Wednesday , 24 April 2024

Day: January 18, 2017

Habari za SiasaTangulizi

ACT yazidi kuikaba serikali

CHAMA Cha ACT-Wazalendo sasa kinataka serikali imwelekeze Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye utoaji wa vibali...

Habari za Siasa

Kigogo Chadema alia na kodi

ONGEZEKO la kodi limetajwa kuchochea hali ngumu ya maisha inayolalamikiwa na wananchi wengi hapa nchini, anaandika Pendo Omary. Casimir Mabina, Mratibu wa Chama...

Kimataifa

Bado siku mbili Trump ahamie Ikulu

RAIS mteule Donald Trump wa Marekani amebakisha muda usiozidi siku mbili kabla ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa taifa hilo lenye nguvu kubwa...

Michezo

Mwanjali anyakuwa Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi

BEKI raia wa Zimbabwe anayekipiga ndani ya klabu ya Simba, Method Mwanjali amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya klabu hiyo katika mwezi Disemba,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya wahariri Mawio, Lissu yaahirishwa, kusikilizwa kesho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imehairisha usikilizwaji wa awali wa kesi ya uchochozi inayowakabili wahariri wa gazeti la Mawio, mbunge...

error: Content is protected !!