minne tangu James Rock Mwakibinga, kada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Umoja wa Vijana wa chama hicho...

Michezo

Mahrez mchezaji bora Afrika

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu England na Timu ya Taifa ya Algeria, Lihard Mahrez amefanikiwa kutwaa tuzo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Msaidizi wa Mbowe kuibuka

UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

JPM amtumbua ‘bosi’ wa Tanesco

MHANDISI Felchesmi Mramba aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme la Taifa (TANESCO) amekuwa mtumishi wa kwanza wa serikali kutimuliwa kazi na Rais...

error: Content is protected !!